Tugepalu Jr
Member
- Oct 13, 2022
- 17
- 19
Kwa yeyote mwenye ujuzi wa kupika ubuyu naomba anipatie experience kidogo pia na kuhusu vitu gani muhimu vinavyohitajika katika uandaaji wake.
ShukranMkuu incase usipopata mtu hapa ingia insta, au youtube kuna watu wengi wanafundisha
Ingia YouTube.n