kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Lissu siyo mjinga kuamua kujitetea, nadhani Ina maana kubwa kisheria. Soma hii kutoka mtandaoni

    In Tanzania, the right to legal representation is enshrined in various laws and constitutional provisions, and the courts have emphasized its importance in ensuring a fair trial. Any denial of this right, especially if it prejudices the accused, can have serious legal consequences. Denying an...
  2. Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  3. Mwongozo wa Kitaalamu: Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kuagiza Bidhaa Kutoka China Kupitia Alibaba

    WanaJF nawasalimu kwa heshima na taadhima. Katika zama hizi za biashara ya kidigitali na mitandao, wengi wetu tumekuwa tukivutiwa na fursa ya kuagiza bidhaa moja kwa moja kutoka nje ya nchi ili kupanua biashara au kuanzisha miradi mipya ya kiuchumi. Mojawapo ya majukwaa maarufu duniani...
  4. W

    Trump anaweza kutoa mkeka wa Nchi 36 zitakazopigwa marufuku kuingia Marekani, Tanzania yadaiwa kuwepo

    Trump Kufikiria Kuongeza Nchi 36 Katika Orodha ya Marufuku ya Kusafiri, Ikiwemo Nchi za Afrika na Karibiani – Ripoti Utawala wa Donald Trump unafikiria kuweka vikwazo vya usafiri kwa nchi nyingine 36, kulingana na waraka uliosainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ambao...
  5. L

    Huyu Ameongezewa Kodi ya mapato Kutoka 100,000 mpaka 700,000

    Hivi unajua kwamba mamlaka ya mapato wanaweza kukuongezea Kodi? Kitaalamu hii inaitwa Tax Jeopardy. Kuna sababu kadhaa zinazoweza kupelekea ukafanyiwa Tax Jeopardy mfano; 1. Unashindwa kujifanyia self assessment. Hapa mamlaka ya mapato wanaamua kukukadiria wao wenyewe. 2. Unachelewa sana ku...
  6. Roma Mkatoliki: Wakati wa kukopa mnaliita DENI LA TAIFA, Mkizipata tu, wakati wa kuzitumia mnaziita ni fedha za MAMA!!

    Wakati wa kukopa mnaliita DENI LA TAIFA (Mnatuhusisha) Mkizipata tu, wakati wa kuzitumia hizo fedha za mkopo mnatuondoa, mnaziita ni fedha za MAMA!! Daraja kajenga Mama, Shule Kajenga Mama, Mradi Wa Maji Kaleta Mama, Barabara Mama, Hadi Derby Fedha Za Goli La Mama. Kwenye marejesho...
  7. Rais Samia atembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma na kuzungumza na wananchi Juni 14, 2025

    Rais Samia akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025. https://www.youtube.com/live/TgN_32Yqzlo?si=JWFkm-rF1pIErqq9 ==== Rais Samia ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mzunguko wa Dodoma yenye urefu wa...
  8. O

    Je, Tunajifunza nini kutoka Tel Aviv? Uwepo wa kambi za kijeshi katika mji wenye idadi kubwa ya watu

    Usiku wa jana umethibitisha tena kile ambacho wachache wamekuwa wakikisema kwa sauti ya chini: Israel huweka kambi zake za kijeshi kama Kambi ya Rabin katikati ya maeneo yenye msongamano mkubwa wa watu ndani ya jiji la Tel Aviv. Cha kushangaza, hakuna mjadala wa kitaifa kuhusu kuhamishwa kwa...
  9. Karibu, Ujipatie Mabati kutoka Sunbank kwa bei rafiki ya kiwandani

    Karibu Sana ofisini kwetu ujipatie Mabati bora na ya kisasa kutoka Sunbank. Tupo na aina zifuatazo za Mabati 1. Gloss ( Mtelezo ) 2. Rich tile 3.Ridge /Valley 4. Matte (Chenga chenga ) Karibuni sana bei zetu ni rafiki Sana Mawasiliano +255 786 017 371 Normal call and WhatsApp Location...
  10. KERO Malalamiko Kutoka kwa Mzazi wa Mtoto wa Darasa la Nne - Shule ya Victoria, Makumbusho

    Kwa heshima kubwa sana, napenda kutoa kilio hiki kama mzazi wa mtoto mdogo anayesoma darasa la nne katika Shule ya Victoria - Makumbusho. Kwa kweli moyo wangu unaniuma, na najikuta nikiwa na maswali mengi ambayo hayana majibu. Kwanza kabisa, tunatambua na kuthamini juhudi za serikali yetu...
  11. M

    full service ya gari kutoka jerry spare parts and services

    Nimekuwa nikikutana na madereva na wamiliki wa magari wanaotofautiana sana kwenye maelezo ya "Full Service ya gari." Fundi mmoja ananiambia ni kubadilisha oil tu, mwingine anasisitiza plugs, filters, brakes na mengine mengi ya ndani. Sasa swali langu kwa wataalamu na wenye uzoefu: 🔧 Full Service...
  12. A

    KERO Wanachuo kutoka NCT Kutopata Ajira serikalini kupitia Ajira Portal

    Katika jambo la kushangaza vijana wengi waliohitimu chuo Cha taifa Cha utalii wamekua na kilio kisichoisha kwani kila Ajira zinapotangazwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wao kupata kazi imekua ngumu.. kwani mfumo wa Ajira (Ajira portal) unawakataa na hii imekuwa kilio Cha wazazi walio wengi...
  13. R

    Tuombe msaada kutoka wapi?

    Hapa tulipofikia wenyewe hatuwezi. Tuombe msaada wapi? 1. Bunge si letu 2. Mahakama si yetu 3. Serikali si yetu
  14. Kuna majibu yoyote kutoka kwa mtaalamu wa fedha wa Yanga ya kwenda kulihakiki deni lao pale TFF ?

    Barua ya jana ya TFF ilijieleza vizuri kuwa Yanga wapeleke mtaalamu leo saa Nne ,kuna majibu yoyote ? Au ni Agenda ya kututoa kwenye mijadala ya Msingi.
  15. Huduma za matengenezo ya simu kutoka davao service center

    🔧 HUDUMA ZETU ZINAHUSISHA: ✅ Matengenezo ya simu aina zote (Android & iPhone) ✅ Kurekebisha simu zilizoharibika au kuzimika ghafla ✅ Kuflash simu ili kurekebisha matatizo ya mfumo (software) ✅ Kuondoa iCloud kwenye iPhone kwa usalama ✅ Kurekebisha na kubadilisha skrini zilizopasuka ✅...
  16. Hizi ni gharama za kutoka na mchepuko

    GHARAMA ZA KUTOKA NA MCHEPUKO 1.Usafiri 10,000 2.Chumba Lodge 30,000 3.Chakula + Vinywaji 30,000 4.Asante Kwa Kuja 50,000 Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.
  17. TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa

    Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita --- TAARIFA KWA...
  18. Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  19. Uchumi 360: Safari ya Kumwamsha Mtanzania Kutoka katika Usingizi wa Kiuchumi

    Makala ya utangulizi katika safu mpya ya JamiiForums Na: Mwandishi wa Uchumi 360 Je, tunaishi au tunapumulia tu? Hili ni swali gumu, lakini linastahili kuulizwa. Tunaamka kila asubuhi, tunatembea mitaani, tunanunua sukari yenye bei inayopanda kila wiki, tunalalamika kuhusu “maisha kuwa...
  20. Amani ya bwana amani nawaachieni. Tunachopenda kukisikia kutoka kwa Maaskofu!

    Bila shaka hiki ndio tunachokipenda kusikia baada ya uchovu mkubwa wa kelele za kidunia.Mungu awabariki sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…