kutibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. realMamy

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Dawa za Hospitali kushindwa kutibu wananchi baadhi ya Magonjwa. Nini tatizo?

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la wananchi mtaani wenye maradhi mbalimbali kulalamika kuwa wametumia dawa za hospitali kwa muda mrefu ila hawajapona na kuamua kugeukia tiba Asili. Nini kinasababisha yote haya? Tatizo liko kwa wananchi kushindwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu? Au kulea ugonjwa...
  2. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Kupitia MO Dewji faundation, maelfu ya watu wapokea huduma za kutibu macho bure kwenye hospitali ya Mt Fransis ifakara

    Maelfu ya wakazi wa mji wa ifakara na walio nje ya mji leo tarehe 30/06/2024 wameanza kupokea tiba ya macho toka kwa madaktari bingwa wa macho ambao wameweka kambi hapa kwenye hospitali ya Mtakatifu Fransis. Huduma zinazotolewa ni pamoja na dawa, miwani, upasuaji mdogo na ushauri. Kambi hii...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania YAAN KILA MTU FB ANAUZA DAWA ZA KUTIBU SUKARI KHA MBONA HIV HAMLETI

    Natokakufungua ffb acc leo yaan kila mtu anauza dawa za kisukari Funguaa acc nyingine hukoo ndio balaaa kaweka tangazo la kutibu bure bonyrxaa link Manenoooo mengi mwishoo anakwambia tuma 170000 atii punguzo hili n kwa siku 7 tu Nyooooo hivi mnatuonaje nyie kengee mshaona watanzania wajinga...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la Kudumu la Kero Zote za Muungano, na Dawa ya Kutibu Sumu ya Ubaguzi wa Utanganyika na Uzanzibari ni Kuwa na Serikali Moja ya JMT?

    Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, ni mwendo wa Kwa Maslahi ya Taifa kwa kwenda mbele, mada ya leo ni mada muendelezo wa wiki iliyopita kuhusu hizi chokochoko zinazoendelea za kuuchokoa huu muungano wetu adimu na adhimu kwa hoja za kibaguzi za Utanganyika na Uzanzibari, ambapo wiki...
  5. Baba Vladmir

    JamiiForums Tanzania Tumia kanuni hii kutibu maumivu makali ya mgongo/ kiuno na miguu yako

    Bila shaka hamjambo watu wa Mungu! Kwa wale wenye changamoto za kiafya na wanaendelea kuteseka na maumivu juu ya magonjwa waliyonayo, Mungu atawaponya. Katika dunia ya sasa kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu wanaoishi kwa kutumia dawa za kutuliza maumivu kila siku iendayo kwa Mungu,mara...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie dawa nzuri ya kutibu maumivu ya goti

    Habari ndgu zangu niliumia mazoezini December 2022 goti likavimba baadae nikaenda hospital nikafanya vipimo kama x ray,MRI ya goti ikabainika nimepata impacted Trabecular fracture on medial tibia condyle nikatibitiwa Kwa kupewa dawa kama Diclofenac gel, Cartiflex na steroids injection uvimbe...
  7. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Tatizo La Kuota Ndevu Kwa Wanawake Na Jinsi Ya Kutibu

    Je umeshawahi kukutana na mwanamke mwenye ndevu nyingi? Bila shaka, jibu ni NDIYO. Hilo ni tatizo la kiafya ambalo hujulikana kwa kitaalamu kama Hirsutism. Leo tujifunze kuhusu sababu za tatizo hilo na jinsi ya kutibu. Hirsutism ni hali ambapo wanawake wanakua na ukuaji wa nywele wenye...
  8. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Esther Bulaya: Serikali iwekeze katika kutibu waathirika wa dawa za kulevya

    Ester Bulaya ameshauri Serikali kuwekeza katika kutibu waathirika wa dawa za kulevya, aliongelea kuwa multi clinic Nchini zipo 11 na wanaohitaji matibabu ni maelfu, asilimia ya dawa za kulevya kuzalishwa duniani imeongezeka na siyo dawa zote huwa zinakamatwa Nchini. Sober House zipo 40 nchini...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, kuna dawa ya kutibu hulka ya visasi na kutokusema kwenye anga za mapenzi?

    Shalom Hodi hodi jumapili! Mungu wetu ni Mungu Mkuu na wa ajabu sana. Sijui huwa inatokea vipi sio kwa hiari yangu but nahisi ni kitu inherent au kuna namna sielewi anejua Aya za bibilia au vinginevyo aweke hizi dawa ama tiba za kiimani. Iko hivi imeniwia vigumu kimsamehe na kumfanya rafiki...
  10. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Madhara mafuta ya breki(Brake Fluid)

    Habari Madaktari na wafamasia, watu wengi tumekuwa tukitumia mafuta ya breki kujitibu mba. Nimepita mahali nimesikia yana madhara. Naomba kujua yana madhara gani?
  11. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Baraza la Famasi nchini latoa tahadhari juu ya matumizi holela ya dawa za macho kutibu 'red eyes'

    Baraza la Famasi imesema limekuwa likifuatilia mwenendo wa utoaji wa dawa za macho kwenye baadhi ya maduka ya dawa Nchini ambapo limebaini utoaji holela wa dawa za matone za macho zenye viambata vya antibiotic na steroid kwa Wagonjwa wa Red Eyes wanaofika kupatiwa huduma kwenye baadhi ya maduka...
  12. chama mpangala

    JamiiForums Tanzania Majabu ya mbegu ya parachichi katika kutibu magonjwa

    MBEGU za PARACHICHI hutibu magonjwa ya fuatayo. 🌿High blood pressure 🌿High cholesterol 🌿Asthma 🌿Low immunity 🌿Cancer of the blood 🌿Obesity 🌿Candidiasis Unachotakiwa kufanya ni kuchukua MBEGU ya PARACHICHI na kuisaga alafu utapata Unga. Matumizi: Utakuwa unachemsha maji anaweka kwenya kikombe...
  13. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Hivi wakemia ulimwenguni kote wameshindwa kabisa kutengeneza dawa ya kutibu UKIMWI?

    Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu? Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake, mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Binadamu anaweza kutibu ugonjwa wa kuzeeka?

    Leo hii duniani hakuna ugonjwa unaoua watu wengi kama kuzeeka. Zaidi ya asilimi 60 ya watu wanaokufa leo hii wanakufa sababu ya uzee. Ugonjwa wa kuzeeka unatokea pale seli za mwili zinapoacha kugawanyika na kutengeneza seli mpya. Inadaiwa kuwa kwa wastani seli ya binadamu inaweza kugawanyika...
  15. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Juisi ya miwa husafisha figo, kibofu cha mkojo, mzunguko wa damu na kutibu U.T.I

    Hivi kuna ukweli ndani yake ama tunapigwa tu porojo ili tunywe kwa wingi wapate hela?
  16. T

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwa wagonjwa wa Sickle Cell, Dawa ya kutibu imeidhinishwa Marekani

    Hii ni habari njema kwa wagonjwa wa seli mundu ama Sickle Cell. Shirika la Madawa Marekani la FDA limeruhusu dawa ya kutibu ugonjwa wa seli mundu ianze kutumika. Kwa sasa gharama ya kutibu mtu mmoja bado iko juu lakini wanasayansi wamesema wanajitahidi kuhakikisha bei inashuka na kuwafikia...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania JKCI kutibu wenye mishipa ya moyo iliyopasuka

    Unaweza kuiita ni habari njema kwa watu wenye matatizo ya moyo, baada ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kuanza kutibu wagonjwa wenye mishipa ya moyo iliyopasuka. Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Dk Peter Kisenge ameeleza hayo leo, Novemba 23, 2023 jijini Dar es Salaam wakati akifungua...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Muhimbili kuanza kutibu Wanaume wenye matiti

    HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) - Mlongazila, imesema huduma ya kupunguza uzito na upasuaji rekebishi zinazotarajiwa kufanyika hospitalini huko, zitahusisha pia wanaume wenye maumbile kama matiti. Mkuu wa Idara ya Upasuaji MNH-Mloganzila, Dk. Eric Muhumba, alibainisha hayo na kueleza kuwa...
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Muhimbili sasa ina teknolojia ya kuyeyusha damu (blood clots) kwa watu wenye stroke pia kutibu uvimbe kwa wanawake (Fibroids) bila kufanyiwa upasuaji

    MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amesema hospitali hiyo inatumia mtambo wa kuyeyusha damu iliyoganda kwa mtu aliyepata kiharusi. Profesa Janabi alisema hayo Dodoma jana na akasema kwa sasa kwa wanaopata ugonjwa huo wanatibiwa kwenye kifaa hicho...
  20. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada dawa ya kutibu minyoo kwa mtoto wa miaka 15

    Msaada dawa ya kutibu minyoo kwa mtoto wa miaka 15. Maana tumbo lake lina unguruma sana wakati wa usiku.
Back
Top Bottom