kutengeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Polisi Mbeya wamkamata Msabila Raulent Leonsia akituhumiwa kutengeneza silaha (gobore) kienyeji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na maafisa maliasili – TAWA Pori la Akiba Rungwa, linamshikilia Msabila Raulent Leonsia [48] Mkazi wa Kambi Katoto Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya kwa tuhuma ya kupatikana na silaha – gobore mbili ambazo zimetengenezwa kienyeji. Mtuhumiwa alikamatwa...
  2. Msaada Android App nzuri ya kutengeneza cover za social media

    Rejea na kichwa Cha habari hapo juu, naomba Msaada wa app nzuri ninavyoweza kudownload na kuitumia kutengeneza cover za social media post. Asanteni
  3. Nawezaje kutengeneza sukari ya asili? Nikiondoa sukari ya viwandani na Asali?

    Habarini!! Naomba namna ya kutengeneza sukari ya asili.Ukiondoa ya viwandani na asali.
  4. Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza ( Animation ) Motion Graphic kwa kutumia Cinema 4D

    JE Unapenda Kujifunza Cinema 4D au Blender? ( Animation ) Motion Graphic kwa kutumia Cinema 4D. Mwezi sasa toka nianze kujifunza Animation kwa kutumia Cinema 4D na Blender. Week hii nmefanya kazi moja ya kutangaza bidhaa ya mteja kwa kumdizainia flyer, logo na Motion graphic ya bidhaa yake...
  5. Polisi, TMDA wakamata mtandao wa kutengeneza dawa feki za Binadamu Dar

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Kanda ya Mashariki likishirikiana Jeshi la Polisi wanamshikilia William Mwangile anayedaiwa kuzalisha na kusambaza dawa bandia kwa mfumo wa makopo. Mkaguzi wa Dawa wa TMDA, Jafari Mtoro, amesema Mwangile amekamatwa jana Ijumaa Aprili 14, maeneo ya Kipawa...
  6. Bongo usitake kutengenezewa app, bora ununue template na wakufanyie customization.

    Siku hizi mambo rahisi sana. Si mpaka uanze kutengeneza app from scratch. App karibu zote wahindi wametengeneza na wanaziuza. We chakufanya nunua tu na IT akuwekee sawa. Kutengeneza wanachukua muda mrefu sana, wasumbufu na kazi itatoka haina viwango kabisa. Hizi za kununua zipo vizuri sana. Na...
  7. Hivi Dar Technical wanaweza kutengeneza hata flash disk?

    Nimeuliza tu, china ilijengwa kiteknolojia na watundu wa vyuo vya kati. DarTech, MoshiTech, hatuoni mrejesho wa wasomi wenu
  8. Pata Websites pamoja na Email 5 kwa gharama 199,000/= kwa miaka 2

    Je, biashara yako IPO Mtandaoni? Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo. Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 199,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa na unafanya malipo ya...
  9. E

    Materials za kutengeneza Box za Sabuni

    Habari wana jamii forum. Naomba kupata msaada wa Mawasiliano ya mtu au kiwanda / agent yeyote anayeusika na utengenezaji wa materials za Box kama za kutengeneza cattons za sabuni ya mche. Mfano wa Box. Asante
  10. Inachosha kutengeneza mafolder mengi kwa file moja, software gani nzuri ya kubandika tags kwenye mafaili ili kuondoa usumbufu wa kutengeneza folders

    Naweza kuwa na faili muziki, video au pdf ya mashairi mfano wimbo wa zali la mentali wa professor jay, hapa inabidi niuweke kwenye mafolder kama: Bongo flava, Tanzania 2000s Bongo Records Professor Jay Juma Nature Kuna software ambayo naweza kupachika tags kirahisi, yani nikilikuta faili...
  11. Elimu ya darasani haina faida zaidi ya kutengeneza vijana tegemezi

    Kuna watu tunawafahamu kabisa hawana hii elimu ila wako vizuri na unaweza shangaa wao ndio waliotusomesha mpaka leo tuko na degree na ma PhD ila wao hata hawakunusa karatasi. Elimu ya darasani hii imerudisha maenndeleo ya wananchi nyuma kabisa. Mtu anauza shamba eti mwanae asome mwisho wa siku...
  12. Charles Kitwanga: Inanichekesha kuona kivuko chetu kinapelekwa Kenya kutengenezwa

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Zamani wa Tanzania, Charles Kitwanga amesema “Tunachukua kivuko chetu, sijali kama ilinunuliwa kwa Bilioni 8 na inaendwa kutengenezwa kwa bilioni 7.5, tunashindwaje kuitengeneza sisi Watanzania hadi kupeleka Kenya. “Tuangalie nani yupo nyuma wa huo mpango, inanipa...
  13. B

    Kimahusiano, naona kama miaka ijayo tutakuja kutengeneza kizazi cha ajabu sana

    Ninaposoma comments za watu humu mtandaoni especially wanaume na nkiona na hali ilivyo mtaani, sipati picha kwa mfano Mungu akiiacha hii dunia iendelee miaka 500 mbele, taasisi ya ndoa itakuwa na hali gani.. Inaanza taratibu kama utani, wanaume wengi wanaanza kampeni ya kupinga ndoa, hata...
  14. 🚨FREELANCE TASK🚨 Mtaalamu wa kutengeneza 3D models anahitajika

    Salaam, Kama una uwezo wa kutengenenza 3D models unahitajika kuna task inatakiwa kufanyika, na malipo utapata baada ya kazi. Na kama utafanya vizuri, utakuwa unapewa task za mara kwa mara. Hii siyo ya kukosa. Kama una skills hizo, karibu PM.
  15. A

    Baada ya kutengeneza website kwa kutumia HTML na CSS , nifanyaje ili website yangu iweze kuonekana mtandaoni?

    Wakuu naomba ushauri wenu hapo , baada kudesign website kwa kutumia HTML na CSS ,je nifanyaje ili website yangu iweze kuonekana mtandaoni
  16. Siku Mchina akianza kutengeneza magari madogo ya kutembelea, uchumi wa Japan utayumba

    Kwenye piki piki, honda na yamaha na suzuki wametolewa sokoni huku Afrika. Mabasi na malori mchina kashika soko, Yutong tatu sawa na scania moja, Kwenye malori ni hivyo hivyo. Sasa siku akiamua kutengeneza gari ndogo za kutembelea, mjapani atapata shida
  17. B

    Serikali isiyo na wajibu wa kutengeneza ajira ni ya nini?

    Masuala ya ajira huwa ni ajenda kuu kwenye chaguzi kote ulimwenguni. Mgombea anatarajiwa kuweka mikakati yake na projections zake wazi kuwa atazalisha ajira ngapi katika kipindi gani. Ajira si jambo la kufanyia mzaha. Ajira za watu kupotea katika kipindi cha serikali moja, ni moja ya vigezo...
  18. N

    Je, ni kweli kazi ya Serikali si kutengeneza ajira?

    Rais Samia Suluhu kaika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar maadhimisho hayo yamefanyika katika Kijiji cha Paje, Mkoa wa Kusini Unguja leo tarehe 10 Januari, 2023 Amezungumzia mambo mengi lakini pia amegusia suala la ajira kwa vijana na kusema "Nataka kuwaambia, kazi ya serikali...
  19. Materials gani hutumika kutengeneza shanga?

    Eti wakuu. Shanga huundwa na materials gani? Maana plastic si plastic.
  20. Kijana mwenye uwezo mkubwa wa kutengeneza michezo (games) ya kubeti, changamsha siku yako na hii

    Kila mtu anapenda kufanya kitu kitakacho mpa amani na furaha. Ikiwa utapata furaha ukifanya kitu Fulani, basi hicho ndio kitu kinachokufaa sana. Kuna watu wanapenda kupika, wengine kusoma vitabu, wengine kuimba au kuchora. Hizi zinaitwa hobbies, Mambo unayopenda sana,na siku yako haipiti bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…