kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Chato: Mapato yashuka kutoka Tsh mil 77 hadi mil 10 kwa mwezi

    Nimeona hilo kupitia star TV usiku huu wa saa mbili. Tatizo ni nini?!!! Mwenyekiti anashangaa kuwa vyanzo ndiyo kwanza vimezidi lakini mapato ndio yamashita kama hivyo yanashuka. Kamati yaundwa kuchunguza. Ndio hivyo!
  2. JamiiForums Tanzania UEFA yahamisha fainali ya Champions League kutoka Urusi kwenda Ufaransa

    Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (Champions League final) iliyokuwa imepangwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Krestovsky jijini Saint Petersburg Nchini Urusi imehamishwa na sasa itachezwa jijini Paris, Ufaransa. Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) limechukua maamuzi hayo kutokana na mapigano...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeamua kuoa Msabato

    Nimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo; 1. Nitaokoa zaidi ya milioni 2 kwa mwaka kutoka kwenye hela za kuhudumia nywele. Milioni 2 ni kama matofali 2000. 2. Kwenye msosi nitaokoa hela nyingi sana kwa mwaka zaidi ya milioni 3 kwasababu...
  4. JamiiForums Tanzania Nilivyotapeliwa Tsh 500,000 na wanaoagiza bidhaa kutoka China

    Katika harakati zangu za kutafuta maisha. Kuna jamaa flani akanipa mchongo wa kuagiza mzigo China akaniambia ila niwe na uvumilivu. Kijana nikajikusanya kila kitu nikafuatilia nikaunganishwa na tapeli mmoja mwanamke alikuwa na ofisi feki Kigamboni. Alikuwa na acount Instagram Login •...
  5. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO wasaini mkataba wa kuuziana umeme na Geita Gold Mining

    TANESCO KUVUNA BILIONI 5 MAPATO YA MWEZI KUTOKA GGM Kukamilika kwa mradi wa kupeleka umeme kwenye Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Geita Gold Mining (GGM) kutaliwezeshaTANESCO kupata kiasi cha shilingi bilioni 5 kwa mwezi zitakazotokana na mauzo ya umeme. Source: TANESCO ===...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Baraka Mpenja ana mengi ya kujifunza kutoka kwa Gharib Mzinga

    Ukiangalia namna wanavyopangwa Watangazaji wa Azam TV utaona kuwa Baraka Mpenja ndiyo Mtangazaji namba 1 hivyo hupewa mechi nyingi kubwa au zile zenye mvuto. Utaratibu huu pia upo kwenye Channel kubwa za Kimataifa kama Sky Sports, BT Sports pamoja na ITV ( Uingereza) ndiyo maana Peter Drury...
  7. JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba awapokea wanachama 50 kutoka ACT Wazalendo

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, leo Jumapili Februari 20, 2022 ameongoza mapokezi ya wanachama takribani 50 wanaorejea kwenye Chama hicho akiwemo Masoud Hamad Masoud kutoka Chama Cha ACT- Wazalendo. Masoud aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa ACT katika...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanariadha wa kike kutoka Nigeria afungiwa miaka 10

    Mkimbiaji wa mbio fupi wa Nigeria, Blessing Okagbare amefungiwa kushiriki mashindano ya riadha kwa miaka 10 kwa kukiuka taratibu za kuzuia matumizi ya dawa za kuongeza nguvu michezoni. Kikosi cha kusimamia uaminifu kwa wakiambiaji (AIU) kimesema mwanariadha huyo mwenye miaka 33 amefungiwa kwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wanachotamani na wanachoshikililia MATAGA ni Mbowe kuwapigia magoti jambo ambalo mpaka leo hawaamini kuwa halitokei kutoka kwa Mbowe

    Hawa watu kuanzia mwenyekiti wao wanaishi na nafsi zinazowatesa sana kwani wanajua kabisa kuna mtu wanamtesa, mtu asie na kosa wala hatia yoyote. Wanaumia na kuteseka sana wanapoona picha za Mbowe na wale washitakiwe wengine wanapoingia na kutoka mahakamani ila kwakuwa walishafanya kosa, hawana...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Said Mwema ni IGP pekee aliyejikita ku-transform jeshi kutoka Ulimwengu wa Tatu kulipeleka Ulimwengu wa Kwanza, (community policing is global agenda)

    Mzee Said Mwema live long, you did what IGP suppose to do. Ulifanya Kwa uelewe na maarifa makubwa. Ulifanya jamii kuwa sehemu ya ulinzi wa nchi, ulitenganisha kazi ya Polisi na kazi ya siasa. Ulitambua wapi Kuna siasa na uingieje katikati ya wanasiasa nakuwadhibiti wasikulazimishe kutenda...
  11. JamiiForums Tanzania Kutoka Mliman City, Diamond na Zuchu mahaba nje nje

    Mambo si mambo...!!! New couple in town? Wacha tuendelee kunywa mtori , nyama tutazikuta chini
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu mikopo tunayopokea kutoka kwa wahisani

    Kukopa kutoka nje ni jambo jema sana ikiwa utatumia mkopo husika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa manufaa ya wananchi. Tangu tupate uhuru 1961 mikopo tuliopata ni mabillioni ya dollar za Kimarekani. Tujiulize kuwa thamani ya mikopo hiyo na hatua ya maendeleo tuliopiga mpaka sasa inaoana...
  13. JamiiForums Tanzania Profesa Jay: Afya yake imefikia huku…aliendesha kutoka Bukoba, Aliandaa wimbo afanye na Zuchu, kuna Wahuni…

    Black Rhino ambaye ni mdogo wa Profesa Jay amezungumzia kuhusu maendeleo ya kaka yake ambaye amelazwa Muhimbili. Joseph Haule au Jay ambaye ni mwanasiasa na msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, alikuwa yuko sawa, alienda Bukoba akafanya shoo fresh tu na kudrive kurudi Dar na kuendelea na mishe...
  14. JamiiForums Tanzania Nizingatie nini napotaka kununua kiwanja kutoka kwenye kampuni ya kuuza viwanja?

    Kuna kampuni inaitwa noble real estate wanuza viwanja madale kwa sh 40,000 kwa square meter, nataka kiwanja cha 800sqm ambapo jumla ni 32M, ukizingatia ni pesa nyingi na ni saving yangu na mikopo. Nataka kujua ni vitu gani vya kuzingatia ili nisiishie kulia maana hapa mjini hapaaminiki siku...
  15. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba linauzwa hekari 5 lipo Kerege Bagamoyo 5km kutoka barabara Dar – Bagamoyo lina miti ya mitiki

    LINA MITI YA MITIKI
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ligi hii imeshaharibika na hakuna Mdhamini kutoka ndani ataekubalika kwasababu ya "Usimba" na "Uyanga"

    Ligi kuu yetu imetawaliwa au niseme inaathiriwa na usimba na uyanga, na baada ya GSM kujitoa, mdhamini yoyote ataefuata hataaminiwa na atatuhusishwa na Simba na mgogoro utaanzia hapo (kukomoana). Si ajabu mwaka huu tukawa na ligi ya hovyo kabisa huku usimba na uyanga ndio ukiwa chanzo. Kuna...
  17. JamiiForums Tanzania Sadio Mane, picha la kutisha kutoka hotelini baada ya kubeba AFCON

    Sadio Mane akiwa hotelini baada ya fainali ya AFCON.
  18. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu karudi kutoka Uingereza, nimechoka dharau zake

    Habari Wakuu! Kukaa miaka mitano tuu ndio ujifanye Mzungu? Kukaa miaka mitano tuu ndio ushindwe kuongea Kiswahili bila kuchanganya na kimombo? Ati mjanja! Ati anajiita Civilized, Mpuuzi tuu! Kitu kidogo utasikia; yaani wabongo hampo civilized! Mara ataje Ridiculous! Na msamiati mingine...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzuia makelele ya muziki wa juu kutoka kwa majirani...

    Kuna jirani zangu wanapiga mziki kwa kutumia spika kubwa saana kila mwisho wa wiki. Naomba ushauri wenu kama kuna jinsi ya kufanya jambo la kuingilia/kuzuia makele ya mziki wao bila wao kujua..manake nimajribu kuongea nao hatuelewani....niliwahi kuambiwa kwamba kuna vifaa ukifunga vinaingiliana...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga tuwe tunajifunza kutokana na makosa pia tujifunze kitu kutoka kwa Simba SC

    Hii mechi maandalizi yake hayana tofauti na yale ya Rivers united au ile ya Azam kule Zanzibar. Wachezaji waache kupewa ruhusa za kiduwanzi na mchezaji akichelewa kureport apigwe bench na adhabu kali, haya mambo tukicheza mechi mbili au tatu wachezaji wanaenda kula bata tuache ni ushamba.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…