Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.
UMEWAHI kusikia kanisa liitwalo KANISA HALISI LA MUNGU BABA? Wanavaa nguo nyeupe kanisa zima, ibada zao nyingi zinarushwa STAR TV?Hawataji jina MUNGU wala YESU wao wanaita CHANZO HALISI 😁Hapa nakuletea historia fupi ya kiongozi huyo maarufu kwa jina la ELISHA ELIYA MIAKA 1000 (anaandika michuzi...
Wakuu
Nafanya biashara ya kuchukua mzigo Dar. Changamoto ni gharama za usafiri unajikuta faida inaishia kwenye nauli.
Nielekezeni njia rahisi ya kusafirisha mizigo kutoka Dar kuja Mwanza kwa bei rahisi ila uhakika.
Achana na magari vishoka, wale wa kuunganisha unganisha wezi sana.
Hello!
Leo katika pita zangu mtaani kwetu makuburi nikamkuta bwana afya wa kata ya makuburi kibangu wanakoromeana na mmiliki wa banda la chips huku mmiliki wa banda hilo akimnyooshea kidole bwana afya kuwa anafanya utapeli kwa kuwa yeye(mwenye banda la chips) ana miaka zaidi ya mitano katika...
Hatua hii ya Kimakusudi imekuja ili kuyaondoa Makanisa ya Kipumbavu Kipumbavu ( ya Kitapeli tupu ) ambayo yamejaa sana katika nchi moja ( nimeisahau Jina kwa sasa ) yenye Raia Wabishi, Wasioshaurika, wenye uwezo mdogo wa Kufikiri na Wanaodhani kuna njia ya shortcut katika Kufanikiwa kupitia...
Andika msemo au kauli moja kutoka kwa raisi wetu kipenzi cha watanzania Pombe Magufuli ambao unaukumbuka. Andika msemo huo mpaka msomaji akisoma asisimke ausome msemo huo kwa sauti ya Magufuli.
Mie naanza " Mimi nataka kama ni kunipenda, mnipende kwa ajili ya kazi. Kama ni kunichukia mnichukie...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba,Ambaye ni waziri wetu wa Fedha ametumia usafiri wa Treni ya Mwendo kasi kutoka Dar kuelekea Dodoma.ambapo Mheshimiwa Waziri ameonekana akiwa amejaa Tabasamu na furaha kubwa sana katika uso wake akiwa ndani ya usafiri huo.
Ambao...
"watu duni kifikra hudhani ujenzi wa miundombinu ni maendeleo, yaani barabara, reli, madaraja, hayo sio maendeleo ni mahitaji ya eneo husika tu"
Hayo hapo juu ni maneno ya rafiki yangu mmoja kutoka moja ya nchi zilizoendelea na katika maongezi aliendelea kueleza yafuatayo.
Mtazamo wa maendeleo...
Hatarini za majukumu wana JAMIIFORUMS nimeandika uzi huu kuulizia au kujua bati imara na nikampunigani ya kuzalisha bati hapa nchini ina toa bati imara na inayodumu kwa muda mrefu bila kupauka.
Kumekuwepo utitiri wa viwanda vingi, hofu ni kwamba uzalishaji wake katika bidhaa zao ni wa mashaka...
Ndugu zangu
Wanaume ni kweli tunapitia magumu ila kamwe tusikubali hizi dharau kutoka kwa hawa wanawake.
Ni mara mia kama unajua huwezi kuichapa uache kusumbua wanawake .
Habari zenu kama tunavyojua mpendwa wetu Leejay49 alipata shida kidogo iliyopelekea kufanyiwa upasuaji wa sikio na jicho ni baada ya muda kidogo leo nimepata kuwasiliana nae
Anasema anaendelea vizuri kiaina na kutokana na hali yake ameshindwa kujibu tag zote alizokuta humu jukwaani (Bado...
Nchi dhaifu kabisa na nchi ndogo kama Ukraine leo hii ndo ya kuivamia Russia?
Nani alitegemea haya kutokea?
Kwa hali hii, Irani na nchi zingine zinazoiamini Russia na kuweka matumaini kwake kwamba ataweza kuwalinda, waendelee kuamini hivyo?
Kwa namna hii, Bado USA ndiye kiranja wa mataifa...
Ila matajiri wa bongo bwana.
wamekuwa motivational speakers kuliko uhalisia.
Tajiri wa kitanzania na mmiliki wa mabasi ya Super feo anasema yeye alianza na mtaji wa elfu 20 tu na sasa anamiliki mabasi mengi.
Wakuu niliwaambia kuwa nasafiri lakini mpenzi wangu aligoma kuja nami na ukawa mwisho wa mapenzi yetu kwa kuwa mbali na kuwa alikuwa hataki kuja ughaibuni, pia alikuwa anaona nitatafuta mtu wa mataifa haya ili kuendeleza uzao.
Nimeshafika ughaibuni(Kimsingi niko kwa Biden) nimekutana na wabongo...
Hii si mara ya mwanzo kwa Ukraine kujifafagua katika vita utadhani ndio wameshinda.Walitaja mengi kule Kherson na kwamba walikuwa wako karibu kukata njia inayoelekea Crimea kwa kuuganisha bara la bahari nyeusi.Hatimae imekuwa kimya kabisa.Na mengi mengineyo.
Kuhusu Kursk inawezekana kweli kuna...
Deni la taifa la Marekani au kama wao wanavyoliita Federal Debt, Government Debt, National Debt, U.S Public Debt linapaa kwa kasi sana limefikia $35 trillion ambalo ni sawa na $104,082 kwa kila mtu anayeishi Marekani.
Deni la taifa la Marekani linakua kwa kasi zaidi kuliko uchumi.
Kuna sababu...
Kutoka Rwambaizi Karagwe Kagera wananchi tumekuwa tukiteseka Sana kwanza kuna swala vocha wenye maduka wamekuwa wakijapangia Bei za vocha ya sh 500 wanaiuza kuanzia 600 hadi 700 tunaomba Jamiiforums mtupazie sauti watanzania kwa mamlaka husika.
Pili swala la umeme wamekuwa wakikata umeme...
Anonymous
Thread
jamiiforums
kagera
karagwe
kero
kutoka
mamlaka
pamoja
tanesco
tcra
vocha
wananchi
wenye
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.