Yaani nikitaka kuposti maneno au ukurasa mzima nafanyaje .
Maana hata kwa kuandika naona kama kuna mwisho wa tarakim fulani hata nifanyeje haiendelea hata kupost labda maneno nimekopi kama ni ukurasa fulani haikubali je !hua mnafanyaje msaada hapa
“Wanaohamasisha maandamano kwa kutumia akaunti feki wasifikiri hawawezi kutambulika, watatambulika tu, Watanzania wengi ambao ni wema wanaoipigania amani watatuambia tu huyu siyo.
“Tukio kama hilo lilishawahi kutolewa siku za nyuma na walitambulika na wakachukuliwa hatua.”
Hiyo ni kauli ya...
Kwenye maadhimisho ya 9 December huwa naona makamanda wetu wanavyo tuonesha umahiri wao katika kuokoa mateka.
Kwakua wao ni walinzi wa wananchi na katiba yetu, je hawawezi kutumia mbinu zile zile kuokoa mateka wa Mafwele na kuwakabidhi kwa jeshi la polisi ili wawapeleke makwao au kuwafikisha...
Wakuu,
Kumekuwa na hiki kipande cha video huku ikielezwa kuwa hakuna kinachowashinda Bodaboda kubeba. Kwa kutumia ujuzi wako wa kubaini iwapo maudhui ni halisi au lah! Tuambie dosari zinazoonekana katika video hii
Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi.
JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
Microsoft office, word, excel, n.k - $99.99 kwa mwaka (Tshs 245,000 )
AutoCad - $2,095 kwa mwaka (Tshs 5,140.000 )
Photoshop - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 )
Adobe Premiere - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 )
Internet Download Manager - $24.95 full package (Tshs 60,000 )
Windows 11 -...
Ukishindwa kutumia busara katika kunadi sera zako wakati kampeni basi tumia utimamu kuangalia maneno unayozungumza. Ni hivi karibuni tumeshuhudia baadhi ya wanasiasa wakiingia katika kiwango cha ujinga na upumbavu kwa kutumia maneno ya dhihaka dhidi ya imani za kidini, hasa Ukristo, ili...
Fuga App inakusaidia kuacha kupoteza fedha, kufuga kuku wenye afya bora, na kugeuza ufugaji wako wa kuku kuwa biashara yenye kipato cha uhakika hata kama umewahi kupata changamoto hapo awali.
Pakua Fuga App leo na chukua udhibiti wa shamba lako!
Habari?
Nimeoa tangu 2021 wakaniambia nilipe m 2.7 nikawa nimelipia kama milion moja na sehemu hv, sasa imebaki m 1 lakini hawa bibi zake na wife kila wakikosa ada ya kumlipia mtoto wao au ada ya kulimia wananiijia juu nilipe mahari ambapo na mimi muda huo nakuwa sina hela.
Mi ninavyojua...
Karibu uraiani Lucy Shayo. Nimeambiwa kuwa moja ya tuhuma ulizopewa ni kutumia laini ya simu ya mtu mwingine! Tanzania ni nchi yenye maajabu mengi. Huenda ni nchi pekee ambayo watawala hutunga sheria kwa ajili ya wananchi lakini wao sheria hizo haziwahusu kwa sababu:
1. Mawaziri wengi wakitaka...
Ndiyo police nyie ni ndugu zetu na wengine ni marafiki zetu na jamaa zetu pia.
Tunajua nyie mko kazani lakini punguzeni kutumia nguvu kubwa pasipo na ulazima. Tukio la leo mahakamani sio tukio la kiungwana watanzania bado ni watu ambao wanaelekezeka bila hata kutumia nguvu kubwa.
Tutawatia...
Kwenye numerology, tunatumia namba zinazohusiana na majina au matukio ili kutabiri matokeo au mwelekeo wa jambo fulani. Hapa, unaweza kuchambua kwa kutumia majina ya timu au tarehe ya mechi. Hebu tuone jinsi tunavyoweza kutumia numerology kwenye mechi hii.
1. Tarehe ya mechi: Jumanne Septemba...
Kwa heshima kubwa, tungependa kuwafahamisha kwamba katika ulimwengu wa teknolojia ya mawasiliano, hatua za kuzima au kufungia domain moja ya tovuti si suluhisho la kudumu.
Tunajua mna uwezo wa kufanya deep packet inspection (DPI) na kufungia domain..
Lakini hilo lisiwape kiburi..
Jamii ya IT...
Ikiwa nisipotumia VPN, digital address yangu inakuwa uchi uchi TCRA wananiona eneo niliko na nafanya nini mtandaoni, then TCRA hao hao wakanilazimisha nitumie VPN ili kuzifikia baadhi ya huduma mtandaoni walizozifungia, utaniambiaje tena nijisajili kutumia VPN ili unione nafanya nini mtandaoni...
1. Walimu na Wakufunzi
Jinsi ya kutumia:
Kuandaa notes na lesson plans kwa haraka.
Kutengeneza maswali ya mitihani na majibu.
Kutoa maelezo ya kina kwa mada ngumu (mfano hesabu, fizikia).
Kufundisha kupitia maudhui ya Kiswahili na Kiingereza kwa wanafunzi.
2. Waandishi wa Habari na Bloggers...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.