kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano na fahari yoyote kuto katika 50s?

    Mada hapo juu yahusika. Upo kwenye 40s, hakuna nyumba, hakuna gari, hakuna shamba lililosimama, miradi imeanguka. Ukiangalia salary slip, viraka kibao mpaka haishoneki tena, taasisi zinakimbizana kuchuma. Mpaka kiraka cha mwisho kinatoka ni miaka kama 6 hivi mbele na hapo, kama kila kitu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wafungwa wa kisiasa kutoka jimbo la Ukerewe washinda rufaa yao na kuachiwa huru

    28 July 2022 Ukerewe, Mwanza MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA KTK KESI No. 171 OF 2021, YAWAACHIA HURU WANACHAMA WA CHADEMA Waliokuwa wagombea udiwani kupitia chama cha CHADEMA washinda rufaa yao na kuachiwa huru. Mzizi wa Hii kesi ilitokea wakati wa kurudisha fomu za udiwani, walipigwa risasi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania ITV wametoa tamthiliya ya uzalo kutoka saa 1:30 wakaweka tamthiliya nyingine muda huo

    Binafsi mimi na watoto wangu hupenda kuangalia vipindi vya ITV kwa sababu vingi ni vizuri hata kwa watoto.Kwa muda mrefu tulizoea kuangalia tamthiliya ya uzalo saa 1:30 jioni,kifupi tamthiliya hii inafaa hata kuangaliana watoto kwa sababu muda huo hata watoto wanakua hawajalala.Cha kushangaza...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania na uwekezaji kutoka Nje

    Tanzania Na Uwekezaji Kutoka Nje Katika kipindi cha zaidi ya mwaka cha Serikali ya awamu ya sita, Raisi Samia Suluhu Hassan amekuwa akifanya ziara katika baadhi ya mataifa mbalimbali barani Afrika, Ulaya, Mashariki ya kati, na Marekani. Miongoni mwa nchi alizozizuru ni pamoja na Marekani...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuanza kununua umeme kutoka Ethiopia baada ya kusaini makubaliano

    Kenya itaanza kununua umeme kutoka Ethiopia. Hii inafuatia makubaliano ya power purchase agreement (PPA) kutiwa saini na nchi zote mbili. https://www.the-star.co.ke/news/2022-07-29-ethiopian-electric-power-to-become-second-largest-supplier-to-kenya-power/
  6. JamiiForums Tanzania Mnaosema mtoto hurithi akili kutoka kwa mama njooni

    Tafiti zinasema mtoto hurithi kila kitu kwa mama zaidi lakini kwangu mimi hili ninalikataa...ukweli usemwe tu kuna wengine kuna wengine tumekuwa ndio ngao kubwa kwa hawa wazazi wetu ( wa kike ). Hata uwezo wao wa kufikiri inaonekana kabisa ni mdogo unamshauri unamuambia kabisa hiki...
  7. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Afrika kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi

    Ujumbe ulikuwa hivi, unajua nyie waafrica yaani sisi kwamba tuna Tabia ya kimalayamalaya hivi hatuwezi tukawa na msimamo wa kusimama na mmoja ndio maana tulibaki mabubu kwenye kura kule UN, kwa hiyo tutumie rasili Mali zetu, tuachane na Tabia hiyo ili tusiwe tegemezi mfano alisema nyie mnaweza...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wabobezi kuhusu gharama za TRA kulipia 20ft Container kutoka China

    Wadau katika kutaka kujikomboa kimaisha nimeona Alibaba.com kununua mzigo na kusafirisha hadi BONGO siyo gharama kubwa ,issue ikabaki kwangu je wazee wa Kaisari -TRA hapo ndio kikwazo mara nyingi.Kwa maelezo hayo naomebi wabobezi wa biashara kutoka CHINA na ambao wana shop at ALIBABA.COM...
  9. JamiiForums Tanzania SoC02 Mabadiliko ya fikra za Vijana katika kujishughulisha na kilimo

    Picha na farming Africa. UTANGULIZI Nchi nyingi katika dunia ya leo hasa zile zinazoendelea zikiwemo nchi za AfriKa hasa katika ukanda wa Sahara ikiwemo Tanzania watu wake hutegemea sana kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi wao kutokana na ukweli kwamba watu wake wanakaa katika maeneo ya...
  10. JamiiForums Tanzania Elon Musk Akana Tuhuma za Kutoka Kimapenzi na Nicole Mke wa Mwanzilishi Wa Google

    Bilionea namba moja duniani, Elon Musk amekana uhusiano wowote na Nicole Shanahan, ambaye ni mke wa mwanzilishi wa Google, Sergey Brin. Kauli ya mmiliki huyo wa kampuni ya magari ya uneme ya Tesla, imekuja baada ya ripoti katika Jarida la Wall Street kieleza kwamba urafiki wa Musk na Brin...
  11. JamiiForums Tanzania SoC02 Kuenea kwa usugu wa vimelea na vimelea sugu vya magonjwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu kupitia matumizi ya mbolea za wanyama katika kilimo

    DIBAJI Katika dunia ya leo ambayo muingiliano wa shughuli za kilimo na maisha ya binadamu vinaongeza utegemeano ongezeko la magonjwa sugu linaongezeka siku hadi siku kutokana na hali kwamba , matumizi ya mbolea kutoka kwa wanyama na biandamu katika kilimo hususani kilimo hai yanaongezeka na...
  12. JamiiForums Tanzania RC Makalla apokea Vitanda 108, Meza 38 na Vyuma 161 kwaajili ya majeruhi wa Ajali kutoka Ujerumani

    RC MAKALLA APOKEA MSAADA WA VITANDA VYA WAGONJWA KUTOKA UJERUMANI. - Ni Vitanda 108, Meza 38 na Vyuma161 kwaajili ya majeruhi wa Ajali. - Avigawanya kwa kila Halmashauri ya Mkoa. - Ampongeza Rais Samia kwa kudumisha ushirikiano wa kidiplomasia baina ya Tanzania na Ujerumani. Mkuu wa Mkoa wa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Serikali idhibiti chakula kutoka nje ya nchi

    Waziri wa Kilimo aliangalie sana hili huko mipakani tudhibiti uuazaji wa vyakula kiholela. Juzi nilikuwa Serengeti mahindi debe ni Tzs 20000 from bei ya zamani ilikuwa 12000 kwa hiyo tunakoelekea Wakenya watakuja kutuuzia tena vyakula kama mvua zitachelewa. Sisemi watu wasiuze lakini kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Picha Kutoka Maktaba ya Ally Sykes: Vijana wa Nyakati Moshi 1955

    Katika picha hiyo hapo chini aliye hai kadri ya ufahamu wangu ni Mrs. Frank Humplink. Katika watu hawa saba mimi nimebahatika kukutana na wanne: Mrs. Humplink nimekuwa nikienda nyumbani kwake Lushoto wakati wa uhai wa mumewe, Frank Humplink, Peter Colmore nimezungumza na yeye nyumbani kwake...
  15. JamiiForums Tanzania Picha Adimu za TANU Kutoka Maktaba ya Marehemu Ally Sykes

    Picha hiyo hapo chini inatoka kwenye Maktaba ya marehemu Ally Sykes. Mimi picha hii nilikuwanayo lakini ilikuwa nakala iliyochoka kupita kiasi na ni hiyo iliyo hapo chini. Kulia ni Haruna Iddi Taratibu (Central Province), Saadan Abdu Kandoro (Lake Province), Julius Nyerere (Eastern Province)...
  16. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Wanaoagiza Bidhaa Kutoka China

    Hello Everyone! Tahadhari muhimu kutoka ubalozi wa Tanzania nchini China. Tunatakiwa kufanya yafuatayo Ili kuepuka kuibiwa na makampuni hewa👇
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ukaguzi wa magari yaliyotumika kutoka Japan kufanyika hukohuko itasaidia kupunguza figisu

    Ninaishukuru sana Serikali kwa uamuzi ulioufanya kwa ukaguzi wa magari yaliyotumika yanayotoka Japan kufanyika huko huko Japan. Kusema kweli TBS wamejiharibia wao wenyewe, kwa asilimia kubwa hakuna mteja aliyetoa gari yake bila kutoa rushwa. Kulikuwa na figisufigusu ya hapa na pale mara mteja...
  18. JamiiForums Tanzania Jamii wameiga(Kujifunza) nini kutoka kwako?

    Kuna jambo lolote unahisi katika familia, Wilaya, mkoa, Taifa au Dunia kwa Ujumla lilinzia kwako ndipo watu wakaliendeleza katika jamiii liwe baya au zuri au la kuvutia au kukera lakini wewe ndio muasisi. Tuthibitishie hapa!! Kwa mfano kuna maneno yalitamkwa na wanasiasa na wanamuziki miaka...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania watakavyonufaika na mkopo wa TZS trilioni 2.4 kutoka IMF

    Kabla sijaanza kueleza ni kwa namna gani Watanzania watanufaika na mkopo wa shilingi trilioni 2.4 kutoka Shirika la Fedha Duniani, kwanza ifahamike kwamba hakuna nchi duniani ambayo haikopi, nchi zinatofautiana kiwango na sababu za kukopa. Baada ya hilo, nielekeza kwamba mkopo ambao Tanzania...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mayai ya Kuku kutoka nje ya Tanzania, yalisababisha kushuka kwa bei ya Mayai

    Juni 14, 2021 mitandao mbali mbali ya kijamii ilirindima kwa uvumi kuwa kuna mayai ya kuku kutoka nje ya Tanzania ambayo yamefanya mayai nchini yauzwe kwa Tsh. 4000 kwa trei la mayai 30, hali iliyoleta taharuki kwa wafugaji wa kuku nchini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…