kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Pokea pesa kutoka Paypal kuja M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money

    Habari zenu wakuu, Kutokana na Paypal kutoruhusiwa kupokea pesa Tanzania, nafikiria kuanzisha huduma itakayosajiliwa ambayo itawawezesha watanzania kupokea pesa kutoka paypal na kuingia kwenye mitandao ya simu ya Tanzania kama M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money. Napokea maoni, ushauri na...
  2. S

    Viongozi wa Serikali ya CCM hawapati thawabu wala Baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu

    Ni lazima wajitokeze watubu na kuwaomba radhi waTanzania walio wengi kutokana na kadhia ya Uchaguzi mkuu uliopita,hakuna asiejua kilichotokea. Watafanya mengi mazuri ya kufurahisha lakini yatakuwa hayana baraka ,hivi hela ya wizi inatenda Jema mbele ya Mwenyezi Mungu? Wanatia huruma sana...
  3. Maandalizi ya Ukumbi atakapohutubia Freeman Mbowe kwa mara ya kwanza tangu atoke jela yamekamilika

    Ukumbi huu unaitwa Usambara Hall, uko Mjini Iringa, Hapa ndipo shughuli ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na mabingwa wa shughuli za akina mama BAWACHA itafanyika. Shughuli hii ibatarajiwa kuhutubiwa na Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika...
  4. Msaada: Namna ya kufanya booking ya tiketi ya ndege kutoka Mpanda kwenda Dar

    Habari zenu wakuu Naomba msaada wa muongozo wa namna ya kubook online ticket ya ndege kutoka Mpanda to Dar es salaam kwa Air Tanzania Nina mpango wa kusafiri tar 18 mwezi huu na nina hitaji kubook ticket hiyo online ili nikimaliza shughuli zangu nitumie flight hiyo kurudi Dar JF Wajuaji...
  5. Najuta kwa mara nyingine kuwa na mahusiano na mke wa mtu

    Ni mwanamke ambaye nilionana nae nilipoenda kutembelea maonesho ya biashara ya sabasaba mwaka jana, na hii ni baada ya kumaliza shughuli za ukaguzi katika banda letu nikaona si vibaya nipate kutembelea mabanda mengine kujionea biashara na ubunifu wa vijana wetu. Wakati nazunguka nilifika katika...
  6. Ghana yaanza kupokea wanafunzi wao waliokimbia Ukraine

    Kundi la kwanza la raia wa Ghana wakiwemo wanafunzi limewasili Accra Nchini Ghana wakitokea Ukraine ambapo kuna machafuko kwa taifa hilo kushambuliwa na Urusi. Serikali ya Ghana kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wamekuwa wakifanya jitihada za kuwatoa raia wake Ukraine ambapo bado hali ya...
  7. B

    Rais Samia arejea kutoka Dubai na makubaliano 36 yaliyobeba trilioni 17.1 zenye ajira 204,575

    Na Bwanku M Bwanku Leo Jumanne kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua ziara ya siku 3 ya Rais Samia Suluhu Hassan kule Falme za Kiarabu (UAE) ambapo Jana Jumatatu Februari 28, 2022 alirejea nchini kutoka kwenye ziara hiyo ambayo pamoja na mambo mengine alishiriki matukio mawili...
  8. Pele aruhusiwa kutoka Hospitalini

    Gwiji wa Brazil Pele ameruhusiwa kutoka hospitalini baada ya kupata matibabu ya uvimbe na maambukizi ya mfumo wa mkojo. Mshindi huyo Kombe la Dunia kwa mara tatu, mwenye umri wa miaka 81, alilazwa katika Hospitali ya Sao Paulo Albert Einstein tarehe 13 Februari, kwa ajili ya matibabu ya uvimbe...
  9. Uhamiaji Musoma, huyu mama kutoka Burundi angefariki damu yake ingewalilia

    Mama mjamzito ametoka Burundi kwenda Kwa mume wake Kenya Juzi tarehe 25/02/2022. Alivyofika Musoma alikamatwa na uhamiaji sehemu ainayoutwa Kurumuli (Barrier) . Alijitetea kwa uchungu Sana mpaka tulio kuwa kwenye gari lile tulipata huruma. Mama alijitetea kuwa anaenda Kenya kujifungulia huko...
  10. N

    Chato: Mapato yashuka kutoka Tsh mil 77 hadi mil 10 kwa mwezi

    Nimeona hilo kupitia star TV usiku huu wa saa mbili. Tatizo ni nini?!!! Mwenyekiti anashangaa kuwa vyanzo ndiyo kwanza vimezidi lakini mapato ndio yamashita kama hivyo yanashuka. Kamati yaundwa kuchunguza. Ndio hivyo!
  11. UEFA yahamisha fainali ya Champions League kutoka Urusi kwenda Ufaransa

    Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (Champions League final) iliyokuwa imepangwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Krestovsky jijini Saint Petersburg Nchini Urusi imehamishwa na sasa itachezwa jijini Paris, Ufaransa. Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) limechukua maamuzi hayo kutokana na mapigano...
  12. Nimeamua kuoa Msabato

    Nimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo; 1. Nitaokoa zaidi ya milioni 2 kwa mwaka kutoka kwenye hela za kuhudumia nywele. Milioni 2 ni kama matofali 2000. 2. Kwenye msosi nitaokoa hela nyingi sana kwa mwaka zaidi ya milioni 3 kwasababu...
  13. Nilivyotapeliwa Tsh 500,000 na wanaoagiza bidhaa kutoka China

    Katika harakati zangu za kutafuta maisha. Kuna jamaa flani akanipa mchongo wa kuagiza mzigo China akaniambia ila niwe na uvumilivu. Kijana nikajikusanya kila kitu nikafuatilia nikaunganishwa na tapeli mmoja mwanamke alikuwa na ofisi feki Kigamboni. Alikuwa na acount Instagram Login •...
  14. J

    TANESCO wasaini mkataba wa kuuziana umeme na Geita Gold Mining

    TANESCO KUVUNA BILIONI 5 MAPATO YA MWEZI KUTOKA GGM Kukamilika kwa mradi wa kupeleka umeme kwenye Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Geita Gold Mining (GGM) kutaliwezeshaTANESCO kupata kiasi cha shilingi bilioni 5 kwa mwezi zitakazotokana na mauzo ya umeme. Source: TANESCO ===...
  15. C

    Baraka Mpenja ana mengi ya kujifunza kutoka kwa Gharib Mzinga

    Ukiangalia namna wanavyopangwa Watangazaji wa Azam TV utaona kuwa Baraka Mpenja ndiyo Mtangazaji namba 1 hivyo hupewa mechi nyingi kubwa au zile zenye mvuto. Utaratibu huu pia upo kwenye Channel kubwa za Kimataifa kama Sky Sports, BT Sports pamoja na ITV ( Uingereza) ndiyo maana Peter Drury...
  16. Profesa Lipumba awapokea wanachama 50 kutoka ACT Wazalendo

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, leo Jumapili Februari 20, 2022 ameongoza mapokezi ya wanachama takribani 50 wanaorejea kwenye Chama hicho akiwemo Masoud Hamad Masoud kutoka Chama Cha ACT- Wazalendo. Masoud aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa ACT katika...
  17. Mwanariadha wa kike kutoka Nigeria afungiwa miaka 10

    Mkimbiaji wa mbio fupi wa Nigeria, Blessing Okagbare amefungiwa kushiriki mashindano ya riadha kwa miaka 10 kwa kukiuka taratibu za kuzuia matumizi ya dawa za kuongeza nguvu michezoni. Kikosi cha kusimamia uaminifu kwa wakiambiaji (AIU) kimesema mwanariadha huyo mwenye miaka 33 amefungiwa kwa...
  18. S

    Wanachotamani na wanachoshikililia MATAGA ni Mbowe kuwapigia magoti jambo ambalo mpaka leo hawaamini kuwa halitokei kutoka kwa Mbowe

    Hawa watu kuanzia mwenyekiti wao wanaishi na nafsi zinazowatesa sana kwani wanajua kabisa kuna mtu wanamtesa, mtu asie na kosa wala hatia yoyote. Wanaumia na kuteseka sana wanapoona picha za Mbowe na wale washitakiwe wengine wanapoingia na kutoka mahakamani ila kwakuwa walishafanya kosa, hawana...
  19. B

    Said Mwema ni IGP pekee aliyejikita ku-transform jeshi kutoka Ulimwengu wa Tatu kulipeleka Ulimwengu wa Kwanza, (community policing is global agenda)

    Mzee Said Mwema live long, you did what IGP suppose to do. Ulifanya Kwa uelewe na maarifa makubwa. Ulifanya jamii kuwa sehemu ya ulinzi wa nchi, ulitenganisha kazi ya Polisi na kazi ya siasa. Ulitambua wapi Kuna siasa na uingieje katikati ya wanasiasa nakuwadhibiti wasikulazimishe kutenda...
  20. Kutoka Mliman City, Diamond na Zuchu mahaba nje nje

    Mambo si mambo...!!! New couple in town? Wacha tuendelee kunywa mtori , nyama tutazikuta chini
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…