kutengeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Katika Kutengeneza Documentary ya Bi. Titi Mohamed

    WIZARA YA UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO KATIKA KUTENGENEZA DOCUMENTARY YA BI. TITI MOHAMED Leo nilitembelewa na wataalamu kutoka Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo. Tuliweka barza tukamzungumza Bi. Titi lakini mimi nilizungumza kwa majonzi nikawaambia mtu aliyekaa kwa muda mrefu na Bi. Titi hadi...
  2. I

    Viwanda vya kutengeneza Jam ya mkate

    Hello wapendwa wa JF nilikuwa nauliza ni wapi kwa hapa Tanzania naweza pata mjasiriamali mdogo au kama ni kiwanda kinachotengeneza jam ya kwenye mkate tufanye biashara.
  3. NetMaster

    Karibuni tuzungumzie fursa za kutengeneza pesa ya uhakika kwa internet nje ya vitu kama forex, kubeti na michezo ya upatu

    Maada hii haihusiani na forex, kubeti, michezo ya upatu, n.k. Dunia ya sasa imekuwa sana kiteknolojia hasa kwenye upande wa internet na kuna fursa zipo za kupiga hela za uhakika, Fursa hizi zimefanya watu wajiajiri rasmi mitandaoni, Kwenye majiji kama Arusha kuna watu wa nje ya nchi wanaishi...
  4. L

    “Mbinu za Jadi za Kichina za Kutengeneza Chai” zaorodheshwa kuwa Urithi wa Utamaduni Usioshikika wa Binadamu

    "Mbinu za Jadi za Kichina za Kutengeneza Chai na Desturi Zinazohusiana” zilizowasilishwa na China tarehe 29 Novemba, zilipitishwa kwenye Mkutano wa 17 wa Kamati ya Kiserikali ya UNESCO ya Kulinda Urithi wa Utamaduni Usioshikika uliofanyika huko Rabat, Morocco, na kuorodeshwa kuwa Urithi wa...
  5. P

    Hakuna mfanya biashara aliyeporwa fedha zake, kuwarudishia ni mbinu nyingine yenye ufisadi na viongozi kutengeneza biashara zao wenyewe!

    Aliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi Serikali Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama, ni mbinu nyingine Kwa viongozi kukwapua pesa na kujilimbikizia Mali za umma Hakuna aliyeporwa na...
  6. plan z

    Njia Kuu 4 za kutengeneza Pesa

    Kuna njia kuu nne za kutengeneza pesa, kutoa muda wako kwa ajili ya pesa, kutoa taarifa ili kupata pesa, kutoa bidhaa au huduma kwa ajili ya pesa na kuweka kitu au mtu kufanya kazi kwa niaba yako na ukapata pesa. Njia ya kutoa muda wako ili kupata pesa ni njia inayotumika unapoajiriwa, utakuwa...
  7. NetMaster

    kuna watu wana tabia zinakera bila wao kuzijua, ukiwapa ushauri wanakuona umewadhihaki, njia zipi za kidiplomasia zinafaa kuwaokoa bila kuzaa uadui ?

    sizungumzii wale waliokaza mafuvu wanafanya tabia kwa kujielewa na walishakataa ushauri, hapa ni wale ambao tabia wanazofanya zinakera wengine ila hawana hatia kamili kwenye tabia zao aidha wao hawajui kwamba wanachofanya ni tabia mbaya, wameishi na watu au sehem flan kwa mda mrefu iliyowafanya...
  8. Poker

    Namna ya kutengeneza Cheese 🧀 ukiwa nyumbani kwako

    Mahitaji: Maziwa fresh 1lt, limao na sukari kidogo tu. Anza kwa kuchemsha maziwa katika moto mdogo yapate moto ila yasichemke kabisa. Kisha chukua limao kamulia ndani ya maziwa hakikisha yamekua mgando. Halafu kusanya ule ugando ugando ambao ndio cheese 🧀 yenyewe uchuje vizuri kabisa kisha...
  9. BARD AI

    Mpelelezi Mkuu Kenya: Tulilazimishwa kutengeneza kesi ya Tsh. Bil 140.3 dhidi ya Naibu Rais Gachagua

    Maafisa wa upelelezi katika Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) walilazimika kumfungulia mashtaka Naibu Rais Rigathi Gachagua kuhusiana na kesi ya ufisadi wa Tsh. Bilioni 140.3, afisa mkuu wa polisi amefichua. Pia imeelezwa wakati wa kumkamata Gachagua na kufikishwa kortini Julai 26, 2021...
  10. R

    Kama una uwezo wa kutengeneza matangazo ya TV na huna ajira natafuta mbia wa project zangu

    Habari wakuu, Natafuta mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza matangazo ya TV pamoja na graphic designs ambaye hajaaajiriwa tuungane kwenye project zangu za utalii kwa malipo ya commission. Kama upo hapa tafadhali niandikie email mlimakilimanjaro@gmail.com au tuwasiliane kwa private message/direct...
  11. Mdeke_Pileme

    Msaada namna ya kutengeneza logo kama hiyo kwenye picha

  12. Aaliyyah

    Msaada: Jinsi Kutengeneza tomato paste

    Natumaini mko poa? Natamani kujua jinsi ya kutengeneza tomato paste mwenyew ambayo inaweza kukaa hata wiki bila kuharibika
  13. YphNet

    Njia thabiti ya kujifunza programming ni kujaribu kutengeneza program

    Nataka niwakumbushe wale ambao wamesoma programming vyuoni lakini bado kwao programming imekuwa kama somo la nadharia tu. Njia pekee ya kujiendeleza katika programming ni uthubutu wa kutengeneza project ndogo ndogo. Wengi tunadownload games bure na tunaona kama wanaotengeneza vitu hivyo hawana...
  14. Kiranja Mkuu

    Natafuta mtaalam wa kutengeneza Apps/ Software

    Je wewe ni mtaalam wa kutengeneza apps/ software? Karibu tuwasiliane. 0687969981 0764255769
  15. Mcqueenen

    Jinsi ya kutengeneza lean

    Niaje wakuu. Nilikuwa naumwa mafua sasa nikanunua zile dawa za maji. Nimepiga kifuniko kimoja tu nikapona. Sasa nkawa nawaza kuliko kutupa hii dawa kwanini nisiinywe kama kilevi/Lean? Kwa wanaojua kutengeneza lean (Lean manufacturing) naombeni maelekezo.
  16. Mkurya romantic

    Vidokezo (tips) kwa wanaotaka kujifunzakutengeneza apps

    1. Kwanza kuwa mpole, wala usipanic code zikizinguwa, hii ni kawaida. 2. Usiwaze kutengeneza app kubwa saaanaau yenye mambo mengi mapema. 3. Kutengeneza app ni kama ujenzi, usiwaze saaana kwamba utamaliza lini. 4. Usiwe msiri kuuliza unapokwama na wala usiwe msiri kusaidia wengine. Hata hivyo...
  17. HabariTech

    Kwanini Graphics Designer Wanashindwa Kutengeneza Pesa?

    Kama umewahi kujaribu kuanzisha biashara wewe mwenyewe utakuwa unaelewa ilivyo ngumu kuanzisha biashara yenye mafanikio. Aina ya biashara unaweza kuanzisha ni nyingi mno, kiasi kwamba wengi huwa hawajui wanaanzia wapi. Tukiongelea creators kama graphics designers, wanapoanza huwa wanakubali kazi...
  18. BARD AI

    Apple inaanza kutengeneza iPhone 14 nchini India

    Apple Inc leo Jumatatu imesema itatengeneza toleo la simu za iPhone 14 nchini India, ikiwa ni mpango wake wa kuhamisha baadhi ya teknolojia za uzalishaji wa vifaa vya kamouni hiyo kutoka China. Kampuni hiyo ilizindua simu kuu ya iPhone 14 katika hafla ya mapema mwezi huu, ambapo iliangazia...
  19. Mr_Plan

    Nahitaji mjuzi wa kutengeneza application

    Ndugu Wanajamvi Naitaji Kuengenezewa App ya Music itakayolink na Website Yangu. Watu wawe Wana Download
Back
Top Bottom