kutuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tommy 911

    JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kutunza pesa

    Habarini wana jf mimi naomb wenye kujua njia ya kutunza pesa ukiachan na bank na mitanndao ya sm .....nnaingiza milioni moja kwa mwezi
  2. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia, Acha kutusingizia, hatuja kutuma

    Leo nimemsikia spika wa Bunge Tulia, ametumwa na wananchi wa Tanzania kumpa tuzo Rais wa Jamhuri ya watu wasio na mawaa. Sisi wananchi hatuna kumbukumbu ya kukutuma kwa jambo hilo. Tunaomba ukanushe, maana habari hizi sio za kweli kabisa. TCRA wapo njiani kutuma barua vyombo vya habari viondoe...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kutuma mzigo ndani ya Dar na mikoani

    Habari nipo natafuta kazi ya kutuma au kuagizwa chochote mzigo ndani ya dar au mikoani mm nipo dar es salaam.
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wananchi waanza kutuma Salamu za No Reform No Election

    Wakati Makaburu walivyowakamata na kuwafunga Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, wananchi wa Afrika kusini waliona isiwe tabu na kuanza kufanya mission za kimyakimya kuwaangamiza Ma puppet wa Makaburu. Moja ya mbinu zilizofanywa na Wananchi wa Afrika kusini ni kuharibu na kuchoma mali za na...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ujue Mkoa ambao Wanaume wake wanaongozwa kutuma Nauli kwa Wanawake na hawaendi na Mkoa unaongoza kwa Wanawake kula Nauli walizotumiwa na Wanaume

    Wanaume wa Mkoa wa Mwanza wanaongoza kwa kuliwa Pesa za Nauli wanazowatumia Wanawake pale wanapowatongoza au kuwahitaji Kimapenzi na Wanawake wa Mkoa wa Kilimanjaro ndoyo Wanaongoza kwa kula Nauli wanazotumiwa na Wanaume ambao Wamewatongoza au wanawahiotajio Kimapenzi. Hii ni kwa mujibu wa...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Aliyepewa kitengo cha kutuma sms sitapeliki Sasa imetosha😅🤣

    Huyu mtumishi namkubali anakula mshahara wa halali Ametukumbusha kuhusu matepeli Kwa siku tutapokea SMS hazipungui 10 za SITAPELIKI Sasa😅 imetosha kaka, ujumbe umeeleweka Na hakika SITAPELIKi tena
  7. one one chief

    JamiiForums Tanzania Bank kutuma pesa kimakosa

    Naomba wenye kujua wanijuze hili, kuna bank furani ilituma pesa kimakosa February 1 katika account yangu... na baada ya kuchukuwa statement ikaonekana na mshahara uliolipwa kutoka kaasisi furani. (Mimi sio muajiriwa wa taasisi yoyote). Baada ya siku tatu wakanipigia simu kupitia mtu wa bank...
  8. tamu 3

    JamiiForums Tanzania Hivi ushawahi kukosea kutuma Ujumbe wa simu? Mimi nilimtumia dada yangu kimakosa "Nimekumisi Baby nina hamu sana nawe"

    Nikamwomba msahama hakuelewa kikao kikakaliwa nikaomba msamaha nikasingizia kuwa siku hiyo nilitumia bangi. Wewe ilikuwaje?
  9. Bra-joe

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kuhusu wanaotaka kutuma fedha nje ya nchi kupitia airtelmoney

    Habari ba-Ndugu? Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza, nawatahadhalisha wale wenye mpango wa kutumia Airtelmoney kutuma fedha nje ya nchi kufikiri kutumia njia nyingine badala ya hii. Nilituma fedha SA tarehe 20 Jan mpaka ninavyoandika hapa fedha hiyo haijamfikia mlengwa, Nimewapigia Airtel jibu...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Motivational/ Interesting/ Wise Quotes

  11. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kutuma meseji ya kawaida(normal text) kutoka Airtel Tanzania kwenda United Kingdom(UK)

    Nduguzangu wasalaamu, kuna namba ipo UK, inaanzia na +44, haipo Whatsapp wala telegram wala wapi, nalazimika kutuma meseji kwa normal text tu, naombeni mnisaidie ni kifurushi kipi kutoka laini yangu ya Airtel hapa Tanzania, kitaweza kufanikisha hilo, au ni muda wa maongezi wa kawaida? Au...
  12. S

    JamiiForums Tanzania kwani TCRA hawawezi kuangalia namna ya kuzuia namba mpya kutuma ujumbe kwenye namba ambayo haijawahi kuwasiliana nayo??

    Kumekuwa na hili swala la kupokea sms mfululizo kutoka kwa namba zisizojulikana, yaani ukikaa kidogo utaona mara "iyo hela tuma kwa namba hii" mara "mzee nani nani anatibu mvuto, pete ya nini sijui" hujakaa sawa mara "jiunge na chama chetu" mara " mimi mwenye nyumba wako" na nyingine nyingi...
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Airtel kutuma pesa kwenda kampuni zingine au bank: ‘Unable to fetch , bad details’

    Tangu jana usiku, nikitaka kutuma pesa toka Airtel money kwenye mitandao mingine ya simu au bank napata ujumbe wa ‘Unable to fetch, bad details’ Je, kuna taarifa yoyote rasmi juu ya tatizo hili? @airteltanzania
  14. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini gharama za kutuma pesa kutoka Akaunti ya benki kwenda mtandao ya simu ni kubwa sana?

    Hili suala limekaaje kitaalamu, mfano benki kama NMB ukitaka kutuma pesa kwa mtu kutoka kwenye Akaunti ya benki kwenda kwa namba yake ya simu Cha mtema Kuni utakiona. Je hii ni sawa wakuu? Kwanza gharama za makato hazionekani kabla ya kutuma pesa, ila utakutana nazo tu ukishatuma tayari. Hii si...
  15. Yohimbe bark

    JamiiForums Tanzania App gani naweza kuitumia kutuma sms nyingi kwa wakati mmoja?

    Kuna kazi nimepata moja ya majukumu yangu ni kutuma sms ya shukrani kwa wateja wote kila siku waliokuja kupata huduma kwenye kampuni yetu, je app gani itanisaidia wakuu? Thanks in advance.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Njia ya zipi sahihi kutuma mzigo Marekani

    Hello ndugu, ninahitaji kutuma mzigo marekani ni kilo 5 TU za karafuu je ni kampuni gani ya ndege au yoyote ya usafirishaji naweza kuitumia kutuma mzigo wangu kwa haraka na unafuu? Wenye uzoefu naombeni msaada wenu na pia naomba kujua gharama exactly za kutuma huo mzigo.
  17. H

    JamiiForums Tanzania Alikiba: niliacha kufanya videos sababu ya watu kutuma robot youTube

    Msanii wa kizazi kipya wa bongofleva alikiba maarufu kama kingkiba wakati akifanya interview na cloudsfm amefunguka kuwa kuna watu wanaweka robot na wanajidanganya kuwa na views wengi hii imempelekea kuachia audio bila kuwa na video
  18. Yoda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gavana wa Mombasa atuhuhumiwa kutuma wahuni kumlawati mwanamitandao mkosoaji wake

    Gavana Abdullswamad Sharrif Nassir wa Mombasa anatuhumiwa kila kona kwa kutuma wahuni kumlawati mwanablogu mkosoaji wake Bruce John. Video ya mwanablogu huyo akifanyiwa madhila hayo imesembaa huku mwenyewe akikiri kutekwa, kuteswa na kulawaitiwa na vijana wawili.
  19. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Mtoto auawa baada ya familia kushindwa kutuma Milioni 6 kwa watekaji

    Hali tete , familia watendewe haki ni zaidi ya mwaka sasa , vyombo vya usalama vifanye juhudi za ziada . https://youtu.be/6onwxmeYfDE?si=qYODv9dKxBE-9040
  20. Akotia

    JamiiForums Tanzania Msaada kutuma kahawa Marekani

    Habari za mchana jamii, Nina tatizo la kutuma kahawa ya Kilimanjaro kwa rafiki yangu aliye Marekani. Nimejaribu kutumia huduma za posta lakini wameambia ni lazima niwe na leseni hata kwa kiasi kidogo kama 400g ya kahawa. Hali hii ya urasimu inakera sana na inafanya iwe ngumu kwa sisi Watanzania...
Back
Top Bottom