kutuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Amaizing Mimi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katuma meseji kwangu badala ya kutuma kwa X wake

    Habari zenu wakuu. Juzi tuligombana na wife na baada ya mabishano ya siku mbili wife aliamua kwenda home kwao. Sasa leo asubuhi nikawa nachat nae kumbe wakati huo huo alikuwa anachat na x wake. Kuna sms ilibidi aitume kwa x wake akatuma kwangu.inaonekana x wake alikuwa anammind kwa kuolewa na...
  2. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mpesa inakataa kutuma pesa tigo pesa, TCRA waangalieni hawa voda.

    Siku nyingi. Nikijaribu kutuma pesa kutoka Mpesa kwenda Tigopesa inakataa. Inarudiarudia kusema niweke namba ya siri hata mara kumi. Nahisi Voda wanafanya hili makusudi, labda wana bifu na Tigo. Maana hata kununua airtime tigo kwa kutumia Mpesa haiwezekani. Kama wana bifu, basi linatukwamisha...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Watu milioni 30 wanaofanya miamala ya Sh1 hadi Sh999 kwa siku hawakukatwa tozo ya kutuma na kutoa fedha

    Serikali ya Tanzania imesema watu milioni 30 wanaofanya miamala ya Sh1 hadi Sh999 kwa siku hawakukatwa tozo ya kutuma na kutoa fedha. Hayo yamesemwa leo Septemba mosi, 2021 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba katika mkutano wake na wanahabari akibainisha kuwa lengo ni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vipi naweza kuagiza mzigo kupitia kampuni ya Alibaba mzigo ukafika salama?

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji kuagiza machine ya incubator hivyo kuna duka wanahitaji kuniuzia hiyo machine lipo China kupitia alibaba ebu nipeni uzoefu mliowahi kuagiza MZIGO nje ya nchi kupitia alibaba
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Makato ya kutuma Shilingi milioni moja ni nauli ya kutoka Morogoro Mjini mpaka Mwanza

    Hebu tuwe serious na maisha nyie Wana ccm hivi mnaona sahihi haya MAKATO ya MIAMALA? Imagine nikitaka kufanya transaction ya milioni moja ni 40,000/= hii ni nauli ya Msamvu mpaka Nyegezi stand au stand ya Nato.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Marekani kutuma kikosi maalumu cha jeshi Congo DRC kupambana na wanamgambo

    Utawala wa Rais Joe Biden wa Marekani unajiandaa kutuma kikosi maalumu cha jeshi Congo DRC kupambana na wanamgambo wa ADF na ISIS waliopo mashariki. Balozi wa Marekani Congo DRC amesema kwa sasa vita vya Congo vitafikia ukingoni. Hatua hiyo ya Marekani unakuja wiki moja baada ya Kenya nayo...
  7. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asante Rwanda kwa kusaidia Msumbiji. Wachana na Waoga wengine waliokataa kutuma jeshi huko

    Licha ya nchi fulani kujificha chini ya kitanda na kukataa kutuma jeshi msumbiji, jeshi la Rwanda jana lilitangaza kwamba limeikomboa port ya Mocimboa da Praia kutoka kwa magaidi. Pia wamekomboa airport na hospitali katika eneo hilo. Bila shaka Jeshi la Rwanda linawapa viboko hawa watoto wadogo...
  8. entry

    JamiiForums Tanzania Kamati ya kutuma na kutolea nini tatizo?

    Habarini wakuu, Baada ya hii tozo mpya kwenye mitandao ya simu matarajio yangu wale wanawake wa tuma na ya kutolea watawahi kuchakata mbinu mpya ya kupata pesa ila naona kimya mpaka sasa. Tu-assume mmeshindwa kubuni njia mpya au bado mpo katika mchakato? Nawasilisha
Back
Top Bottom