Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Wakati Makaburu walivyowakamata na kuwafunga Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, wananchi wa Afrika kusini waliona isiwe tabu na kuanza kufanya mission za kimyakimya kuwaangamiza Ma puppet wa Makaburu.
Moja ya mbinu zilizofanywa na Wananchi wa Afrika kusini ni kuharibu na kuchoma mali za na puppet wa Makaburu kimyakimya bila maandamano wala kelele.
Makaburu walianza kushtuka tu kuona moles wao wanachomewa nyumba zao, magari yao na wengine kuuwawa kimyakimya.
Mwisho Makaburu waliona isiwe tabu Wakamuachia Mandela n kufanya Uchaguzi Huru na wa Haki wa Kwanza Afrika Kusini ambapo Nelson Mandela alishinda na kuwa Rais.
Asanteni sana Wananchi wa Mbeya. Mwendo ndo huu. Ni kimya kimya. Bila kelele.