Je, ni Maruhani ya kiarabu kutoka kwa kocha yanaisaidia Yanga?

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,605
59,479
Screenshot_20220124-080806.png

Mtangazaji mahili wa soccer hapa nchini bwana Oscar Oscar, eweka wazi kwamba kitu wanachoweza yanga ni uchawi na ushirikina.

Ikumbukwe kuwa akina mzee Mpili walijaribu kuiroga simba lakini hawakufua dafu.

Tuseme kwa sasa maruhani kutoka warabuni yameingizwa!? Maana tunajua wenzetu kwa ushirikina na ulozi hawajambo. Je, ni ya kweli yanayosemwa kwenye mitandao!? Eti ni kweli kocha anatumia maruhani, kwamba kwenye nchi za kiarabu ameshindwa kutokana na kwamba wote wanayajua!?

Mimi yangu hayo machache nimeyasikia kwenye mitandao.
 
Mimi sio football fan, lakini niulize tu swali.... kama maruhani ya kiarabu yangekuwa na hizo nguvu si tungeshasikia teams na players toka uarabuni ndo wanabeba ndoo zote za maana kuanzia world cup mpaka ......
 
Oscar anachangamsha genge muanzisha mada. Siku nyingine hata sie Simba huwa anatuandika anavyojisikia. Ni ana sherehesha mambo hupaswi kuyachukulia serious..we tabasamu jikatae na mambo yako.
 
View attachment 2093544
Mtangazaji mahili wa soccer hapa nchini bwana Oscar Oscar, eweka wazi kwamba kitu wanachoweza yanga ni uchawi na ushirikina.

Ikumbukwe kuwa akina mzee Mpili walijaribu kuiroga simba lakini hawakufua dafu.

Tuseme kwa sasa maruhani kutoka warabuni yameingizwa!? Maana tunajua wenzetu kwa ushirikina na ulozi hawajambo. Je, ni ya kweli yanayosemwa kwenye mitandao!? Eti ni kweli kocha anatumia maruhani, kwamba kwenye nchi za kiarabu ameshindwa kutokana na kwamba wote wanayajua!?

Mimi yangu hayo machache nimeyasikia kwenye mitandao.

Uongo mtupu, ni falsafa ya kocha, ukweli ni kwamba mmepata jembe.
 
Nilisema mimi huyu mtoa mada hebu kaeni nae karibu
Atajitundika huyu kama mwenzie wa mbeya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom