kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania TRA Butu, watu wananunua magari ya zaid 2B bila kutoa source ya fedha zao wala kulipa kodi, kazi yao kubwa imebaki kupambana na mawinga

    TRA imekuwa shirika butu Linaacha watu wakifanya wapendavyo bila kuulizwa. Watoto wa vigogo wanapora na kula keki ya taifa wananunua magari ya bilioni, wakiishi maisha ya kifahari bila kulipa kodi wala kuulizwa vyanzo vyao vya fedha. Serikali inapoteza mapato, huku TRA ikipambana na mawinga...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Lissu alikuwa mtu wa kwanza kutoa taarifa za kifo cha JPM, alisema alifariki kwa Corona

    Naweka kumbukimbu kwa wale wanaolishwa mapumba na Hafre kwamba hata kiongozi Mkuu wa chadema alisema JPM alikufa kifo cha ugonjwa wa corona na si vinginevyo. Corona huwapiga zaidi watu wenye matatizo ya moyo
  3. JamiiForums Tanzania Dkt Mpango aiomba Benki ya CRDB kutoa elimu ya fedha wakati akizindua Tawi Buhigwe

    Buhigwe. Tarehe 27 Agosti 2025: Akizindua tawi la Benki ya CRDB wilayani Buhigwe pamoja na kupokea madarasa mawili ya shule ya sekondari, Makamu wa Rais, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango ameisifu Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kutanua huduma jambo linalosaidia kuongeza ujumuishaji wa...
  4. JamiiForums Tanzania Waya hauwezi kutoka NIDA kwenda bank accounts za CCM na sisi tupate ya soda?

    Ni dhahiri sasa huu uchaguzi sio tena kwa ajili ya kuchagua wawakilishi wa wananchi. Ni dhahiri sasa hawa CCM hawapo tena kuhakikisha ustawi wa Tanzania. Wewe umeona wapi mtu anatumia gharama kubwa na mbinu za aibu eti kwa ajili ya kutaka kukuwakilisha? Huu ni uchaguzi kwa ajili awamu nyingine...
  5. JamiiForums Tanzania Wazee wa Kuchat, ushawahi kutoa boko kama hii?

  6. JamiiForums Tanzania Rais Kim Jung Un amewatunuku askari waliorudi salama na kutoa pole kwa familia za waliofia kwenye vita jimbo la Kursk-Urusi

    Rais Kim Jung Un amewatunuku askari waliorudi salama na kutoa pole kwa familia za waliofia kwenye vita jimbo la Kursk Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, amewapongeza na kuwatunuku askari wa Korea Kaskazini waliorejea salama kutoka vitani katika mkoa wa Kursk, Urusi, ambapo walishiriki...
  7. JamiiForums Tanzania Kutoa

    Pesa Unayoitoa Haiana Thamani kwa Mtu nae ipokea,ila inathamani kwa mtu alie itolea Jasho kuipata.
  8. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole kesho Agosti 21 kuongea na taifa ikiwa maoni yake hayatafanyiwa kazi

    Ni kwamba leo ameongea kiduchu kwa kusisitiza kuwa ni muhimu wenye mamalaka kuacha kushupaza shingo wao ni wadogo kuliko taifa wawe na hofu ya Mungu kwani kundi la mtandao halina nia njema na taifa letu.
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Malisa: Mahakama kutoa uamuzi mapingamizi ya CCM Agosti 22

    DODOMA. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na CCM dhidi ya Mchungaji Godfrey Malisa anayepinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho. Mchungaji Malisa aliyefukuzwa uanachama Februari 10 mwaka huu...
  10. JamiiForums Tanzania Kwenu Vodacom, mkiwa katika kipindi cha kutimiza miaka 25 tangu muanze kutoa huduma kuna tangazo la zamani naomba mtuonyeshe tena kama kumbukumbu.(TBT

    Habari wadau wa Chitchat Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom inatimiza miaka 25 tangu kuanzishwa kwake nchini Tanzania. Vodacom ilianza kutoa huduma zake rasmi tarehe 16/08/2000 kama kumbukumbu zangu zitakuwa sawa. Wakiwa katika mwaka wa shamrashamra hizo mimi nikiwa kama mteja na mdau wao...
  11. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali na Polisi Kilimanjaro mnataka mauaji yatokee Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai ndio mje kutoa salamu za rambirambi?

    Hofu kubwa imetanda kwa Wananchi wa Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro kutokana na uvamizi unaofanywa na wafugaji wa Kimasai kwa Wakulima Maskini wa kijiji hiki huku uongozi wa kijiji hasa Mwenyekiti ukishutumiwa kupokea rushwa kutoka kwa hawa wafugaji ambao ni wageni eneo...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kutoa mlio ukeni wakati wa kufanya mapenzi

    Wakuu mko salama? Je Ushawahi kufanya mapenzi na mtu(ke) halafu kuna mda uke ukatoa mlio kama kujamba??? Kama ndio hiyo inaitwa Queefing (vaginal flatulence) Nini maana ya Queefing?? ni hali ambapo hewa inatoka kwenye uke na kutoa mlio unaofanana kabisa ule kabisa wa kujamba. Utajiuliza...
  13. JamiiForums Tanzania CCM kutoa form ya Urais kabla ya kumpumzisha Ndugai ni kutoka na utu na aibu

    Spika wa bunge, mbunge na mwanachama wa CCM Bado hajazikwa, CCM mshatangaza kukabidhi fomu ya mgombea wenu pekee na asiyepingwa hiyo kesho Job Ndugai na bunge lake ndo alitoa budget ya kujenga bwawa la mwalimu Nyerere, SGR na kivuko cha Busisi Bila shaka inasemekana uchukuaji fomu utaambatana...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Unayejaribu kutoa fomu mbili jitazame hatutanii siye

    Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
  15. JamiiForums Tanzania Nataka kwenaa kutoa Pole kwa Familia ya Job Ndugai je, niende kwa Mjane Stellah au niende kwa Mjane Fatuma?

    Ukijijua huna IQ ya Kuuelewa huu Uzi na kunielewa Zanaki, Yao na Tutsi Genius tafadhali achana naa endelea na yako tu.
  16. JamiiForums Tanzania Hakuna Shahidi Anayeweza Kutoa Ushahidi Kwa Kificho Halafu Asijulikane Milele

    Uamuzi wa Mahakama wa kuruhusu mashahidi wa kificho, kwa kweli ni uamuzi wa kishetani, unaolenga kudhulumu haki. Hii ni njia ya waliombambikizia Lisu kesi ya uhaini, kuwatafuta mashahidi wa kutengenezwa. Hakuna msema ukweli anayeweza kuogopa kujulikana. Hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kuleta...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

    taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za...
  18. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutoa matokeo ya mchakato wa kuteua mgombea ubunge wa CCM kwa kila jimbo.

    Ni vyema JamiiForums wakatoa updates hapa ili mambo yote yawe kwenye sufuria moja. Sina updates za uhakika mpaka sasa
  19. JamiiForums Tanzania DART: Marufuku watoa Huduma Binafsi kutoa taarifa za Usafiri wa Mwendokasi (BRT) ikiwemo mikataba

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umetangaza marufuku kwa Watoa Huduma Binafsi kujihusisha na utoaji wa taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu utekelezaji wa michakato mbalimbali ya Mradi wa BRT ikiwemo suala la mikataba na mipango. Taarifa kwa Vyombo vya Habari, Agosti 4...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Yas kutoa huduma kituo cha Biashara, Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC)

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Yas, Pierre Canton Bacara (katikati), akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (kulia), wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC), iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…