A
Anonymous
Guest
Napenda kutoa dukuduku langu, yaani hawa wasimamizi wa written interviews za utumishi baadhi yao wanasababisha watu wanafeli yaani mshaanza wao ni kelele.
Punguza keleleJitahidi uongeze umakini unalalamikia kelele ungesoma DIT, CBE, IAE, NBAA, TPSC au IFM za DSM ungefaulu kweli wewe?