kutumia silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kuna viashiria kuwa wananchi wameanza kuunga mkono njia za nguvu

    Nataka nitoe disclaimer kuwa siungi mkono mapinduzi ya kijeshi kama namna ya kufikia malengo ya kisiasa. Hata hivyo mimi kama mwanajamii ambaye naishi ndani ya jamii, nina wajibu wa kuchangia maoni na kuonya ikibidi pindi ninapoona muelekeo hatari kwa mustakbali wa Taifa. Ni hivi, nimesoma...
  2. Analogia Malenga

    GE2025 Mwanza: Watu 172 wamepandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka yakiwemo kuharibu mali, na unyang'anyi wa kutumia silaha

    WATU 172 KORTINI WAKITUHUMIWA KUFANYA VURUGU, UNYANG’ANYI WA KUTUMIA SILAHA MWANZA Watu 172 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nyamagana, mkoani Mwanza na kusomewa mashtaka kadhaa yakiwemo ya kuharibu mali, kuchoma moto na unyang'anyi wa kutumia silaha...
  3. Huihui2

    Julius Malema akutwa na hatia ya kutumia silaha hadharani, aweza kufungwa miaka 15

    Julius Malema, kiongozi wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) nchini Afrika Kusini, amehukumiwa kwa kosa la kukiuka Sheria ya Udhibiti wa Silaha (Firearms Control Act) mwaka 2018. Mahakama ya Mahakimu wa Mkoa wa East London ilimtumia hukumu hii tarehe 1 Oktoba 2025, ikiwa ni pamoja na...
  4. Webabu

    Kutumia silaha ya chakula huko Gaza baada ya kutofikia malengo ni tangazo la kusindwa vita kwa Israel

    Watu wa enzi hizi tumekuwa tuko nyuma sana kuwaza kulinganisha na wale waliotutangulia kiasi kwamba tunashindwa kuona ukweli penye uongofu. Kama tutawaza vizuri basi ni wazi tutaona kuwa matumizi makubwa ya silaha na kuua na kuvunja majumba hakujasaidia kubadilisha mawazo ya Hamas na wenzao wa...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Mjeshi kupigana na Mtu asiye na mafunzo, kutumia silaha kwa mtu asiye na silaha. Inabomoa heshima na hadhi ya Jeshi

    Habari za Sabato! Kuna Mambo yanachekesha kwa nje lakini kwa Ndani yanasikitisha Mno. Yanavua heshima. Mjeshi mwenye mafunzo ya kijeshi. Komando tena jasusi bobevu ATI kupigana na raia ambaye Hana mafunzo yoyote Yale. Tena zaidi wengine hufikia hatua unampiga mtu asiye na mafunzo lakini...
  6. Dalton elijah

    Iran: Hatuna Chaguo ila Kutumia Silaha za Nyuklia

    Iran imesema haitakuwa na njia nyingine ila kutumia silaha za nyuklia endapo itashambuliwa na Marekani au Ali Larijani, Mshauri wa kiongozi mkuu wa Iran, Ayatullah Ali Khamenei, amesema kwenye mahojiano na televisheni ya taifa la Iran kwamba "hawaelekei kwenye kuunda silaha za nyuklia, lakini...
  7. B

    Orodha ya silaha za asili ( Za kibaiolojia na kemikali) kujilinda dhidi ya vibaka wa nyumbani

    1. Mafuta ya kula : Kaa ndani na mafuta yako Lita tatu. Kila siku usiku saa tano yachemshe hadi yatokote kisha hifadhi kwenye chupa ya chai. Ukiwa na chupa zaidi ya moja itakuwa vizuri zaidi. Usiku wakivunja wewe wamwagie na hayo mafuta ya moto usoni. Wanaweza kufa hapo hapo wote na watakao...
  8. Samia atosha tukutane2030

    Serikali msitutoe kwenye reli kwa hukumu ya kifungo cha maisha kwa maafande wahuni, bado tunawaza utekaji wa kutumia silaha za kivita mchana

    Mimi binafsi kila jambo nalipa nafasi yake, sehemu yake na muda wake. Sio mjinga kwamba jambo B linaweza kunisahaulisha jambo A. Wewe ukinitukana leo halafu kesho unipe elfu 10 ya chai ninaweza kuipokea lakini haitanitoa kwenye case ya matusi uliyonitukana jana. Serikali bado tunasubiri...
  9. G

    Hamas / hezbollah wanapenda kutumia raia kama ngao, kwa maksudi wanatunza na kurusha silaha kwenye makazi ya watu, Gaidi ni gaidi hata awe ndugu !!

    Siku chache zilizopita Israel imelipua ghala kuu la silaha wanazotumia Hezbollah kushambulia miji ya Israel, Ghala limejengwa kati kati ya mji wenye makazi ya watu wengine, Israel iliposhambulio kuna makombora yalianza kufyatuka bila mpangilio, Watu kadhaa wamefariki lakini hii imefichwa sababu...
  10. Kaka yake shetani

    Je, sheria kuzuia raia kumiliki silaha ndio nguvu ya wasiojulikana kuteka watu kwa urahisi?

    Utekaji ni kitendo cha uwezo mkubwa maana kinatumika na silahaa za moto ili kukabiliana na endapo kutatokea ubishani kati ya muhusika au wananchi kwenye tukio. Ila cha kushangaza watekaji waliopo hapa tanzania ndio wenye matumizi ya vifaa hivyo ukilinganisha si rahisi nchi kukupa silahaa hiyo...
  11. L

    Wapinzani wa Rais Samia waanza kutumia silaha ya Uzushi na uongo kumshambulia baada ya njia zao kushindwa.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni mtu anayeishi mbele ya wakati na muda na kiongozi Mwenye akili na upeo wa hali ya juu sana,ni mtu Mwenye jicho la tatu nje na haya mawili ya kibinadamu.ni kiongozi aliyejaliwa macho ya Rohoni yenye uwezo wa kuona asipoweza kuona Mwenye macho ya kawaida. Ni...
  12. Ghost MVP

    Askari Polisi kutumia silaha za moto za Automatiki (SMG, ASSAULT RIFLES) siyo sahihi, ni silaha za Kivita

    Hizi bunduki za Automatiki zenye risasi nyingi kama 30+ ni silaha mahususi za Kivita sio za kulinda Raia au Kupigia Doria Ukiangalia Nchi za wenzetu Police wanatumia Hand Gun kama Pistol ndogo kama Bereta na Glock kwasababu hizi hazina Impact kubwa ukipigwa katika mwili. Ila hizi Mashine Gun...
  13. BARD AI

    Dar: Askari walioiba Tsh. Milioni 90 kwa kutumia Silaha wafutwa kazi, washtakiwa upya kama Raia huru

    Upande wa Jamhuri umelazimika kubadili hati ya mashtaka dhidi ya waliokuwa Maafisa wa Jeshi la Polisi kwa kuondoa namba za Utambulisho wao ambazo ni F 7149 D/ Coplo Ramadhani (42), G. 7513 D/ Coplo Majid Abdallah na WP 6582 D/ Coplo Stela Mashaka ambapo sasa wameshtakiwa kwa majina yao halisi...
  14. BARD AI

    Polisi: Askari ana haki ya kutumia Silaha ili kujilinda

    JESHI la Polisi nchini, limewataka watu wanaojichukulia sheria mkononi kwa kuwashambulia askari wanaobeba siliha kuacha tabia hiyo mara moja kwani sheria inamruhusu kutumia silaha hiyo kwa ajili ya kulinda uhai wake, uhai wa mtu mwingine na mali binafsi na za serikali. Taarifa hiyo imetolewa na...
  15. polokwane

    Serikali iwe makini wanaofundisha watoto kupigana na kutumia silaha sijui wanajiandaa na nini

    Vitengo vyetu vya usalama vifanye kazi kwa weledi msije shtuka wakati mmesha chelewa. Shule nyingi zinafundisha watoto kupigana ngumi, Karate na kutumia silaha za jadi na baadhi wanatoa hata maelekezo ya silaha za moto huenda. Sasa wanajiandaa na nini? Na maandalizi yao wapo very secret na...
  16. BARD AI

    Wanaume watatu wafungwa miaka 75 kwa ubakaji wa Kutumia Silaha

    Mahakama Kuu nchini Ghana imetoa adhabu hiyo kwa Genge la Watu hao baada ya kuwakuta na hatia ya kuwaibia na kuwabaka baadhi ya Wafanyakazi wa Kujitolea wa #Uingereza huku wakiwa wamewaelekezea Bunduki. Washtakiwa wamekiri mashtaka yote manne (Kula Njama, Wizi, Ubakaji na Kumiliki Bunduki bila...
  17. Roving Journalist

    Mbeya: Watu wawili washikiliwa kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha za moto

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili Fred Nzunda (40) Mkazi wa Nzovwe Mbeya na John Nsemwanya [40] Mkazi wa Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP...
  18. Kamanda Asiyechoka

    Ushauri: Kwa sababu kuna uhalifu mkubwa wa kutumia silaha, jeshi la polisi liandae wadunguaji makini " sharpshooters" ili kumaliza majambazi.

    Majambazi wanalitesa sana taifa letu. Mtu anaye kuwa na ushahidi wa kumiliki silaha haramu na kujifanya anapambana na polisi basi hao sharp shooters wafanye kweli kabla hajavuta triger awe amekula kama kumi. Taifa linatakiwa kuwa huru na watu wawe huru kufanya ujasiriamali na wala sio kuwaza...
  19. M

    KWELI Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia, Aprili 20, 2022

    Urusi yaanza mazoezi ya kutumia makombora ya nyuklia ni saa chache baada USA kukubali kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu.
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Maisha ni vita, usikariri kutumia silaha Moja

    MAISHA NI VITA, USIKARIRI KUTUMIA SILAHA MOJA! Anaandika Robert Heriel Wataalamu WA vita watakubaliana na Mimi kuwa uwapo kwenye vita hakuna kanuni ya Moja Kwa Moja inayotumika, mtapigana kadiri adui ajavyo na kadiri Hali ilivyo, hakuna kukariri silaha Fulani ndio lazima uitumie kila sehemu...
Back
Top Bottom