kutengeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kutotaja jina la papa wa madawa ya kulevya ni kutengeneza mazingira ya ufisadi

    Jana Kamishina wa Mamlaka Kudhibiti na kupambana na madawa ya kulevya (DCEA) Bw. Lyimo alitangaza kumnasa mmoja wa Mapapa wakubwa duniani wa biashara ya madawa ya kulevya akiwa na wenzake watatu. Papa huyo aliyekamatwa na zaidi ya gram 600 za cocaine hajatajwa jina hivyo hakuna mwananchi ye yote...
  2. JamiiForums Tanzania Namna gani ya kutengeneza pesa kwa kijana asiye na ajira ya kuajiriwa

    Habari wandugu, Napenda wasilisha mada hii tajwa karibuni tujadili maaa naona maisha sasa ya kukosa pesa yanatukaba koo sisi vijana tunaosubiri ajira za utumishi maana hata inaafikia hatua tunakosa laki 2 ya kukodi hekari za shamba ili kulima
  3. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kutengeneza rainboot (Danlop) kiko wapi?

    Msaada kwa anayejua kilipo kiwanda cha kutengeneza rain boot (wanavyotumia wakulima) kwa hapa Dar es Salaam. Natanguliza shukran.
  4. JamiiForums Tanzania Hivi wakemia ulimwenguni kote wameshindwa kabisa kutengeneza dawa ya kutibu UKIMWI?

    Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu? Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake, mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti...
  5. JamiiForums Tanzania Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake

    Ushahidi wa unyanyasaji ulionea na mateso kutoka kwa mwanzilishi wa mojawapo ya makanisa makubwa ya kiinjili ya Kikristo duniani umefichuliwa na BBC. Makumi ya waumini wa zamani wa Kanisa la Synagogue Church of all Nations - watano Waingereza - wanadai ukatili, ikiwa ni pamoja na ubakaji na...
  6. JamiiForums Tanzania Njia 5 bora za kutengeneza pesa online 2024

    Watu wengi Wamekuwa wanataman kutengeneza pesa online na hawajui ipi njia bora na nzuri zaidi, kwanza toka hii kitu akilini mwako kwamba ukianza kitu after 5-7 days unaweza toboa kwa hiyo kitu. watu wengine wamekuwa wanagive up katika sehemu mbalimbali tena online tunaona vijn wengi wanasema...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa namna ya kutengeneza animation ya Automatic Power Factor Correction ya kiwanda kidogo(Small Factory)

    Wanajamii habari zenu ,ninaomba msaada wa kielimu kwenye suala hili la kutengeneza animation ya automated power factor correction system kwenye kiwanda kidogo . Pia na namna ya kuandika literature review ya project work ya hii kazi.
  8. JamiiForums Tanzania Msaada kutengeneza picha mbao.

    Wakuu habari.... nimekuja kwenu kuomba msaada kwa mwenye ufahamu na ujuzi wa kutengeneza picha mbao anipe tips, potential info na utaalam juu ya hii issue
  9. JamiiForums Tanzania Naomba msaada namna ya kutengeneza portfolio ya kazi

    Mwenye ujuzi ni namna gani naweza kutengeneza portfolio kwa ajili ya kuonesha kazi nilizofanya. Naomba anisaidie maana sifahamu wapi nianzie.
  10. JamiiForums Tanzania Wanne wakamatwa kwa kutengeneza Pombe Kali 'Feki' Morogoro

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata Watu wanne ambao ni Ramadhani Mdoe (30) Mkazi wa Msamvu akiwa na wenzake watatu wakiwa wanatengeneza na kusambaza pombe kali feki katika kiwanda kisichosajiliwa (kiwanda bubu) kilichopo Mtaa wa Tushikamane Kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro...
  11. JamiiForums Tanzania Njia 50+ zilizothibitishwa juu ya tabia/tija zimekusanywa ili kutengeneza AI Habit Coach(Akili Bandia Ya kukujenga Kitabia)

    Kwa Kiswahili Prof Bibling amekuwa na tabia/taratibu/tija na amekusanya mbinu zilizothibitishwa za mazoea ya kujenga na kuongeza tija katika kubadilisha tabia. Mbinu hizi zimetoka kwenye vitabu vinavyojulikana kama vile Atomic Habits, Indistractable, Make Time, GTD na vitabu vingine vingi...
  12. JamiiForums Tanzania BoT yawaonya wanaotumia pesa kutengeneza mashada ya maua ya zawadi

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeonya matumizi mabaya ya pesa ikiwemo wale wanaotumia pesa hizo kutengeneza mashada na maua kwa ajili ya kuwatunuku wapendwa wao. Akizungumza na Swahili Times, Meneja Msaidizi Kitengo cha Mawasiliano, Noves Moses amesema pesa inapotumika kufanya shughuli nyingine...
  13. JamiiForums Tanzania Sponsor wa Mkutano wa COP28 lengo lake ni kutengeneza machawa wengi kwenye nchi mbalimbali

    Tufikirie nje ya box nipe nikupe ni kamchezo kazuri sana, huyo sponsor wa COP28 ana mambo yake nyeti kwenye nchi mbalimbali hivyo idadi kubwa ya uwakilishi kutoka kwenye baadhi ya Nchi ni kielelezo Cha umuhimu wa nchi hizo katika rasilimali pendwa. Unapoliwa pakubwa na ushiriki wako wa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hii Kesha,'s saloon Sinza ichunguzwe na wanawake acheni ujinga wa kutengeneza shepu

    Wakati Mkuu wa Mkoa Dar es salaam akiendelea kupambana na makahaba na madanguro Dar aangalie na hili suala la ubakaji unaoendelea katika saloon ya Kesha's iliyopo Sinza. Ni fedheha na aibu kubwa kwa kinachoendelea ndani ya saloon hiyo kikihusisha udhalilishaji wa wazi wa mwanamke. Kwenu...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyakazi wengi wa Serikali wanapenda kutengeneza mazingira ya kupewa hela katika huduma wanazotoa?

    Mzuka, Hivi ni Serikali haiwalipi watumishi wake au shida ni nini? Yaani unaenda kufata huduma ofisi za Serikali lakini mtoa huduma muda wote anatengeneza mazingira ya kupewa hela (rushwa). Ofisi imeandikwa kabisa huduma hiyo ni bure lakini yeye anataka umpe hela akusaidie wakati hilo ndo...
  16. JamiiForums Tanzania Kanuni 50 Za Kukusaidia Kutengeneza Fedha Kwenye Uwekezaji Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo

    Darasa la leo ninakushirikisha moja ya kanuni chache za uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Kanuni ambazo ni muhimu sana kuzifahamu. Ni kanuni ambazo unatakiwa kuzifanyia kazi mara kwa mara ili uweze kuona matunda ya kanuni hizo. Kwa kuzifanyia kazi na kuona matokeo yake, imani itajengeka juu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kuna Uwezekano wa Serikali tukufu Kutengeneza Skendo yenye kugusa Hisia za watu ili kumkomoa mtu?

    Inawezekana kweli? Yani asubuhi unakuta vyombo vya habari vimepambwa na habari 5 Nyingi "Atuhumiwa Kubaka, Aliyebakwa Asimulia Kilicho tokea" Halafu eti habari hiyo iwe ya uongo yani waitunge ili kukutoa kwenye reli. Mimi siamini kama serikali ina muda huo wewe je?
  18. JamiiForums Tanzania Kwa nini Wazungu hutumia Uislam kutengeneza magaidi badala ya dini nyingine?

    Kwa mtazamo wangu katika dini zenye misimamo mikali Uislam ni wa mwisho. Ukifuata misimamo ya Yesu tu utakuwa zaidi ya tishio. Kwa mujibu wa nadharia za njama (Conspiracy theories) inaonekana magaidi karibu wote huwa ni project za Wazungu. Mfano Osama Ibn Laden alitengenezwa na US ili...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani naweza andika wazo langu la kutengeneza application/system na nikapata ufadhili kutoka serikalini au kampuni binafsi

    Naom,ba kuuliza ni jinsi gani watu wanaandika mawazo yao na kufanikiwa kupata udhamini kutoka selikalini au makampuni binafsi na kufadhiliwa ili kuendeleza au kufanya yale m,awazo alioyawakilisha kwa mfano mimi naitaji kutafuta udhamini wa kutengeneza application au system ambayo inaweza kua...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kutengeneza Audio Cover kwenye PC

    Msaada wakuu. Nina wav. kadhaa nahitaji kuzitengenezea Cover Audio kwa lengo la kuzipakia YouTube baada ya kukamilisha matayarisho Nimetoka kununua PC, sielewi chochote na sijawahi fanya hii kitu. Naombeni maujuzi wakuu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…