kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Kwanini Yesu alipenda kutumia 'tatu' katika kusema na kutenda?

    Ukisoma Biblia vizuri, Yesu alikuwa akifanya kazi zake duniani katika namba 3 ambazo baadhi ya watumishi wanaitafsiri kuwa ndiyo Utatu Mtakatifu (Trinity-Baba, Mwana na Roho Mtakatifu). Kwa sababu mara zote, Yesu alipenda kutumia namba 3 katika kutamka au katika kutekeleza majukumu yake ya kila...
  2. Miradi ya JKT na JWT/Shirika la mizinga, ni miradi ya kusikitisha sana, ni kipimo cha level ya uwezo wetu sisi Watanzania

    JWTZ na ndugu yake JKT, waliapaswa kuwa ndio centre ya kuibua viwanda vya kizalendo Tanzania hii, Walipaswa kuwa ndio sehemu ya watu kwenda kujifunza uchumi wa kizalendo, Watu kwenda kujifunza kuto penda bidhaa za nje na wathamini bidhaa za ndani ya nchi kamam sehemu ya Uzalendo. Centre ya...
  3. U

    Mamlaka ya usalama Iran yapiga marufuku maafisa kutumia vifaa vilivyounganishwa kwenye mtandao

    Wadau hamjamboni nyote, Iran yapiga marufuku maafisa kutumia vifaa vilivyounganishwa kwenye mtandao Leo, saa 2:00 usiku Mamlaka ya usalama wa mtandao ya Iran imepiga marufuku maafisa kutumia vifaa vinavyounganishwa kwenye mtandao, ikionekana kuhofia kufuatiliwa au kudukuliwa na Israel. Kwa...
  4. CHANNEL ZOTE NA MOVIE KWA KUTUMIA WI-FI YAKO TU

    KAMA UNA WI-FI UNLIMITED INTERNET NIITE NIKUWEKEE APPLICATION KWENYE TV YAKO UTAKAYOWEZA KUANGALIA CHANNEL ZOTE DUNIANI za michezo na burudani NA SITE ZOTE ZA MOVIE NA SERIES LATEST KWA GHARAMA NAFUU SANA.. 0744680670
  5. CHANNEL ZOTE KWA KUTUMIA WI-FI YAKO TU

    KAMA UNA WI-FI UNLIMITED INTERNET NIITE NIKUWEKEE APPLICATION KWENYE TV YAKO UTAKAYOWEZA KUANGALIA CHANNEL ZOTE DUNIANI za michezo na burudani NA SITE ZOTE ZA MOVIE NA SERIES LATEST KWA GHARAMA NAFUU SANA.. 0744680670
  6. Wabunge Wetu: Wabaki Kupongeza Ufisadi Badala ya Kuutokomeza? Ni Wakati wa Kutumia Elimu Kama Kigezo Cha Uongozi!

    Ni jambo la aibu na fedheha kubwa kwa taifa kwamba kiwango cha parliamentary competence kimeporomoka kiasi cha kushangaza. Tunaona wabunge wetu wakibakia tu clapping hands na kugonga meza kama watoto waliokosa malezi, bila kuelewa kabisa the gravity of issues zinazowasilishwa mbele yao. Imagine...
  7. W

    Wahaya wameshindwaje kupaendeleza Kagera wakati wapo kwenye vyeo vya juu vya kupanga namna ya kutumia rasilimali za nchi ?

    Inashangaza !!
  8. VPN 3 Bora za Kutumia Twitter na Telegram Tanzania (2025)

    Katika kipindi ambacho baadhi ya mitandao kama Twitter na Telegram hupata vikwazo vya upatikanaji nchini Tanzania, kutumia VPN (Virtual Private Network) ni suluhisho la haraka, rahisi na salama. VPN huficha anwani yako ya mtandao (IP address) na kukupa uhuru wa kutumia mtandao kama uko nchi...
  9. Ubunifu: Kutumia nyuzi kutengeneza midoli

    Kwetu hapa bongo nimeona bado nyuzi jazijatumika kwa ukubwa na upana wake .. Mpaka sasa wanunua nyuzi wengi wamejikita kwenye mavazi kaka Masweta Soksi za watoto Vizibao Kofia nk Vikapu Lakini kuna hili la kutengeneza midoli ya watoto (teddy bear) na ni fursa nzuri kwa wale wajasiriamsli na...
  10. Uongo unaotambulika kama Ukweli: Archimedes aliweza kuunguza meli za Warumi kwa kutumia Vioo na Mwanga wa jua

    Hili lipo Historically, tunaambiwa huyu mdau (mgunduzi) alitumia mbinu za kutumia vioo na mwanga wa jua (kama vile lense inavyoweka kuchoma karatasi) na kuunguza Meli zilikuwa zinavamia..., Je kuna ukweli kwamba hilo lilitokea ? https://youtu.be/ZI3WcOTGd4o?si=l0gGUXgAPdBg9pwJ
  11. A

    KERO Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigoma Ujiji hawajauelewa vema mfumo wa PEPMIS

    Serikali ilianzisha mfumo wa ESS UTUMISHI Kwa ajili ya kurahisisha utendaji serikali. Katika kipengele cha kupima utendaji wa mtumishi (PEPMIS), Wakuu wa idara Halmashauri ya Kigoma Ujiji hawajui chochote, hili limepelekea watumishi wa ngazi za chini alama zao kusoma 0% na huku mtumishi yeye...
  12. K

    Kuna wanaume wanashindwaga kutumia condomu kama mimi?

    Nauliza hili swali wanaume wenzengu,kuna baadhi yenu wanaoshindwaga kutumia Condomu kama mimi? Yaani hata ningevaa tatu kwa mpigo mwisho wa siku huwa zinaishia kupasuka, Sina uwezo kukojoa ndani ya ndomu,ninaweza hata kukaa zaidi ya saa zima kitu kinashindwa kuachia,matokeo yake ni kugombana...
  13. Jinsi ya kutumia teknolojia ku'bold' hoja kwa wananchi wakati wa kampeni

    Wasalam! I declare! PATRIOTISM FORWARD PIA SIASA NI DINI MPYA. Ni wazi sasa technolojia ina nguvu kubwa kwenye maisha yetu, technolojia ina nafasi kubwa kwenye utendaji wa kazi zetu za kila siku. Uvumbuzi na ugunduzi wa mashine mbalimbali za kidijidali na kirobotiki zimerahisisha mambo mengi...
  14. Hakuna CHADEMA mwenye ubavu wa kumzuia Kigaila wa CHAUMMA au Shekhe Ponda wa ACT kutumia uhuru na haki yake ya kikatiba ya kupiga kura Oct 2025

    Ni muhimu sana kuepuka kudanganyana na kupotoshana ndugu zangu wadau eti hapata kua na uchaguzi October. kweli ni kwamba hayupo kibaka wala tapeli yeyote wa kisiasa nchini mwenye uthubutu wa kumzuia mwananchi yeyote huru kushiriki kikamilifu katika kutumia uhuru na haki yake ya kikatiba kupiga...
  15. S

    Unachangamoto ya kompyuta kutumia bando la Intaneti sana? Suluhisho ni data saver

    Unachangamoto ya kompyuta kutumia bando la Intaneti sana? Suluhisho ni data saver, Bei 30,000 Tsh. Programu ya data saver itakusaidia kuepusha Windows OS kujiupdati na kuzuia background usage la bando lako. Napatikana mkoa wa Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
  16. Unaweza Kupata Pesa kwa Kutumia AI Bila Kuacha Kazi Yako

    Unaweza Kupata Pesa kwa Kutumia AI Bila Kuacha Kazi Yako Nafanya hivi, masaa 3 kwa siku ⏳💰 Watu wengi wanadhani lazima waache kazi ili waanze maisha mapya ya kujiajiri online. Mimi nilifikiri hivyo pia. Ukiangalia mitandao, unaona Influencers, wafanyabiashara, watu wa YouTube, wataalam wa...
  17. Wanachambua data kwa kutumia tools nyingi sana zifuatazo

    Wanafanya DATA ANALYSIS kwa kutumia tools zifuatazo: SPSS, R, Python, STATA, SmartPLS, MATLAB, SAS, NVivo, MAXQDA, 📞 Unaweza kuwasiliana nao kupitia njia zifuatazo: Simu/WhatsApp: 0687746471/0612607426 Email: bandg.editors@gmail.com
  18. James Mbatia: Hakukuwa na haja ya Polisi kutumia nguvu Kanisani kwa Gwajima, si wangemuita tu

    Mwanasiasa James Mbatia amesema hakukuwa na haja ya Jeshi la Polisi kutumika kwenda kuzingira Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima kwa kuwa walitakiwa kumuita Askofu huyo badala ya kutumia nguvu. Ameongeza kuwa amekutana na viongozi kadhaa wa Dini ngazi ya Askofu...
  19. W

    James Mbatia ahoji kulikuwa na haja gani ya kumfuata Askofu Gwajima kwa mitutu ya bunduki na Polisi?

    James Mbatia akizungumza na waandishi wa habari Juni 5, 2025 ameeleza kuwa kilichofanyika kwa Askofu Gwajima si kitu sahihi na kama walikuwa wanamuhitaji Gwajima wangemuita na siyo kumfuata kwa mitutu. "Niombe hekima itumike hapa, pamoja na yote yaliyotokea tuvuke salama hapa. Ukumbuke...
  20. Nadharia na viapo vya serikali kuficha mambo yao ya siri na kutumia siasa kuficha siri zao

    Bill Cooper alikuwa mwanaharakati na mwandishi maarufu kwa kazi yake ya "Behold a Pale Horse," ambapo alijulikana kwa kuandika kuhusu nadharia mbalimbali za njama na masuala ya serikali. Katika kitabu chake, aligusia mada nyingi, ikiwa ni pamoja na mauaji ya Rais John F. Kennedy. Cooper alidai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…