Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 1,004
- 1,739
Mwanzo nilizani ni ajari ya air balloon kule Brazil, lakini viashiria pale chini viliwakilisha harakati za sokoni au mahali penye maonyesho ya au biashara isiyofanyika hapo mara kwa mara... Kulikua na nyasi fupi na kavu.
Bora iwe ni ile ajari ya kule Brazil kwani ilikwisha kutokea tayari.
Source: beyond physical time and space (Rohoni).
Bora iwe ni ile ajari ya kule Brazil kwani ilikwisha kutokea tayari.
Source: beyond physical time and space (Rohoni).