Ikiwa yuko mtu ana specific details, naomba msaada tafadhari.
Ndoa ni ya Kikristo, muhusika anahitaji kuvunja na kuendelea na maisha mengine.
Kuna sababu za kuvunja, sasa naomba kujua mchakato wake.
My Take
Usije Waamini Wakunya ni Moja ya watu matapeli ,wanafiki na haters wakubwa wa Tanzania.
Hapa bwana Ruto ameamua kutumia Nguvu kubwa sana kumshawishi Dangote Ahamishie wazo la kujenga kiwanda Tanga kwenda Mombasa kisa alitakiwa kujibu hadharani tuhuma za kujifanya Rais wa Kenya na...
Shida kubwa inaanzia hapo, Pesa ya matunzo anaitaka ihudumie lifestyle yake ya mawigi, abaya, vifurushi vya data, n.k. anajiona hastahili kufanya kazi wewe ndie uwe unamtimizia kila kitu kwa mgongo wa matunzo ya mtoto.
Pili ni kukukomoa, hapendi kukuona ulivyo move on na una familia yako...
Mhadhiri Msaidizi wa chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (COICT), Merina Lumbalo, anasema kisheria nywila ni ya mtu mmoja na haishauriwi kushirikishwa, hata kwa mtu wa karibu. Ameeleza kuwa simu au kompyuta inaweza kuwa na taarifa binafsi au za kazi, hivyo kutoa nywila kunaweza...
Jana kulikuwa na bonge moja la shoo kutoka kwa Kaka mkubwa @professorjaytz kwa namna moja ama nyingine watu walifurahi kile alichokifanya jukwaani.
Pembeni yake alikuwepo @nikkimbishi999 majina ni mengi kwake, Plata O Plomo, Baba Malcom, Kijusi na mengine mengi.
Kwa usiku wa jana binafsi...
LllHii ni moja ya mijadala mikubwa duniani. Wapo wanaosema ni haki ya mwanamke kuchagua, na wapo wanaosema ni kuondoa uhai wa asiye na uwezo wa kujitetea. Kabla ya kutoa hukumu, ni vizuri kusikiliza hoja zote.
WANAOSEMA NI SAHIHI, HUSEMA:
1. Mwili ni wake, maamuzi ni yake
Wanadai hakuna mtu...
Dar es Salaam – Katika kumbi za mihadhara za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na kote nchini, majina kama Angela Anselim Kiseku na Astrid Mushemba yanang’aa kama alama ya ubora wa elimu ya juu nchini Tanzania. Hawa ni wahitimu waliobeba tuzo za kimataifa katika uhandisi wa mafuta na jiolojia...
Ukisha toa Ripoti na Kuikabidhi na kutuambia kwa mwenye Ripoti na kutueleza kuwa tunyamaze haituhusu hautakiwi kuja kutupa ufafanuzi.
Peleka ufafanuzi ulikokabidhi ripoti unatufafanulia nini wakati ripoti yote unayo wewe mwenyewe? Unafafanua nini katika jambo ambalo kila kitu unacho wewe...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo.
Leo, nimeizungumzia Ripoti ya Jaji Chande kwa kuwa mtu wa shukrani, kushukuru kwa hiki kidogo ili tupatiwe kikubwa!.
Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Ripoti Imekidhi Haja, ila Haijamaliza Kiu!. Asante kwa Kutoa...
Kuna kazi viwandani malipo ni Elfu 5 kwa siku.
Na hiyo Elfu 5 mtu anaweza fanya shopping kubwa na kula ata siku 2.
Sasa mtu unaenda ATM una balance ya 48,000/= unatakiwa utoe Elfu 40 na kuicha Elfu 8 waibutue butue ndani ya week.
Sio fair kabisa
Habari , Iwapo meno yako yametoboka na unashindwa kutafuna chakula na Kujiamini mbele za watu basi Unaweza pata suluhisho la Kudumu kwa kupata huduma ya kuziba na Kutibia mzizi wa jino bila Kutoa jino lako
-Huduma hii itakusaidia kuweza kuwa na meno imara
-Utatafuna chakula vizuri
-Utalinda...
Katika hili naomba niwataje kabisa
Kwa members wote hasa Seran na min -me sitaki posts zangu kuwa mnazilike, mnafanya notification dashboard yangu kujaa sana na kujaza server za JF yetu tukufu
NAIPENDA SANA JAMIIFORUMS..
Napenda kuwajulisha umma na wote wenye mapenzi mema kwa Tanzania, Chadema na Mwenyekiti Tundu Lissu kuwa Jopo Mawakili la kumtetea na kumfanyia utafiti Mwenyekiti Lissu li imara kabisa.
Kwa niaba ya Chadema ninapenda kuwashukuru mawakili na wanasheria wote waliojitolea muda wao, taaluma yao...
Wanaukumbi.
BREAKING: TRUMP IMEFICHUKA 🔥
🇺🇸 Trump –– "Sasa wakati sihitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote, nchi za NATO zinanipigia simu kutoa msaada"
Ukweli wa Kufurahisha:
🇮🇹 Italia ilikubali haikumpigia Trump simu ya msaada
🇬🇧 Uingereza ilikubali haikumpigia Trump simu ya msaada
🇪🇸...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema makubaliano ya usitishaji vita wa muda na Iran hayaihusu Lebanon na kwamba nchi yake itaendelea kuwashambulia wanamgambo wa Hezbollah hadi watakaposambaratishwa.
Akizungumza kwa mara ya kwanza tangu kutolewa tangazo la kusitishwa vita vya Israel...
Habari zenu wakuu!
Mimi nina miaka 27 na baada ya kelele nyingi za wazazi na ndugu kutaka kuoa ikabidi niweke wazi mapenzi yangu na single mom flani hivi hapa mtaani.
Nimesikitika familia yangu haiafiki jambo hilo wakati mimi naona yule single mom ananipenda sana na hata watoto wake washanizoea...
Msikilizeni ana jambo lakini anashindwa kufunguka. Akae kwa kutulia wanamtandao wasije wakapita nae.
Wabunge wa CCM ni mateka wa wanamtandao hawana uhuru.wa kufanya lolote wanamaisha magumu sana.
Juzi nilileta Uzi humu kwamba Kuna mwanamke anasema anaujazito wangu nimemuambia atoe Sina shida na mtoto Sasa hivi sababu najitafuta umri wangu miaka 28 maisha ya tanzania magumu nitazidisha matatizo Cha ajabu Kila siku anakuja kushinda nje ya mlango wa geto langu yaani hata mda huu yupo nje...
Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu Novina Yoel Kuboja (23), ambaye ni mkulima na mkazi wa Buchosa wilayani humo, kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuiba mtoto wa kiume mwenye umri wa miezi mitatu (jina limehifadhiwa kwa sababu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.