kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Tatizo la umeme: Kwa miaka 60 sasa, kiakili bado tupo utumwani kwa wakoloni weusi (kiutawala) wananchi sisi ndio mzigo

    February 2018, Kampuni za umeme, Australia zilitakiwa kulipa fidia kwa wakazi wa Victoria, nchini Australia waliothirika kwa kukosa umeme, malipo ya $180 kutegemeana na muda ambao 'nyumba ilikosa umeme'. Zilitengwa $5M. Umeme ulikatika kati ya saa 3—20. Huku kwetu Mabwepande, umeme unakatwa...
  2. Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu

    #HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. =====...
  3. Kutoka Chato airport

    Hizi ndizo shughuli tunazofanya hapa Chato airport, legacy kwa kwenda mbele!
  4. Kutoka maktaba mnaikumbuka hii?

  5. Chagua wachezaji bora watatu kutoka katika list hii

    Hii ni list ya magwiji mbalimbali wa Argentina na Brazil wanaocheza na waliostafu soka. Ukipewa nafasi ya kuchagua tatu bora utawachagua akina nani?
  6. Wawakilishi Kutoka Bara la Afrika

    1 Algeria 2 Morocco 3 Mafarao 4 DR Congo 5 Tunisia 6... 7... 8... 9... 10... (Algeria and Morocco) wawili hawa sina pressure nao hukoo Qatar, i know that watatuwakilisha vyema kabisa. kwangu mimi nawatambuwa kuwa ndiyo (Giants of Africa). Kwako mdau mwenzangu, nani unampa nafasi ya kusonga...
  7. M

    Video: Sikiliza huu wimbo kutoka malawi uliorekodiwa live na mwanamziki mzee wa miaka 93 akimshirisha kijana . Lazima utaupenda tu.

    Mzuka wanajamvi! Wimbo unaitwa Linny Hoo, umeimbwa na Giddes Chalamanda akimshirikisha kijana Namandingo Bonge la songi linavuta Hisia Sana. Love Malawi!
  8. M

    Naomba kujua Umuhimu na Mantiki ya Rais kusindikizwa na kupokelewa na lundo la Waandamizi akisafiri na akirejea kutoka nje ya nchi

    Na je, tunapoelekea Kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru wetu Tanzania utaratibu huu bado una Tija ya Kimaendeleo Kwetu au ni Utaratibu wa Kikoloni ambao kwa sasa unatufanya tuendelee kuonekana Mazuzu Kimataifa? KEROZENE nasubiri tu Michango yenu.
  9. Leo hii Nov 12, 2021 Serikali ya Uingereza imetangaza kusitisha mpango wa kuajili Manesi kutoka Kenya

    Ni takribani miezi 3 kupita baada ya Uingereza na kenya kukubaliana mpango wa kuwa ajiri wahudumu wa afya (nurses) kutoka Kenya, Leo hii Nov 12, 2021 serikali ya uingereza imetangaza kusitisha mpango huo na kisha kuhoji uhaba wa nurses ktk vituo vya afya vya kenya, ikisema Kenya inahitaji...
  10. B

    Mbowe: Salamu za Heri na Mshikamano kutoka Hai

    Kwenu makamanda na wapenda haki wote popote mlipo: Kwa hakika: Mungu atatenda.
  11. Tuwe makini sana na mikopo hii ya kutoka Bretton Woods Institutions (IMF & World Bank)

    Leo nchi yetu tumepata mkopo wa 1.3 trilioni kutoka IMF (International Monetary Fund) tumefurahia sana watanzania na kupongeza sana kwa hatua hii Lakini ukifuatilia sana mikopo hii, ambayo mabeberu wanasema eti ni mikopo ya masharti nafuu (concession loan) kutoka kwenye hizo taasisi za...
  12. K

    Kampuni gani ya kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania?

    Habari wakuu! Kama title inavojieleza hapo juu napenda kufahamu ni kampuni gani ambazo zinajihusisha na kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania? Na kama zipo wanatumia njia gani ya anga ama?
  13. Je, unafahamu uume unaweza kunasa ukeni pindi unapojamiiana?

    Sio mara moja wala mara mbili kushuhudia picha mtandaoni zikienea mtu na mpenzi wake kuwa wamegandana mwanaume anajaribu kuchomoa dushelele na haitoki Watu wengi huhusianisha na uchawi na matego kuwa huenda mume wa Huyu jamaa amemtega mke wake anapochepuka tu aumbuke Yote yanawezekana ila...
  14. Yule kocha wa yanga kutoka barcelona aliishia wapi?

    Imekuwa kurwa na dotto, Kipindi hiki Simba SC wamepoteana sasa katika kuwaweka sawa mashabiki wanadai kwamba wamechukua kocha wa REAL MADRID kocha wa RONALDO. Nakumbuka mwaka jana kipindi Yanga wamepoteana ikabidi wadai kwamba wana chukua kocha wa Barcelona Cedric 'Carzelona' Kaze Pia mwaka...
  15. R

    Hii ni extract kutoka kesi aliyoamua Jaji Liganga huyu huyu ambaye anaahirisha kesi kuwa kuna utata, ambapo alikubali msimamo wa Kibatala

    IN THE HIGH COURT OF TANZANIA IN THE DISTRICT REGISTRY AT MWANZA MISCELLANEOUS CIVIL APPLICATION NO. 152 OF 2019 (Arising from PC Civil Appeal No. 37 of 2018 which originated from Bupandwa Primary Court, Civil Case No. 27 of 2017) WILFRED JOHN...
  16. Tupeane maujanja jinsi ya kujiunga na bando la LAMBA DUME kutoka Tigo. 6GB kila baada ya wiki 2.

    wazee kwema? tupeane maujanja tupunguze ukali wa maisha ya mtandaoni.
  17. R

    Hukumu kutoka High court kwenda Court of Appeal

    Nimefuatilia kwa makini sana hukumu zinazotoka Mahakama Kuu Tanzania na kuona haya: 1. Nyingi huwa zinatenguliwa 2. Zikikubakila huwa ni for different reasons/reasoning Mana yake nini? Bado concrete reasoning ya majaji wetu haija kaa sawa. Kwanini? elimu duni ya siku hizi imesambaa maeneo...
  18. E

    Naomba msaada kufahamu bei za kreti za bia tofauti tofauti kutoka kwa wauzaji wa jumla

    Naomba kufahamu bei za kreti za bia tofauti tofauti kutoka kwa wauzaji wa jumla. Nitashukuru.
  19. Wabunifu kutoka Kenya na Uganda waiwakilisha EAC kwa kushinda tuzo kule Glasgow, Scotland.

    Kama kawa akili kubwa.... Four East African climate innovators from Kenya, Uganda and the Democratic Republic of Congo have won the prestigious 2021 Ashden Awards at the UN climate summit COP26 in Glasgow, Scotland. The Ashden Awards, organised by a London-based charity that works in...
  20. V

    INAUZWA Wauzaji wa suti genuine kutoka Uturuki na Italy

    Karibuni smart collection ni wauzaji wa suti genuine kutoka Italy na Uturuki Suti zetu ni slim body Size 32mpka 40 unapata Kwa bei ya Tsh 250,000 Utapata koti kizibao na suruali Tuko kariakoo Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa Whatapp 0657710078
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…