Ukaguzi wa magari yaliyotumika kutoka Japan kufanyika hukohuko itasaidia kupunguza figisu

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Ninaishukuru sana Serikali kwa uamuzi ulioufanya kwa ukaguzi wa magari yaliyotumika yanayotoka Japan kufanyika huko huko Japan.

Kusema kweli TBS wamejiharibia wao wenyewe, kwa asilimia kubwa hakuna mteja aliyetoa gari yake bila kutoa rushwa. Kulikuwa na figisufigusu ya hapa na pale mara mteja anapofika kwao. Mara hiki hakuna kukuzungusha tu ili utoe rushwa. Hongera sana kwa Serikali kuliona hili.

Pia soma

-------------------------------
ILI KUEPUKA HASARA; MAGARI YANAYOKUJA NCHINI KUKAGULIWA NJE YA NCHI

Waagizaji wa magari nchini wamesema wapo mbioni kuepuka hasara za kufidia magari ya wateja kutokana na kubainika kuwa na hitilafu yanapofika nchini kutoka nje ya Nchi.

Meneja Masoko wa Kampuni ya Uagizaji, JN Internal Limeted, Nelsona Anthon amesema hayo ikiwa ni muda mchache baada ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kutangaza kurejesha utaratibu wa magari yanayokuja nchi kukaguliwa nje ya nchi badala ya kukaguliwa nchini.
 
Back
Top Bottom