kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tman900

    JamiiForums Tanzania Kutoa Kadi ya Mualiko

    Kuna Rafiki yangu ana owa kesho. Ametoa Kadi za Mualiko. Sasa Kuna Baadhi ya Rafiki Zetu wanasema angetoa hata kadi za mchango. Naomba ufafanuzi wenu kwani kutoa Kadi za Mualiko au Kuto kuomba watu michango ya kuendeshea shunghuli yako unaweza athiri Jamii au Rafiki zako. Kwa mtazamo wangu...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Huu msemo wa kusema kutoa ni Moyo na si utajiri umekaa kitapeli na kihuni sana

    Wakuu hii kauli imekaa kitapeli sana eti kutoa ni Moyo na si utajiri!? How? Imagine umechapisha kadi za ufadhiri na kianzio umepanga Single iwe 150k Double 280k Halafu mwishoni unaandika maneno ya kitapeli eti kutoa ni Moyo Wala si utajiri. Tuambizane hapa ukweli ni masikini yupi anaweza...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwa tabia za mapolisi wetu, ukimkuta mtoto aliepotea na anatafutwa upo tayari kutoa ushirikiano ?

    Umekuta mtaani mtoto aliepotea anatangazwa kutafutwa, unapiga simu kwa wazazi wake waje kumchukua. Mapolisi wanaenda kwa wazazi wanafatilia nani aliemrejesha, hata kama walifuta namba wanaweza kufuatilia kwenye mitandao. Shida inaanza wakianza upelelezi japo sio mapolisi wote
  4. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Unaenda ukweni kutoa posa unakuta beki tatu ya ukweni ina NYAASHI ya kufa mtu

    😂🙌🤣
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu kutoa uamuzi kuhusu maombi ya Tundu Lissu Agosti 12, 2025

    Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imepanga Agosti 12, 2025 kutoa uamuzi wa maombi ya mapitio yaliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano, Julai 16, 2025 na Jaji Elizabeth Mkwizu, baada ya kusikiliza...
  6. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Badala ya kutoa stress na pombe kila wiki, hio hela katembelee mbuga za wanyama

    kwa wale wapenda maji, nawashauri mjipe likizo mara moja mtumie izo hela kwenda mbugan ama kupanda mlima pia mnakuza vitambi sana
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Simbaya: UTPC tunashirikiana na JamiiAfrica kutoa elimu ya uhakiki wa taarifa

    Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Kenneth Simbaya amesema kuelekea katika Uchaguzi Mkuu 2025, taasisi yao imekuwa ikishirikiana na Wadau mbalimbali kutoa elimu ya masuala taarifa potofu ili kuhakikisha Jamii inapata taarifa sahihi na kuwasaidia kufanya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazowafanya wanyama wa kike kushindwa kutoa maziwa pindi wakiwa wamezaa

    --- 🐖📌 ELIMU KWA WAFUGAJI 🍼 Sababu za Msingi Zinazomfanya wanyama Jike Kushindwa Kutoa Maziwa + Suluhisho Kamili --- 🔍 Tatizo ni nini? Nguruwe jike asipotoa maziwa, watoto hukosa lishe ya awali (colostrum) muhimu kwa kinga na ukuaji. Hali hii huathiri uzalishaji na afya ya watoto, hivyo...
  9. Mpepetaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA wameanza kutoa fomu za uchaguzi

  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kiswahili ndiyo Lugha ya kutuunganisha Afrika, Tanzania tuko tayari kutoa Walimu na vifaa vya kufundishia kuja Comoro

    Rais Samia amesema Kiswahili kina uwezo wa kuwaunganisha Waafrika na kupendekeza kitumike kama lugha ya mawasiliano, elimu na biashara katika nchi za Afrika, ikiwemo Comoro. "Lugha pekee ya Kiafrika inayoweza kutuunganisha au kuunganisha watu wetu ni kiswahili, hivyo ilikujenga umoja nitumie...
  11. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Lini mifumo ya Serikali inaanza kufanya kazi hasa kutoa hela

    Nata nifahamu ni lini mifumo ya Serikali huanza kutoa hela baada ya mwaka wa fedha kutamatika kikao ifikapo June 30..?
  12. Malpighian

    JamiiForums Tanzania Nipo tayari kutoa milioni 5 kwa mtu atakayenionyesha hili andiko

    Habari Wakuu. Nimekuwa nikifuatilia mafundisho mbalimbali katika makanisa kuhusu somo la Ubatizo (Baptize), kwa sehemu kubwa kila inaonekana kila kanisa Lina namna yake ya uelewa juu ya ubatizo. Hoja yangu ni hii, Kama dini ya kikristo muongozo wake ni Biblia. Nipo tayari kutoa kiasi cha Tsh...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waandamanaji wakicheza mpira wa miguu katikati ya Moshi wa Gesi ya kutoa machozi

    Waandamanaji wakicheza mpira wa miguu katikati ya moshi wa gesi ya kutoa machozi katika mitaa ya Nairobi wakati wa maandamano ya kumbukumbu ya Juni 25. Tukio hilo lilitokea katikati ya maandamano ya kitaifa yaliyoongozwa na vijana, hasa kizazi cha Gen Z, waliokusanyika kuadhimisha mwaka mmoja...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Pongezi sana kwenu Watanzania wa X( Twitter), Machawa wameanza kutoa milio. Endeleeni kufinya hivyo hivyo

    Leo account maarufu ya Kiongozi wa machawa waliopo X ( Twitter) imeanza kutoa milio baada ya Watanzania wapenda haki wa X (Twitter) kuanza kuzi tagg account za wafadhili wa Tanzania na mashirika ya Kimataifa (Washirika wa Maendeleo) kuhusu udhalimu unaofanywa na Serikali ya Samia dhidi ya...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais kutoa zawadi hadharani (Bahasha) ni dalili za rushwa

    wakuu === Rais Samia akitoa zawadi kwa watumbuizaji siku ya leo, alipotembelea kituo cha utamaduni na makumbukusho ya wasukuma Bujora,Kisesa mkoani Mwanza. MAONI YANGU Hiki kitendo nakifananisha na rushwa kuelekea uchaguzi mkuu kwa sababu hakuna ulazima wakutoa zile zawadi hadharani angeweza...
  16. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoa ushauri wa kifedha bila kumfadhaisha mtu

    Imeandaliwa na Smart Finance SW Nimekuwa nikifuatilia ushauri wa watu mbali mbali kwenye hii platform na platform zengine huko zinazohusiana na mswala ya fedha. Nilichogundua watu wengi au washauri wengi wanapenda sana kutumia nyakati zilizopita wanapotoa ushauri au kuelezea juu ya fursa...
  17. Mwanga Mkali

    JamiiForums Tanzania CRDB WAKALA Wanakataa kutoa huduma ya Direct transfer kwa wateja wa Bank ya CRDB

    Taarifa kwa uongozi wa CRDB Bank kulifanyia kazi swala hili maana ni kero kubwa sana kwa wateja wenu. Binafsi nimepata usumbufu huu mara nyingi, kukataliwa kufanya direct transfer kwa mawakala wenu kwa kisingizio kwamba hawapati commission yoyote kwa huduma hiyo, fanyeni Uchunguzi mtabaini, kwa...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hukuna kutoa kura za Ndiyo: Sisi Jimbo Letu Tunamdai Samia: Je, Jimbo Lako Mnamdai Samia?

    Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, ni muhimu kila jimbo kuangalia maendeleo yake na kutathmini kama viongozi wetu wameshiriki kikamilifu kutatua changamoto zinazowakabili wananchi. Hapa chini, tutaangazia baadhi ya majimbo ambayo yana matatizo makubwa ya miundombinu na huduma za...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kateleza ulimi. Kazi ya Mbunge si kuleta maendeleo wala kutoa huduma

    Rais Samia kateleza ulimi alipokuwa anatoa ufafanuzi wa hoja za Luhaga Mpina. Kazi ya Mbunge si kuleta maendeleo wala kutoa huduma kama alivyodai. Bali mbunge ni mwananchi anayewawakilisha wenzake Bungeni. Mbunge ni mwakilishi wa wananchi katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Lori laua wanne na kujeruhi 15, Rais Samia atoa pole

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa wananchi wa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu kwa vifo vya watu wanne kufuatia ajali ya lori aina ya Scania iliyotokea katika Kijiji cha Mwamishari Juni 16 saa 3 usiku, akisema watu hao walikuwa kwenye usafiri wa kwenda kwenye mkutano wake. Kabla ya kufika...
Back
Top Bottom