kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali Kufufua Usafiri wa Reli ya Kati Kiwango cha META GAUGE Kutoka Dodoma Mpaka Singida

    SERIKALI KUFUFUA USAFIRI WA RELI YA KATI KIWANGO CHA META GAUGE KUTOKA DODOMA MPAKA SINGIDA "Je, Serikali ina mpango gani wa kufufua usafiri wa Reli kutoka Dodoma kwenda Singida? - Mhe. Martha Nehemia Gwau, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida "Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC)...
  2. Marekani yaanza kujibabadua kutoka ubashiri wa michezo (Betting).Athari zake zinaharibu uchumi na kutesa watu

    Kwa ushamba wa nchi za kiafrika hawatendi mpaka kitu kiwe kimeanzia kwa wazungu na hawaachi kutenga mpaka wazungu waseme kina madhara. Michezo ya kamari katika michezo imekuwepo kwa miaka mingi nchini Marekani na hata kutungiwa sheria na majimbo mbali mbali ili ifanyike bila matatizo.Hata hivyo...
  3. TMA: Kimbunga “HIDAYA” kipo umbali wa Kilomita 120+ kutoka Pwani ya Dar es Salaam

    Dar es Salaam, 04 Mei 2024 saa 12:00 Asubuhi: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo karibu na maeneo ya pwani ya nchi yetu. Hadi kufikia saa 9 usiku wa kuamkia leo, Kimbunga “HIDAYA” kilikuwa katika eneo la bahari takriban...
  4. KERO Usumbufu kwa wananchi kutoka kwa Wanajeshi Chuo cha Jeshi CTC Mapinga ni kero kubwa, TPDF shughulikieni hili

    Kuna kero kwa wakazi tunaotumia barabara iliyopo mbele ya Chuo cha Jeshi la wananchi wa Tanzania CTC Mapinga, kitongoji cha Kiembeni, Kiharaka Bagamoyo. Ni barabara kubwa kutokea Mingoi kwenda Mbweni (kuvuka daraja la Mpiji). Wanawafyekesha wananchi majani nje la lango lao kuu na pembeni ya uzio...
  5. S

    Meneja: Kibu ana ofa tatu kutoka Nje ya Nchi

    Ofa za usajili zilizokuja mezani za Kibu Denis kutoka nje ya Tanzania ni kutoka Misri, Sweden 🇸🇪 na Norway. Amethibitisha meneja wa mchezaji huyo, Carlos Mastermind.
  6. R

    PreGE2025 Upo uwezekano wa Arusha kutoka kuitwa Geneva of Africa na kuitwa Wadudu City, tunavurugana

    Arusha inasifika kwa utalii.....Arusha ni jiji linalokutanisha watu wa makundi mbalimbali kwa sababu ya hali yake ya hewa. Katika ukanda wa Afrika Mashariki DAR imeshindwa kushindana na Nairobi kwa sababu hali ya DSM ni joto na hivyo uvutia watu wachache kuishi ikilinganishwa na Nairobi ambayo...
  7. PreGE2025 Jinsi Rais Samia alivyomsaidia Lissu kutoka mafichoni

    Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam zangu kwenu, ningependa kuendelea na mada yangu nzuri hapo chini. Wakuu kwa wale wajuzi wenzangu wa mambo mbali mbali yanayoendelea duniani, nafikiri mshawahi kuusikia ule msemo unaosema kuwa "Paka akitoka, akiondoka au kuondolewa sehemu, basi...
  8. Sasa ni wakati wa kutoka gizani kwenye pango kuhusu utajiri wa madini

    Hapa kuna ujumbe kwenu: Alama ya pango la Plato Katika pango, watu ambao wameishi maisha yao wakielekea nyuma kuelekea mwanga unaoingia kutoka nje, wanauona tu vivuli vya wanyama, watu, na vitu mbele yao. Vivuli hivi ndivyo ukweli pekee kwa watu hawa ambao hawajawahi kuona sura zao halisi.Siku...
  9. Wale tuliopewa muonekano na ngozi nzuri hata kama tuna changamoto za kimaisha tukutane hapa

    Kuna wale ambao mungu ametupendelea hata tukikaa jela miezi kadhaa huwa hatuchuji, tunafanyiwa figisu za hapa na pale ili tuharibikiwe na kufubaa lakini bado tunazidi kung'aa tu na maadui zetu wakituona huwa wanazidi kuchanganyikiwa zaidi tukutane hapa 😊
  10. Hizi ndiyo timu kutoka Africa zitakazo shiriki michuano ya FIFA klabu bingwa dunia

    kwa bara la Afrika zimeingia timu nne tu katika michuano ya klabu bingwa dunia, michuano hii ipo chini ya FIFA Al ahly kutoka nchini Misri Wydad kutoka nchi ya Morocco Mamelody sowndowns kutoka nchi ya south Africa Esperance de tunis kutoka nchi ya Tunisia NB: Kuna timu kutoka Tanzania...
  11. Hafidh Ameir (Mtoto wa Rais Samia) Apokea Zawadi ya Rais Samia Suluhu Hassan Kutoka UWT Katika Mdahalo wa Wanawake na Muungano

    Hafidh Ameir, Mbunge wa Viti Maalum (Zanzibar) na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) ameshiriki katika Mdahalo wa Kitaifa wa Wanawake na Muungano ulioandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) leo tarehe 25 Aprili, 2024 Jijini Dar es Salaam Mhe. Wanu...
  12. R

    Ona hukumu ya mikopo chechefu kutoka Court of Appeal

    1. Hukumu hii ni halali kabisa according to my legal observation. Reasoning ya waheshimiwa majaji iko correct...time barred serving of legal documents to respondents. under the following preliminary objection: The amended record o f appeal by the appellant was served on the 1st, 2nd, and 3rd...
  13. Idadi ya Wanawake Wanaomiliki Ardhi Nchini Imeongezeka Kutoka Asilimia 25 Hadi Asilimia 41

    "Serikali imefikia wapi kuweka utaratibu rahisi wa urasimishaji na umilikishaji Ardhi hususani kwa wanawake? - Mhe. Rose Cyprian Tweve, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa "Serikali inatekelezeka mradi wa kuboresha usalama wa milki ya Ardhi kupitia mradi wa LTIP kwa mkopo wa fedha kutoka Benki...
  14. NItumie waya wa milimita ngapi kuunganisha mota yenye 22Kw kutoka kwenye MCB

    Ni waya gani sahihi wa kuunganisha mota kutoka kwenye mcb pia nataka kujua huu waya kwenye picha hapa chini ni milimita ngapi
  15. Unadhani katuni hii inamanisha nini mdau?

    Eti mdau umeelewa nini kutoka kwenye katuni hii?
  16. Ongezeko la wachimbaji wa kigeni na wakezaji kutoka bara la asia .Ni kipi Watanzania tumegundua kwao?

    Kuingia kwa wachimbaji wa kigeni na wawekezaji kutoka bara la Asia, hasa katika sekta ya uchimbaji, kunaweza kuleta fursa na changamoto kwa Watanzania. Idadi kubwa ya wachimbaji wa kigeni na wawekezaji wengi wanatokea bara la Asia, hususan China. China ni moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi...
  17. Methali ya siku: Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu

  18. Hofu yazidi kutanda, Iran yaanza kutorosha wakuu wake kutoka Syria

    Tatizo Israel hufanya baadaye mnapata matokeo, hivyo haijulikani watafanya wapi au kivipi, hofu imeanza kutanda kote, Iran imetorosha makamanda wake kutoka Syria, pia viongozi wa Hezbollah wameanza kufichwa....... Iran pulling senior officers out of Syria As part of those preparations, Iran has...
  19. IRAN; anga yetu si salama kwa ndege za Israel, zitakutana na pigo zito kutoka kwa ulinzi wetu

    Wanaukumbi. Kamanda wa kituo cha pamoja cha ulinzi wa anga cha Khatam al-Anbiya cha Iran: Anga zetu si salama kwa ndege za Israel, zitakutana na pigo zito kutoka kwa Ulinzi wetu wa Anga. Marekani na Ulaya wamemwambia Israel Usijaribu kurudisha mashambulizi Israel. Sisi itakuwa ngumu...
  20. N

    Nataka kuuza nyumba, viwanja, gari na vitu vyote vya ndani nirudi bara kuanza upya kutoka Zanzibar

    Ndugu wana JF poleni na kazi na mihangaiko ya maisha. Mimi ni kijana wa miaka 29 mzaliwa wa Morogoro na kukulia DSM hasa maeneo ya Tandika! Nilipohitimu masomo yangu pale UDSM 2017 nilikuja Unguja mwezi wa 7 mwaka huo huo kujaribu bahati yangu, kilichonileta ni soka na alieniunganisha na hio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…