Msaada: Utaratibu wa kupokea bidhaa kutoka nje ya nchi

Mwegole

Member
Apr 27, 2022
6
1
Samahani naomba ufafanuzi kuhusu kupokea bidhaa kutoka nje ya nchi,hatua za kufuata Ni zipi
 
toa maelezo zaidi, zipo options nyingi
Ni kwamba Kuna mtu nataka nimwagize anitumie mzigo kutoka Senegal kupitia DHL,Ni mara yangu ya Kwanza kuagiza mzigo nje je nifanyeje ili mzigo nikauchukue huko DHL kwa urahisi.naomba niwasilishe
 
DHL,Ni mara yangu ya Kwanza kuagiza mzigo nje je nifanyeje ili mzigo nikauchukue huko DHL
Ili mzigo ukufikie DHL huitaji taarifa tatu.
  • Jina kamili la mookeaji mzigo
  • Namba ya simu inayopatikana muda wote.
  • Anwani ya makazi wewe unapatikana ( Physical Address )
Mzigo ukifika nchini utapigiwa simu kwa Taratibu za clearance na maelekezo mengine utapewa.
 
Ni kwamba Kuna mtu nataka nimwagize anitumie mzigo kutoka Senegal kupitia DHL,Ni mara yangu ya Kwanza kuagiza mzigo nje je nifanyeje ili mzigo nikauchukue huko DHL kwa urahisi.naomba niwasilishe
Samahani lakn kwa senegal mbona nasikia harufu ya NIGERIAN akifanya yake??
 
Ili mzigo ukufikie DHL huitaji taarifa tatu.
  • Jina kamili la mookeaji mzigo
  • Namba ya simu inayopatikana muda wote.
  • Anwani ya makazi wewe unapatikana ( Physical Address )
Mzigo ukifika nchini utapigiwa simu kwa Taratibu za clearance na maelekezo mengine utapewa.
Ahaaa Asante mkuu
 
samahani ivi inawezekan kutoa dollars ATM kwa card ya visa huku bongo na Kama hamna unawezaje kutoa dollars kweny card labda Kama Kuna utaratib mwingine,
 
samahani ivi inawezekan kutoa dollars ATM kwa card ya visa huku bongo na Kama hamna unawezaje kutoa dollars kweny card labda Kama Kuna utaratib mwingine
Maelezo yako hayajanyoka/ hayaeleweki. Labda jibu haya maswali
  • Je card yako iko kwa USD au TZS??
  • je hitaji lako ni USD?
Nini hasa unahitaji?
 
Kadi yangu Ni USD, hitaji langu natak kutoa dollars humo kweny card na nifanye exchange kwa fedha ya Tanzania
 
Ahaaa kwahy unamaanisha kwamba naenda kuingiza kadi labda kama Nina dollars 100 naangalia kwa thamani ya hela ya Tanzania Ni shi ngapi alafu ndo ninayotoa
 
Ili mzigo ukufikie DHL huitaji taarifa tatu.
  • Jina kamili la mookeaji mzigo
  • Namba ya simu inayopatikana muda wote.
  • Anwani ya makazi wewe unapatikana ( Physical Address )
Mzigo ukifika nchini utapigiwa simu kwa Taratibu za clearance na maelekezo mengine utapewa.
Hellow Mkuu!
Kuna mzigo umesafirishwa na DHL, kwenye option ya kuchagua pick up point wameniwekea DHL airport tu.
Kwanini hamna option nichague ya Samora?

Ukifika naweza kuwaomba wanisogezee Samora?
 
Back
Top Bottom