Tetesi: Dunia inasubiri Taarifa moja tu ya kutisha kutoka Russian federation

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,184
11,200
Wengi uwenda hawato amini na uwenda wengi watafikiri ni uchawi ila jambo zito kutoka ndani ya Russia Federation lita iyacha dunia midomo wazi na vita kusimama.
Habari ambazo sio Rasmi upo uwezekani Kremlin ikapigwa na kitu kizito mpaka sasa ninavyo andika majasusi wa dunia wakiongozwa na Team hatari ya Mossad wapo ktk kazi nzito kuiyacha dunia ktk mtanzinko mkubwa na uwenda kuziacha serikali nyingi za ki imla kujiuliza maswali mara mbilimbili.
Nini hasa chanzo cha Taarifa hii na kwa nini sasa.
Vita Ya Ukraine ni vita ilikuwa ina julikana na idara za usalama za dunia zilijuwa.

Zipo tetesi mpango wao kumuondoa Putin haukufanikiwa Kipindi cha Obama ambapo cia waliaandaa mpango wakummaliza japo zipo tetesi wamefanikiwa kumkata makali pamoja na kuigusa afya yake.

Jambo nchi za magharibi wanajuwa ni hakika kwa sasa ni Putin kutumia silaha za hatari za nyuklia kitisho hichi kina siri nzito sana na siri hii niuwenda Putin ameweza kupata top secret juu ya mpango wa nchi za magharibi na kuamua kama mbwai iwe mbwai tu. Nakama unavyo juwa ktk mambo yasiri na nyeti kama hizi nilazima mwenye siri hiyo apotezwe au awapoteze. Upo uwezekano mkubwa Putin amanyaka hiyo agenda kupitia shirika lake la kijasusi au amehisi what is next au Venezuela wamempa full report yakijasusi ya kifo cha best ya yake Chavez Musharafu ambaye alikufa kwa kansa na yeye ana dalili hizohizo.
Kiukweli kitisho cha nyukilia kina fanya mataifa kama marekani na washirika wake kutokulala nakutafuta mbinu zaku silence mission za Putin. Kiufupi wakiweza kumzima Putin basi dunia itakuwa salama. Sio kuwa salama yani Russian federation itameguka zaidi ya ilivyo sasa. Ndio maana kichwa cha Putin ni bidhaa inatafutwa kwa ma trion ya pesa.

Mbaya kuliko yote nchi za magharibi wameamua kutumia intelligence yao kuhakikisha wana mpata mtu mmoja kuliko vita. Gharama ya hii mission ambayo ni very top secret kwa sasa nikubwa sana ila pia mission hii hata ikimalizika uwenda dunia haito ambiwa nn kilitokea na nani walitekeleza.

Hali kwa sasa ni ya hatari kwa maeneo yote ya magharibi midege yao wanaita Beast Hunters ipo tayari kwa plan B . If pla A ita faile hakuna njia ila kumuondoa Putin ktk kiti but silence mission with conspiracy. Hii ni mission ngumu hasa ukizingatia ndani ya Kremlin wanajuwa hili litatokea. Japo hawajuwi litatokeaje. Maana hizi taasisi za kijasusi wanazidiana maujanja na mpaka sasa uwenda jamaa wamesha muweka kwenye target zao japo inatakiwa mtu apokee amri yaku fyatuwa kitufe wamalize kazi
Refer mirro magazine
cancer surgery, mystery Russian Telegram
 
Wengi uwenda hawato amini na uwenda wengi watafikiri ni uchawi ila jambo zito kutoka ndani ya Russia Federation lita iyacha dunia midomo wazi na vita kusimama.
Habari ambazo sio Rasmi upo uwezekani Kremlin ikapigwa na kitu kizito mpaka sasa ninavyo andika majasusi wa dunia wakiongozwa na Team hatari ya Mossad wapo ktk kazi nzito kuiyacha dunia ktk mtanzinko mkubwa na uwenda kuziacha serikali nyingi za ki imla kujiuliza maswali mara mbilimbili.
Nini hasa chanzo cha Taarifa hii na kwa nini sasa.
Vita Ya Ukraine ni vita ilikuwa ina julikana na idara za usalama za dunia zilijuwa.

Zipo tetesi mpango wao kumuondoa Putin haukufanikiwa japo zipo tetesi wamefanikiwa kumkata makali pamoja na kuigusa afya yake.

Jambo nchi za magharibi wanajuwa ni hakika kwa sasa ni Putin kutumia silaha za hatari za nyuklia kitisho hichi kina siri nzito sana na siri hii niuwenda Putin ameweza kupata top secret juu ya mpango wa nchi za magharibi na kuamua kama mbwai iwe mbwai tu. Nakama unavyo juwa ktk mambo yasiri nyeti kama hizi nilazima mwenye siri hiyo apotezwe au awapoteze.
Kiukweli kitisho cha nyukilia kina fanya mataifa kama marekani na washirika wake kutokulala nakutafuta mbinu zaku silence mission za Putin.

Mbaya kuliko yote nchi za magharibi wameamua kutumia intelligence yao kuhakikisha wana mpata mtu mmoja kuliko vita.
Hali kwa sasa ni ya hatari kwa maeneo yote ya magharibi midege yao wanaita Beast Hunters ipo tayari kwa plan B . If pla A ita faile hakuna njia ila kumuondoa Putin ktk kiti but silence mission with conspiracy. Hii ni mission ngumu hasa ukizingatia ndani ya Kremlin wanajuwa hili litatokea. Japo hawajuwi litatokeaje. Maana hizi taasisi za kijasusi wanazidiana maujanja na mpaka sasa uwenda jamaa wamesha muweka kwenye target zao.
Labda awe Putin wa chato na sio tunaye mjua.
 
washabiki wa Ukraine baada ya kutembelea kichapo kwenye uwanja wa vita,Vipi Mbona Media za Magharibi zilimuaminisha Ukraine kuwa akipewa silaha na Askari watamshinda Urusi,Mbona sasa wanaulizana silaha zao zinaishia wapi hawaoni impact.Sasa wewe chawa wa mabeberu ndo unakuja na theories dhaifu za west eti Afya ya Putin imeguswa,story ya Parkinson Disease wanahangaika nayo mwaka wa pili sasa Putin anaendelea kudunda,Mbona huongelei Afya ya Sleepy Biden Rais wa USA ambaye anapoteza kumbukumbu hadharani na kusalimia hewa?kwa taarifa yako,Shirika la Ujasusi la Russia(KGB) liko macho halilali,Marekani na West Europe wanashangaa tu na Putin Majuzi kawapiga Mkwara kwa kuzindua Intercontinental Balistic Missile,I stand with Russia,Go Putin Piga hao mabeberu
 
Wengi uwenda hawato amini na uwenda wengi watafikiri ni uchawi ila jambo zito kutoka ndani ya Russia Federation lita iyacha dunia midomo wazi na vita kusimama.
Habari ambazo sio Rasmi upo uwezekani Kremlin ikapigwa na kitu kizito mpaka sasa ninavyo andika majasusi wa dunia wakiongozwa na Team hatari ya Mossad wapo ktk kazi nzito kuiyacha dunia ktk mtanzinko mkubwa na uwenda kuziacha serikali nyingi za ki imla kujiuliza maswali mara mbilimbili.
Nini hasa chanzo cha Taarifa hii na kwa nini sasa.
Vita Ya Ukraine ni vita ilikuwa ina julikana na idara za usalama za dunia zilijuwa.

Zipo tetesi mpango wao kumuondoa Putin haukufanikiwa japo zipo tetesi wamefanikiwa kumkata makali pamoja na kuigusa afya yake.

Jambo nchi za magharibi wanajuwa ni hakika kwa sasa ni Putin kutumia silaha za hatari za nyuklia kitisho hichi kina siri nzito sana na siri hii niuwenda Putin ameweza kupata top secret juu ya mpango wa nchi za magharibi na kuamua kama mbwai iwe mbwai tu. Nakama unavyo juwa ktk mambo yasiri nyeti kama hizi nilazima mwenye siri hiyo apotezwe au awapoteze.
Kiukweli kitisho cha nyukilia kina fanya mataifa kama marekani na washirika wake kutokulala nakutafuta mbinu zaku silence mission za Putin.

Mbaya kuliko yote nchi za magharibi wameamua kutumia intelligence yao kuhakikisha wana mpata mtu mmoja kuliko vita.
Hali kwa sasa ni ya hatari kwa maeneo yote ya magharibi midege yao wanaita Beast Hunters ipo tayari kwa plan B . If pla A ita faile hakuna njia ila kumuondoa Putin ktk kiti but silence mission with conspiracy. Hii ni mission ngumu hasa ukizingatia ndani ya Kremlin wanajuwa hili litatokea. Japo hawajuwi litatokeaje. Maana hizi taasisi za kijasusi wanazidiana maujanja na mpaka sasa uwenda jamaa wamesha muweka kwenye target zao.
Endelea kuota...utaamka saa ngapi dogo? 😂😂😂Eti Mossad, wakati vita imeanza tu waziri wa mambo ya nje wa Israel alienda fasta Kremlin kupiga magoti, na kukiri kuwa hayupo upande wa magharibi. Maana anajua Urusi akiamua kuwapa makombora ya kisasa Syria na Hizbollah Israel itafutika fasta
 
Back
Top Bottom