kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kutoka kuajiriwa mpaka kujiajiri

    Katika kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira ulimwenguni, serikali na wadau mbalimabli husisitiza dhana ya kujiajiri. Jamii inaamini kuwa kujiajiri ndiyo tiba mbadala ya janga la ukosefu wa ajira. Ukisikiliza maoni ya vijana wengi kuhusu kujiajiri ni lazima utakumbana na changamoto ya...
  2. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wanafunzi wa kike wa miaka (15-18)wanaopata ujauzito kutoka kwa wanafunzi wenzao wa kiume wenye miaka inayoendana wapewe adhabu pia

    Wanafunzi wa kike au mabinti wenye umri kati ya miaka kumi na tano mpaka miaka kumi na nane wanaopewa ujauzito au kufanya ngono na wanafunzi wenzao au vijana wenye umri unaoendana na wao wapewe adhabu ya muda mfupi kisha warudishwe masomoni chini ya uangalizi wa wazazi. Imezoeleka kwamba watoto...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Drones zilizopewa Urusi kama msaada kutoka Iran zapata matatizo, udhulumaji ni laana

    Mpaka sasa Putin anaendelea kusaka misaada kutoka kote ili adhulumu kainchi kadogo jirani yake, lakini kila msaada anaopewa unaangukia pua, drones alizopewa na taifa la kidini la Iran zimepata matatizo ya ghafla yasioweza kuelezeka, nawashangaa sana watu wenye dini yao wanavyopambana kumsaidia...
  4. plan z

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana tujiingize kwenye njia za kutengeneza pesa Mtandaoni Ili tuweze kujikwamua kutoka kwenye umaskini

    Ulimwengu wa sasa umebadilika tofauti na miaka ya nyuma na njia za kujiingizia kipato kwa nyakati hizi ni tofauti na kipindi cha nyuma. Zamani mtu unaweza kuamka huna hata shilingi kumi na ukatoka mtaani ukapata chochote na usilale njaa, lakini kwa nyakati hizi ukiwa katika hali hiyo unaweza...
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maparachichi mabichi kutoka Kenya hatimaye yafika China

    Kupitia juhudi za pamoja za nchi mbili, shehena ya kwanza ya maparachichi mabichi kutoka Kenya hatimaye yalifika China kwa wingi hivi karibuni. Mapema asubuhi ya Agosti 26, tani 45 za maparachichi mabichi ya Kenya yaliwasili katika bandari ya Waigaoqiao mjini Shanghai. Inatarajiwa kuwa wakazi wa...
  6. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Moloko wa Yanga SC ana mengi ya kujifunza kutoka Asha Djafar wa Simba Queens

    Ukitizama uchezaji wa hawa wachezaji wawili utagundua kuwa Jesus Moloko kaachwa mbali sana na Asha Djafar
  7. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Afrika ni ngumu mtoto wa maskini kuendeleza kipaji chake kwa support kutoka kwa baba yake

    Kipaji ni zawadi iliyopo ndani yako ambayo mungu mwenyewe kakupa kujua una kipaji gani hilo ni jukumu lako wewe mwenyewe tena. Lakini kiafrika afrika ni ngumu sana kipaji cha mtoto kuendelezwa na kupata support kutoka kwenye familia sio kwa sababu hawataki kipaji chako kiwe kikubwa ila tu "...
  8. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania MMU Leo tuongee watu wazima vijana wajifunze kutoka kwetu, maana jukwaa limejaa utoto mwingi.

    Naongea na wazee wenzangu Leo, let's say hakuna tatizo nyumbani mko powa. Mama ameanza tabia za kulala na Watoto na hakuna ugomvi wowote. Na sometimes una vidume vikubwa kuna wakati mama anaona hah Leo jumamosi kuna wedding somewhere natoka na first born wangu wa kiume baba atasubiri nyumbani...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania It will take hundreds of years for Tanzania to get a president like Magufuli

    Kuna mambo ukiyanglia kwa jicho la nyama. Ni ngumu kuyaelewa.... Nikitafakari majitoleo yake Kwa watanzania nahisi alikuwa ni Malaika...... Dunia nzima kwa Sasa hakuna kiongozi kama yeye. Uzalendo wa namna hii tuliuona Kwa kina Martin Luther king Jr na John Kennedy...... Kwa Sasa watu...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Urusi: Rais Putin kuwalipa Tsh. 398,436, raia wanaohamia kutoka Ukraine

    Rais Vladimir Putin leo Agosti 27, 2022 amesaini amri ya kuwalipa kiasi hicho cha fedha watu wote walioondoka Ukraine na kuhamia Urusi wakiwemo Wastaafu, Wajawazito na Walemavu. Amri hiyo iliyowekwa kwenye tovuti ya serikali, inaweka malipo ya pensheni ya kila mwezi kwa waliolazimika kuondoka...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mashirika ya umma yanayo tumia PF Number

    Naomba kujua mashirika ya umma yanayo tumia (PF) number na taratibu za uhamisho kutoka shirika moja kwenda jingine.
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Singida Big Stars yakamilisha usajili wa mchezaji kutoka Argentina

    Tozo tunazochapwa ndizo zinafanya hii kazi ? klabu ya Singida Big stars inayomilikiwa na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba imeweka rekodi Tanzania kwa kuwa klabu ya (1) kusajili mchezaji kutoka Argentina Anaitwa Miguel Alejandro Escobar, ana umri wa miaka (27) tu ni kiungo mshambuliaji Bila...
  13. polokwane

    JamiiForums Tanzania SERIKALI : pesa za malipo ya makarani mngelipa direct kutoka hazina , hizi mlizo peleka halmashauri kuna halimashauri hazijawalipa makarani hadi sasa.

    Hiii nchi na serikali kuu mnaziamini bado halimashauri hizi kwenye maswala ya fedha lakini bado zina misingi ya hovyo tangu kuumbwa kwake, wamejaa mchwa na wezi huko. Mnahabari Hadi sasa kuna halmashauri hazijawalipa makarani wao zaidi ya kulipwa pesa ya awali ya siku 5 tu za semina na bado...
  14. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wahadzabe hawahamishwi kutoka huko porini?

    Hawa wadzabe kwanini wao wameendelea kuishi huko maporini? Wao hawataki maisha bora ya mjini kama wenzao wamaasai?
  15. comte

    JamiiForums Tanzania Makarani wa sensa kuoneokana kutoonekana kwenye kaya ni matokeo ya mawasiliano yasiyo kamilifu kutoka kwa serikali

    Sielewi ni nani alitufanya tuamini kuwa sensa ni zoezi la siku moja ( 23.08.2022) mpaka ikafanywa kuwa siku ya mapumziko.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zinapaswa kujifunza kutoka China jinsi ya kushirikiana na nchi za Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken hivi karibuni aliahidi kwamba Marekani inapanga kutumia dola bilioni 200 kati ya mpango wa miundombinu wa dola bilioni 600 uliotangazwa hapo awali na G7 kupambana na "nafasi ya uongozi ya China barani Afrika na nchi nyingine maskini." Mwezi...
  17. Mai-Ndombe

    JamiiForums Tanzania Somo zuri kwa Rais Samia kutoka kwa Rais Hussein A. H Mwinyi.

  18. Kwa msisi yetu

    JamiiForums Tanzania Somo zuri kutoka uchaguzi wa Kenya ambalo watawala wa Tanzania na CCM hawataki kulisikia.

    Mambo 10 yanayoutofautisha uchaguzi wa Kenya na nchi zingine Afrika 19 Agosti 2022 Na Yusuph Mazimu BBC Swahili Kenya imefanya Uchaguzi wake mkuu Agosti 9, 2022, na kumchagua William Ruto kuwa Rais wa tano wa taifa hilo, akimuangusha mwanasiasa mkongwe, Raila Odinga, aliyekuwa anagombea kwa...
  19. Sijali

    JamiiForums Tanzania Si vibaya kuajiri akili kubwa kutoka nje!

    Napenda tu kuwakumbusha watawala wa Tanzania kuwa mambo yanaposhinda si vibaya kutaka msaada wa kiakili kutoka nchi zilizofanya vizuri. Nasema hivi kwa maana naona gap kubwa ya uongozi mzuri katika Wizara na sekta nyingi Tanzania. Ukichunguza vizuri utaona mapungufu hayo kwa kweli yanatokana na...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Bus gan nzuri la kutoka iringa kwenda mwanza.

    Wakuu nauliza bus gan Zur linalotoka iringa asubuh kuelekea mwanza.nataka linaloanzia iringa mjini.
Back
Top Bottom