Ghana yaanza kupokea wanafunzi wao waliokimbia Ukraine

John Haramba

JF-Expert Member
Feb 4, 2022
365
1,373
1646146727249.png

Kundi la kwanza la raia wa Ghana wakiwemo wanafunzi limewasili Accra Nchini Ghana wakitokea Ukraine ambapo kuna machafuko kwa taifa hilo kushambuliwa na Urusi.

Serikali ya Ghana kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wamekuwa wakifanya jitihada za kuwatoa raia wake Ukraine ambapo bado hali ya hewa haijatulia.

Wizara ya Mambo ya Nje ya Ghana imeeleza kuwa raia wake wengi wamefanikiwa kuondoka Ukraine na kuelekea Slovakia, Hungary, Romania na Poland.

“Tuna taarifa za wanafunzi wetu, wale ambao siyo wanafunzi wapo waliotawanyika sehemu nyingine,” ilisema taarifa ya wizara hiyo.


Source: myjoyonline
===

The first batch of Ghanaian residents and students evacuated from Ukraine have arrived in Accra.

These persons were rescued through neighbouring countries by land due to the shutdown of Ukraine’s airspace since the beginning of the unrest in the country.

Government has been undertaking a number of processes in partnership with diplomatic missions, honorary consuls and stakeholders to get all Ghanaian nationals evacuated to safer zones.

A Foreign Ministry representative helping with the evacuation exercise, Dr Albert Kitcher, said many of the students left stranded in Ukraine continue to arrive at the Slovakia, Hungary, Romania and Poland borders.

He has so far received 45 of them who successfully crossed the Ukraine border on Monday.

“These are mostly students. For the non-students, I know some who have gone on their own. There are about four or five different steps that you take before you get to the border and then get on the plane. These people are leaving from the city of Lviv; so, they are in the territory of Ukraine.”

“As they are leaving, the person leading the bus is constantly in touch with me and some of the student leaders, and we’re coordinating as and when they are on the road.

“As they are going, we’re giving information to the Ghana Mission so that when the people arrive, they would be there to receive them,” he said.
 
mbona kama hawa wengine wako kule kwa kujiripua sio students
 
Watoto wa kitanzania imekuwaje mbona serikali ipo kimya jamani,watoto wavushwe warudishwe nyumbani pia watanzania waliopo huko
 
Back
Top Bottom