Mchele super kutoka Kilombero

Mchele super kutoka Kilombero

mchele Super

New Member
Joined
Jul 1, 2026
Posts
3
Reaction score
1
BISMILLAHIR RAHMANIR RAHIIM

Habari wana JamiiForums,

Natafuta mnunuzi wa jumla au mshirika wa biashara ya mchele.

Mimi ni mfanyabiashara mdogo kutoka Bonde la Mto Kilombero, Morogoro. Kwa sasa nina gunia 30 za mpunga tayari ghalani tunaweza kupata mchele mwingi zaidi INSHA ALLAH na lengo langu ni kujenga ushirikiano wa muda mrefu na wanunuzi au wasambazaji wa mchele.

NATARAJIA TUFANYE BIASHARA SOKO LIKIWA VIZURI ZAIDI KUANZIA NOVEMBER

Mpunga niliweka stock tayari ni mbegu ndefu zaidi ya 95% ni mbegu ndefu, ikiwemo Mbawa Mbili na Kalimata, huku Sarro 5 ikiwa kwa kiwango kidogo. Hivyo tutegemee kupata mchele wenye ubora mzuri, nafaka ndefu na unaokidhi mahitaji ya soko.

Ninatafuta:

  • Mnunuzi wa jumla wa mpunga au mchele.
  • Wakala au msambazaji wa mchele.
  • Mshirika wa biashara mwenye masoko ya uhakika, hasa Dar es Salaam.

Nipo tayari kujenga ushirika wa biashara, namna ya usafirishaji na ushirikiano wa muda mrefu wenye manufaa kwa pande zote.

Kama una interest au unafahamu mtu anayehitaji mchele wa ubora mzuri, tafadhali nitumie DM.

Asanteni sana, na Mwenyezi Mungu awabariki.
 
Attachments

  • 20260629_223717.jpg
    20260629_223717.jpg
    529.7 KB · Views: 12
  • 20260629_151048.jpg
    20260629_151048.jpg
    678.1 KB · Views: 11
  • 20260629_151147.jpg
    20260629_151147.jpg
    745.4 KB · Views: 10
Nimeishi Nyandeo (Mkamba), Ifakara, Mang'ula, Kiberege, Kisawasawa, Mofu, Kisegese na Mbingu miaka mingi iliyopita.

Mara nyingi mchele super ulipatikana kwenye yale maeneo yenye mashamba yanayopata maji mengi (mpunga wake hupandwa kwa kupandikiza) ukilinganisha na yale mashamba ya nchi (ambayo mpunga wake hupandwa kwa kumwaga mbegu shambani) na mchele wake hukosa ubora unaotakiwa.

Umelimia wapi Sheikh! Bonde la Mto Kilombero ni kubwa.
 
Huyu atakuwa kalimia ikule, mtangimbole
 
BISMILLAHIR RAHMANIR RAHIIM

Habari wana JamiiForums,

Natafuta mnunuzi wa jumla au mshirika wa biashara ya mchele.

Mimi ni mfanyabiashara mdogo kutoka Bonde la Mto Kilombero, Morogoro. Kwa sasa nina gunia 30 za mpunga tayari ghalani tunaweza kupata mchele mwingi zaidi INSHA ALLAH na lengo langu ni kujenga ushirikiano wa muda mrefu na wanunuzi au wasambazaji wa mchele.

NATARAJIA TUFANYE BIASHARA SOKO LIKIWA VIZURI ZAIDI KUANZIA NOVEMBER

Mpunga niliweka stock tayari ni mbegu ndefu zaidi ya 95% ni mbegu ndefu, ikiwemo Mbawa Mbili na Kalimata, huku Sarro 5 ikiwa kwa kiwango kidogo. Hivyo tutegemee kupata mchele wenye ubora mzuri, nafaka ndefu na unaokidhi mahitaji ya soko.

Ninatafuta:

  • Mnunuzi wa jumla wa mpunga au mchele.
  • Wakala au msambazaji wa mchele.
  • Mshirika wa biashara mwenye masoko ya uhakika, hasa Dar es Salaam.

Nipo tayari kujenga ushirika wa biashara, namna ya usafirishaji na ushirikiano wa muda mrefu wenye manufaa kwa pande zote.

Kama una interest au unafahamu mtu anayehitaji mchele wa ubora mzuri, tafadhali nitumie DM.

Asanteni sana, na Mwenyezi Mungu awabariki.
Nakuuliza mkuu ulianza kwa mtaji wq kiasi gani tafadhali share uzoefu
 
Mimi sijalima mimi nimeanza kununua mpunga Itongoa maeneo ya Kichangani na isago
Nimenunua magunia mbawa mbili na kalimata
Nataka kuanza biashara hii
Ulianza na kiasi gani na gunia unanua kwa kiasi gani na unauza kwa kiasi gani
 
Nimeishi Nyandeo (Mkamba), Ifakara, Mang'ula, Kiberege, Kisawasawa, Mofu, Kisegese na Mbingu miaka mingi iliyopita.

Mara nyingi mchele super ulipatikana kwenye yale maeneo yenye mashamba yanayopata maji mengi (mpunga wake hupandwa kwa kupandikiza) ukilinganisha na yale mashamba ya nchi (ambayo mpunga wake hupandwa kwa kumwaga mbegu shambani) na mchele wake hukosa ubora unaotakiwa.

Umelimia wapi Sheikh! Bonde la Mto Kilombero ni kubwa.
Naomba ufafanuzi kidogo mchele unaopatikana morogoro na unaopatikana morogoro upi una biashara nzuri kwa kupeta Dar?kama hutojali nisadie taarifa naitaka hii biashara na gunia unaza bei gani unanunua bei gani
 
BISMILLAHIR RAHMANIR RAHIIM

Habari wana JamiiForums,

Natafuta mnunuzi wa jumla au mshirika wa biashara ya mchele.

Mimi ni mfanyabiashara mdogo kutoka Bonde la Mto Kilombero, Morogoro. Kwa sasa nina gunia 30 za mpunga tayari ghalani tunaweza kupata mchele mwingi zaidi INSHA ALLAH na lengo langu ni kujenga ushirikiano wa muda mrefu na wanunuzi au wasambazaji wa mchele.

NATARAJIA TUFANYE BIASHARA SOKO LIKIWA VIZURI ZAIDI KUANZIA NOVEMBER

Mpunga niliweka stock tayari ni mbegu ndefu zaidi ya 95% ni mbegu ndefu, ikiwemo Mbawa Mbili na Kalimata, huku Sarro 5 ikiwa kwa kiwango kidogo. Hivyo tutegemee kupata mchele wenye ubora mzuri, nafaka ndefu na unaokidhi mahitaji ya soko.

Ninatafuta:

  • Mnunuzi wa jumla wa mpunga au mchele.
  • Wakala au msambazaji wa mchele.
  • Mshirika wa biashara mwenye masoko ya uhakika, hasa Dar es Salaam.

Nipo tayari kujenga ushirika wa biashara, namna ya usafirishaji na ushirikiano wa muda mrefu wenye manufaa kwa pande zote.

Kama una interest au unafahamu mtu anayehitaji mchele wa ubora mzuri, tafadhali nitumie DM.

Asanteni sana, na Mwenyezi Mungu awabariki.
Ulishapata masoko ya uhakika
 
Naomba ufafanuzi kidogo mchele unaopatikana morogoro na unaopatikana morogoro upi una biashara nzuri kwa kupeta Dar?kama hutojali nisadie taarifa naitaka hii biashara na gunia unaza bei gani unanunua bei gani
Mjomba, umerudia Morogoro mara mbili. Kiufupi ninachofahamu ni kwamba mchele unatofautiana kulingana na mbegu na eneo unapolimwa. Mfano mpunga uliolimwa kwenye shamba la umwagiliaji una tofautiana ubora na ule uliolimwa kwenye shamba kavu.
 
Back
Top Bottom