kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Ukraine wakamilisha mafunzo ya kutumia Leopard 2

    Kwa ambavyo Urusi imepoteza wanajeshi kisa kugombania kamji ka chumvi, ni dhahiri hivi vita Putin amedhamiria hata kama itabidi kuzamisha nchi, hivyo imebidi Ukraine wajiandae kuua Warusi kwa kadiri wawezavyo, wamepata mafunzo ya kutumia vifaru special na kuanza kugeuza kurudi nyumbani...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali kutumia mashahidi 26, vielelezo 86 kesi ya Kisena Wakurugenzi wa UDART

    Upamde wa mashtaka unatarajia kuita mashahidi 26 na vielelezo 82 katika kesi inayowakabili wakurugenzi watatu wa Kampuni ya Huduma za Usafirishaji wa Mabasi yaendayo Haraka (UDART) akiwemo Robert Kisena. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka 25 yakiwemo ya wizi, kutakatisha fedha na...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume watatu wafungwa miaka 75 kwa ubakaji wa Kutumia Silaha

    Mahakama Kuu nchini Ghana imetoa adhabu hiyo kwa Genge la Watu hao baada ya kuwakuta na hatia ya kuwaibia na kuwabaka baadhi ya Wafanyakazi wa Kujitolea wa #Uingereza huku wakiwa wamewaelekezea Bunduki. Washtakiwa wamekiri mashtaka yote manne (Kula Njama, Wizi, Ubakaji na Kumiliki Bunduki bila...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Serikali pigeni marufuku upimaji na ugawaji wa ardhi kutumia futi. Haiakisi mipango miji

    Kuna dhuluma kubwa na utapeli mwingi unatendeka kwenye kipimo cha futi kinachotumiwa katika upimaji na ugawaji kwa wasiojua. Kipimo cha futi ni cha kufikirika tu na zaidi kinatumika kipimo hicho kuficha ukweli halisi wa udogo wa viwanja vinavyotolewa. Kwa mfano, unakuta kiwanja unaambiwa kina...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hakuna uwezekano wa kutumia satelaiti kudhibiti uhalifu?

    Habari wanajamvi. Hili wazo nimekuwa najiuliza kama Kuna uwezekano wa kutumia satelaiti ( low orbit satellites) ambazo zinaweza kutupa images za kubaini matukio ya uhalifu kutoka angani na kuwabaini wahusika ili kuondokana na haya mambo ya "watu wasiojulikana". Kama tukio limetokea Magali basi...
  6. JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi sasa wa kutumia majina ya Vladimir na Sergei

    Ndiyo, sisi waafrika wenyewe si tumegoma kutumia majina yetu ya asili na kuyakumbatia majina fulani hivi enzi na enzi na sasa waliotukabidhi hayo majina sasa wanatuletea ushoga milangoni mwetu.........it gets nearer siku baada ya siku. Kutokana na hilo, nafikiria ni wakati sasa wa kutumia...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania Commercial Bank sasa kuna pension/salary advance kwa kutumia TCB POPOTE MOBILE : Kuna madhara yoyote kutumia huduma hiyo hiyo?

    Sasa unaweza kuvuta pesa kutoka kwenye mshshsra wako au pensheni yako mpaka limit waliyoweka. Huduma hiyo imeanzishwa two days back. Je kuna madhara yoyote kutumia huduma hiyo? Haya mambo ya technology yana siri nyingi! Mfano haya makampuni ya simu yanatuibia sana kwa kula bundle eti kuna...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake washauriwa kutumia Teknolojia katika shughuli zao

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bagamoyo mkoani Pwani, Mohamed Usinga ameagiza Vikundi vya Wanawake wanaliopatiwa mafunzo ya ubunifu na ujasiriamali na kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC, ambayo bado havijapatiwa mikopo katika Halimashauri hiyo vipewe kipaumbele kwanza ili waweze kujikwamua...
  10. JamiiForums Tanzania Mbeya: Watu wawili washikiliwa kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha za moto

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili Fred Nzunda (40) Mkazi wa Nzovwe Mbeya na John Nsemwanya [40] Mkazi wa Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP...
  11. JamiiForums Tanzania Simba yaizuia Yanga kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa

    Baada ya CAF kutoa maelekezo kuhusiana na mashindano ya Super Cup, uwanja wa Benjamin Mkapa umefungwa isipokuwa kwa mashindano ya kimataifa pekee. Kwa hiyo mashindano mengine yoyote ikiwemo yale ya Ligi ya NBC yataendelea katika viwanja vingine, kwa hiyo Yanga na Simba watalazimika kutumia...
  12. JamiiForums Tanzania Njia Tano (5) za Kutumia Kuwekeza Kwenye Ardhi/Nyumba Ukiwa na Mtaji Mdogo

    Bahati ya kununua kiwanja/nyumba kwa bei nafuu sana imejengwa kwenye kanuni maalumu. Kwa kanuni hiyo ni lazima uweke juhudi kubwa. Juhudi kubwa ndiyo ndugu wa bahati ya kununua kiwanja au nyumba kwa bei nafuu. Kumekuwa na ongezeko la thamani (bei) ya ardhi kila mwaka kutokana na kutokuwepo kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Vipi nikikwambia unaweza ukatengeneza logo bila kutumia experience yoyote?

    Leo nitakuelekeza jinsi ya kutengeneza logo ya kampuni yako haya ya mtu bila kutumia ujuzi wowote! fuatilia: Unahitaji kuwa na internet connection na smartphone au laptop. 1. Tutamia tool inaitwa chat gpt katika kutengeneza prompts. Kama huna account create hapa...
  14. JamiiForums Tanzania Je, kuna shida yoyote kutumia outdated OS ya simu?

    Nawasilisha, simu yangu inanidai kui"update" ila nimeona nipotezee kwakuwa nitakutana na vikwazo vya matangazo ya lazima ambayo yatatokana na launcher na Apps zingine ambazo zitahusishwa kwenye process ya ku"update". Ninachoulizia ni kwamba kuna side effect yoyote unapotumia OS ya aimu ambayo...
  15. JamiiForums Tanzania Komesha harufu kali ya miguu kwa kutumia VODKA

    TIBA MBADALA NA BUJIBUJI Hamna kitu inakera kama kwenda ugenini huku ukijua wazi kabisa kuwa miguu yako inatema chechex hadi moto unaweza kuwaka kwa harufu Kali. Kama unajijua unapitia tatizo hilo hamna noma, Bujibuji's Remedies inafanya kazi kwa ajili yako. Chukua buku mbili yako, ingia...
  16. JamiiForums Tanzania Kutumia gari yenye plate number za nchi jirani

    Wadau habarini za leo Naomba kujuzwa je kuna uwezekano nikuwa na gari lenye plate number za nchi jirani na nikata kuitumia hapa nchini kwetu Tanzania kwa muda then ndio nibadilishe nmaba kwa kufanya usajili? Ni taratibu zipi zinatumika kutumia gari hiyo hapa nchini? Mana niliwahi kusikia kuwa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa uwepo wa MUNGU bila kutumia vitabu vya dini

    Nimejaribu kuleta mjadala wa kichwa husika hapo juu.tujadili.kwakutumia logic ya kawaida pamoja na laws of nature ilikuonesha uwepo wa Mungu bila kuhusisha kitabu chochote cha dini fuatilia. Kila kitu kilichopo ulimwenguni kina kuwa na opposite yake mfano uongo kuna ukweli giza kuna mwanga...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli naweza kuingiza hela kupitia blog bila kutumia Google Adsense?

    Ni kweli kuwa unaweza kuingiza fedha au kujiingizia kipato bila kuwa na Google Adsense.Narudia tena ni ukweli. Baada ya kumaliza masomo ya advance nilizindua kitabu changu cha pili kiitwacho OPEN THE DOORS OF SUCCESS IN YOUR ACADEMICS. Lakini ndoto zangu zilikuwa ni kuwa mwandishi mkubwa wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kanisa la Anglican la Uingereza (Church of England) linajadili kutumia maneno yanayomhusu Mungu yasiyowakilisha jinsia yoyote (gender neutral terms)

    Kanisa la Anglican linajadili uwezekano wa kutokutumia jinsia pale unapotaja Mungu. Yaani mungu sio baba ama mama. Lengo la kufanya hivyo ni kuhakikisha kwamba dini inaendana na muda na wakati wa sasa na dini inakua jumuishi. Dini kua jumuishi ama inclusive ni kutambua haki za mashoga na watu...
  20. JamiiForums Tanzania Tumpinge Lissu kwa hoja. Kutumia ulemavu wake kama hoja ya kisiasa ni kumwezesha kupata kura za huruma kwa wananchi

    Binafsi sikubaliani kabisa na ushenzi aliofanyiwa Lissu na watu ambao hadi leo hawajajulikana. Lile tukio lilikuwa ovu mno kuwahi kutokea. Mimi naamini katika utawala wa sheria. Kama kuna kosa alifanya basi ilipaswa tu kumfikisha mahakamani na sio kumshindilia marisasi. Kila ninapokumbuka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…