kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Kesho Tanzania inaenda kutoa somo duniani D9

    Sina hofu na vijana Gen z Hofu ni adui wa maendeleo millenia hofu zao zinapoishia wao Gen Z ndo ujasiri wao unapoanzia Mpaka ukaone Gen z anahofu basi mellenia muda huo kashafukiwa futi 6 chini ya udongo 😂, Kesho watu wenye mapenzi mema na nchi yao wanaenda kutimiza haki yao kikatiba ya...
  2. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inaendelea kutoa kauli zinazoacha tafsiri mchanganyiko kwa wananchi?

    Mchana wa October 29, Serikali kupitia vyombo vyake vya Ulinzi na Usalama vilitoa kauli kwamba ikifika saa 12 watu wawe ndani. Kauli ile kwanza haikutangazwa kwa juhudi za kutosha ili ziwafikie watu wengi. Pia kwa makusudi iliacha mapengo ya tafsiri yanayokuja baadae kuleta utata wa kisheria...
  3. dogman360

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikutishia mimba anakuwa anayo kweli

    Demu wako/mke wako/mchepuko akikwambia ana mimba muamini 100% ila anakua tu anataka kutoa.baadae utaskia nlikuwa nataka tu kuona utakavyo nijibu . . Wadau skuizi wanawake wanajua kutoa mimba yaani kuna mdada hapa ananiambia ana mwenzake mwaka huu katoa mimba tano 5 .
  4. October 2pm

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mkutano wa Samia na Wazee Desemba 2 anaenda kutoa bonge la Boko litakalotia Vijana ndimu watoke Disemba 9

    Walahi washajaa kwenye mfumo hawa. Hehee! Walahi sikujua ingejuwa hivi Nye Nye. Vijana morali iko juu mawinguni. Waasubiri Siku ya Jambo lao. Sasa huyu samuya Kesho naambiwa anaenda kutoa bonge la boko walahi yachekesha si mazuri. Yaani waambiwa hutuba yake itawatia ndimi gen z. Boko kama...
  5. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi isiache kuhoji waliosimamia Uchaguzi. Waliosimamia wapo tayari kutoa ushirikiano

    Moja ya Kundi ambalo linatakiwa kuhijiwa ni walisimamia uchaguzi, huku mtaani walimu Wengi wanaduku lao kusema yaliojiro kwenye vituo vya kupigia kura.
  6. Logikos

    JamiiForums Tanzania Johann Carl Friedrich Gauss - Mtoto wa miaka 7 aliyetengeneza equation baada ya mwalimu kutoa Kazi ya kuwa-keep Busy Wanafunzi

    Wanasema wengi waliona Tofaa linaanguka ila mmoja (wachache ndio waliuliza kwanini) - Ingawa hizi story huwa zina chumvi nyingi na uongo wa hapa na pale lakini hii ya Gauss inafurahisha Katika miaka ya 1780 mwalimu wa shule huko Ujerumani ili wanafunzi wake wakae kimya kwa muda wa kama nusu saa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Serikali wangetakiwa kutoa njia maalumu za maandamano! Sio kushangaa shangaa tu

    Serikali ingetakiwa kutoa njia za kupita mpaka uwanja wantaifa bila hivyo serikali itabaki kulaumu kila siku na kuuwa vijana bila sababu. Maandamano ni haki yao
  8. The patriot man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kosa kubwa alilofanya ni kutoa amri ya “shoot to kill” daah!.

    Aki ya Mungu sijui nani alimshauri aisee.. huwezi kuuua watu ambao hawana risasi alafu mbaya unawafuata mpaka mtaani na Majumbani . Ni bora tuu ungetoa Amri ya kupiga za miguu tuu na sio kuua damu ya mtu ni mbaya Aki ya Mungu naionea Tanzania yangu huruma we shall never be the same aise hili...
  9. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Wanaotoa takwimu za vifo wakati wa uchaguzi ni uchochezi

    Akiongea na waandishi wa Habari, Msemaji wa Serikali amesema idadi ya waliofariki na kujeruhiwa inatakiwa kutolewa na vyanzo rasmi vyenye mamlaka ambavyo vimefanya tathmini, kwa sasa wanaotoa takwimu hizo ni uchochezi.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Jana Nilikuwa NMB kwakweli mtandao wao ni mzito sana nimeamua kutoa Hela zangu zote niweke akiba zingine

    Watu wanalalamika sana kuhusu uzito wa kutoa huduma Kama mifumo imeshavamiwa watoe taarifa mapema Pia nashauri BOT wasidharau sana maneno ya vijana , waanze kutafuta backup system . TAhadhari ni muhimu
  11. G

    JamiiForums Tanzania Genz wanazidi kutoa uchambuzi wa maadui wa Taifa tutoe maoni kama wako sahihi wakuu

  12. Mvinyo mpya

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais hana Mamlaka Kisheria ya kutoa msamaha kwa washtakiwa/watuhumiwa

    Wakuu vyombo vyetu vya habari ni vimepigwa ganzi! Wasomi wamepigwa ganzi! Nawaelewa maana nchi hii kupotea ni dakika. Juzi rais anasema amewasamehe walioshtakiwa! Kimsingi rais hana mamlaka ya kusamehe washtakiwa/watuhumiwa. Prerogative of mercy ambayo rais anayo ni kwa watu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania IMF, Benki ya Dunia na nchi wafadhili, wataendelea kutoa mikopo na misaada kwa serikali hii ya Tanzania?

    Kutokana na uchaguzi usiokidhi vigezo vya kimataifa plus mauji ya raia wengi wasio na hatia waliojitokeza kupinga huu uchaguzi wa tarehe 29 October 2025, IMF, Benki ya Dunia na nchi wahisani, wataendelea kutoa mikopo na misaada kwa hiii serikali? Tukumbuke hata ripoti za waangalizi karibu zote...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania LATRA kutoa vibali 150 kwa Daladala njia ya Kimara

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) itatoa vibali kwa daladala kwa njia ya Kimara ili kusaidia usafiri kutoka eneo hilo, awali abiria wa eneo hilo walitegemea usafiri kutoka kwenye mabasi yaendayo haraka maarufu Mwendokasi.
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Imegundulika WASANII Watanzania Wamepangwa Kujaribu Kutoa Pole na kujifanya wameumizwa !! Bora Mngekaa Kimya

    Chochote kinachofanywa na Mtanzania yoyote ilimradi kisukumwe na Watekaji/Wauaji wa Watanzania , kitajulikana . Imegundulika, Baada ya Kuona hawatoweza kuwahakikishia Usalama wao na Mali zao dhidi ya Adhabu kuunga MUNGU Watekaji/ Wauaji wamewapanga WASANII wajifanye wanapost wanayoendelea...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasanii wa Bongo Flavour Wakosolewa kwa Kukaa Kimya Kuhusu Mauaji ya raia wasio na hatia

    Wasanii wa Bongo Flavour wameanza kutoa pole kwa familia na watu wote waliopoteza maisha katika maandamano ya kudai haki. Hata hivyo, ninaona ingekuwa vyema kama wasanii hawa wangetumia sauti zao kutoa nyimbo za kulaani vitendo vilivyofanywa na Jeshi la Polisi dhidi ya raia wasiokuwa na hatia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Aliyejiriwa ni mtumwa aliyefungwa mdomo na mshahara au cheo, ni ajabu kuona mtu asiye na ajira wala uhakika wa kipato akiogopa kujitetea

    Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo. Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze kujihudumia hata kama walipata kidogo, ambao hawakuwa na ajira nao waliweza kusurvive, enzi hizo mambo...
  18. Prof_rutta22

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Kufutwa kwa Matokeo Bila Ufafanuzi: Dilema Kati ya Wanafunzi, Wazazi na NACTE

    Katika miaka ya karibuni, kumekuwepo na ongezeko la malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wazazi kuhusu hatua ya NACTE kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi bila kutoa sababu za wazi. Hali hii imekuwa ikileta mkanganyiko mkubwa (dilema) hasa kwa wanafunzi wa kozi kama Diploma in Health Information...
  19. R

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU na Rushwa

    Rushwa ni adui wa maendeleo; Chagua mgombea asiyetoa rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa. SWALI KWENU HAYA YANAYOFANYWA NA CCM HAMYAONI. ACHA KUCHEZEA AKILI ZA WATU
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la ajali Kemondo - Bukoba lawaingiza Mtaani Bwanku na Jeshi la Polisi kutoa elimu

    Ndani ya kipindi kisichozidi miezi miwili Kata ya Kemondo imeshuhudia ajali 3 za barabarani zilizoua watu watatu, kufuatia matukio haya ya ajali Afisa Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani Kagera Ndugu Bwanku M Bwanku, Ijumaa Oktoba 3, 2025 ameongozana na Polisi Kata wa Kemondo Afande Huruma...
Back
Top Bottom