kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  2. Kutoka kwenye maktaba ya Taifa

  3. J

    Barua ya Ole Sabaya akiomba hela kampuni binafsi kusaidia CCM - 2019

  4. Iran kaingiwa na nini Israel? Anataka ipigwe kura kutoka kwa Wayahudi, Wakrito na Waislam Israel kumaliza Mgogoro

    Vyanzo kutoka Iran, Vinasema kutatua mgogoro wa wa Karne nyingi kati ya Israel na Palestina ni kupiga kura miongoni mwa wakazi wote waishio katika maeno ya mgogoro wa kiuraia, utamaduni au udini. 'Lengo letu 'Wairani' wa utatuzi kwa Wapalestina ni kuitisha kura ya Maoni kwa kuwajumuisha jamii...
  5. Napata kizunguzungu kila nikiamka kutoka sehemu niliyokaa

    Hivi kupatwa na kizunguzungu wakati wa kuamka kutoka ulipokuwa umekaaa hii inasababishwa na nini? Na kiafya shida ni nini na nini madhara yake.
  6. F

    Rais wa CAF ni Mzulu Patrice Motsepe kutoka Afrika Kusini. Simba pulizeni dawa muone Wazulu walivyo wabaya

    Nawakumbusha tu simba.. Zama za kupuliza dawa zimeisha... au kusema watu wana corona.... Ama mseme wana corona kama al mereik.. rais wa caf anawapiga ban milele
  7. Kutoka android 8.1 kwenda android 10

    Wadau nahitaji kuipandisha simu yangu samsung note 9 yenye os 8.1 kwenda os 10 nifanyeje?
  8. Hivi kutoka kuwa Mkuu wa JKT mpaka kuwa Mkuu wa Mkoa ni kupanda au kushuka?

    Nimeona Mkuu wa JKT, Brigedia Jenerali Charles Mbuge ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera. Je, amepanda au ameshuka?
  9. S

    Queen Cuthbert Sendiga wa ADC ndio kawa mnawanasiasa wa kwanza kutoka upinzani na kutumika Serikali akiwa wanachama wa chama cha upinzani

    Naona Raisi Samia katekeleza ahadi yake ya kushirikisha wapinzani katika serikali yake kwa kumteua Queen Sendiga wa chama kidogo cha upinzani cha Alliance for Democratic Change(ADC) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa. Queen Sendiga ndie alikuwa mgombea urais kupitia chama cha ADC katika uchaguzi mkuu...
  10. Tunasisitiza haki kutendeka kwa mashehe wa Kiislamu wa Uamsho kutoka Zanzibar

    TUNASISITIZA HAKI KUTENDEKA KWA MASHEHE WA KIISLAMU WA UAMSHO KUTOKA ZANZIBAR Tarehe 27 Februari 2021, nilikuwa miongoni mwa viongozi waliokuwa wamealikwa na ACT Wazalendo kuhudhuria Dua ya kumuombea Maalim Seif Sharif Hamad aliyekuwa Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar aliyefariki hivi...
  11. M

    Pascal Mayalla kutoka kuwa Mwandishi Nguli hadi Mtangazaji wa kawaida East Africa Radio inamaanisha nini katika Tasnia?

    Je, kwa hali hii ina maana Tasnia ya Habari nchini imekuwa Kimafanikio au imeshuka na sasa imeanza kupoteza Umuhimu nchini? Binafsi kwa Hadhi ya Unguli wa Habari aliokuwa nao Pascal Mayalla nilitegemea leo hii angekuwa anamiliki Chombo chake kikubwa sana cha Habari nchini Tanzania na siyo kuwa...
  12. Ulishawahi kupatanisha changamoto ya ziada katika ndoa ambayo haina mtoto/watoto? Hii inahitaji hekima na busara nyingi sana

    Habari za muda huu waungwana wa jamiiforums Kupatanisha changamoto ya ziada katika ndoa ambayo haina mtoto hata mmoja, kunahitaji hekima na busara nyingi sana. Hakuna ndoa yoyote hapa duniani ambayo ni rahisi kuipatanisha kwa maana kila ndoa ina changamoto zake, lakini ukweli wa mambo ni...
  13. Mabaharia kutoka Syria waliokwama katika Bandari ya Mombasa wauza meli yao

    Mwenye meli aliwatelekeza mabaharia hao tisa na kukataa kuwalipa mishahara yao. Mabaharia hao kutoka Syria wamekwama katika bandari ya Mombasa kwa muda wa mwaka moja na miezi tisa. Mahakama ya Kenya imewaruhusu kuuza meli hio na kujilipa mishahara ambayo mwenye meli alikataa kuwalipa. Meli hio...
  14. Siasa ya Mafuta na Gesi: Kuibadili gesi asilia kuwa mafuta ya petroli inaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje

    Petroli ni moja ya mafuta ambayo huagizwa kutoka katika mataifa ya nje kwa ajili ya kutumiwa katika magari madogo na ya kati. Mafuta ya petroli ambayo yanaigizwa kutoka mataifa ya nje yanachukua karibia robo (1/4) ya bidhaa za mafuta ambayo huagizwa kutoka mataifa ya nje kama ilivyo ripotiwa na...
  15. Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

    Hayo yamefichuka leo baada ya hotuba ya Mh Rais Samia Suluhu alipokuwa anawahutubia Wafanyakazi wa Tanzania kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Ameitaja Corona kama sababu kubwa ya kuanguka kwa uchumi wa Nchi yetu , ambapo amewaomba wafanyakazi kuvumilia hadi mwakani ili kuongezwa...
  16. D

    Wanawake mna la kujifunza kutoka Taarifa ya TFF. Kuahirisha miadi ya mapenzi Wanaume hupata maumivu mara mbili

    Miadi ni saikolojia. Hizi ni kanuni za mahaba ingawa hazijaandikwa kama za TFF Wanawake mjifunze kutoka kwenye taarifa ya TFF! Mwanaume unapompa miadi kila kitu hufanya kwa kuzingatia appointment! Wapo wanaokula vizuri ili kujiweka sawa Wapo wanaopiga mazoezi kujiweka sawa Wapo wanandoa...
  17. Ada ya kutuma Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda Equity bank ni Tsh 5,000. Tunaenda mbele au tunarudi nyuma?

    Leo kutokana na hizi mvua pamoja na kuwahisha pesa kwenye akaunti nikaona nihamishe Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda akaunti yangu ya benki, Equity Bank. Mweeeeeee...! Nakuta ada ni Tsh 5,000 kwa hako ka muamala. Hivi mbona ni kama hatuko serious na mapinduzi ya kiteknolojia? Moja kati ya...
  18. Nigeria yapiga marufuku wasafiri kutoka India, Brazil na Uturuki

    Kamati ya rais ya kupambana na janga la Covid-19 nchini Nigeria, imesema taifa hilo litapiga marufuku wasafiri wanaokuja kutoka India, Brazil na Uturuki, kutokana na kuenea pakubwa kwa virusi vya corona katika mataifa hayo. Taarifa ya mwenyekiti wa kamati hiyo Boss Mustapha, imesema watu walio...
  19. Kenya yaondoa marufuku ya watu kutoka nje ‘Lockdown’

    Katika kusheherekea siku ya wafanyakazi duniani, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza kuondoa zuio la watu kutotoka nje katika kaunti tano nchini humo kwa ajili ya kukabiliana na virusi vya corona. Katika taarifa yake rais Kenyatta amesema wakati alipotoa agizo la pili kwa umma mnamo Machi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…