kutafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na mtaji mdogo usifanye biashara ya kusubiri mteja, Fanya biashara ya kutafuta mteja

    Watu wengi wanafirisika biashara Kwa kufuata mkumbo wa kufungua maduka, bar, vibanda n.k Yaani mtu una million 2 au 3 unachukua mzigo wa kuweka dukani? Ndugu utalia sana aisee, Vijana wanatoka vyuo wanapewa mtaji na wazazi wanakimbilia kufungua boutiques, sijui bar, n.k na mtaji umepewa...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa Upinzani Venezuela Akimbia nchini na kutafuta Hifadhi Hispania

    Mgombea urais wa upinzani, Edmundo González, amekimbia Venezuela baada ya serikali kutoa hati ya kukamatwa kwake, kufuatia upinzani kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais wa Julai 2024. Aidha Vikosi vya usalama vya Venezuela vimezingira Ubalozi wa Argentina, wakidai kuwa viongozi sita wa upinzani...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiachana na Kutafuta Pesa, Mwanaume Unapaswa Kuwa na Vipaumbele Hivi

    Habari zenu wakuu! Leo nataka tujadili suala muhimu sana katika maisha ya mwanaume. Wengi wetu tunajua kuwa kutafuta pesa ni moja ya majukumu makubwa ambayo mwanaume anabeba, lakini je, ni kweli kwamba maisha ya mwanaume yanapaswa kuzunguka pesa tu? Kando na juhudi za kutafuta riziki, kuna mambo...
  4. trojan92

    JamiiForums Tanzania JF Chit: Mchezo wa kutafuta mchumba

    Leo mtag unayetamani awe mchumba wako hapa alafu mwambie maneno mazuri. Akikujibu vizuri endelea nae huwezi jua ya Mungu mengi. Tag wengu kadiri uwezavyo. Twende kazi.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kutafuta kazi

    Habari za siku kadhaa ndugu zangu. Narudi tena kwenu wakuu. Week kadhaa zilizopita nilileta bandiko la kutafuta kazi hapa, sipendi nieleze tena mapito yangu ila nataka kusema tu bado kwa upande wangu giza ni kubwa sioni mwangaza Nimejaribu haya kwa upande wangu 1. Nimejaribu viwandani...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Dotto yupo sahihi wasomi hatuutumii mtaji wetu wa elimu tulio utafuta kwa miaka mingi kutafuta pesa kama wengine

    Dotto anaongea ukweli wasomi lazima wabadilike tena sana. Zaidi ya vyeti na ajira ni kitu gani kikubwa msomi ana miliki wakuu? VYETI: Msomi akifa watoto hawawezi kurithi vyeti. Akifa tu vyeti vinatupwa jalalani havina kazi tena. AJIRA: Msomi akifa watoto hawawezi kuirithi. Akifa tu ajira...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nazunguka Ulimwengu Mzima Kutafuta Fedha Kuwawezesha wanawake Wa Afrika Wapate Nishati Bora ya Kupikia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa amesema ya kuwa ajenda ya nishati bora ya kupikia ni ajenda ya Afrika na ni ajenda ambayo ameianzisha yeye na yeye ndio champion katika kuchochea ajenda hiyo. Amesema ya kuwa anazunguka Ulimwenguni kwote kutafuta fedha kwa ajili ya kuwawezesha wanawake...
  8. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Sehemu za kwenda kutafuta maisha kwa vijana ni hizi hapa Tanzania

    Habari ya 8 8 viongozi, Njooni tupeane connection ya sehemu ambazo zina potential kwa sisi vijana kwenda kujipambania. Nitaanza kama ifuatavyo. 1. Dar es Salaam na viunga vyake Ebhana hii sehemu ukiwa na nidhamu ya pesa ukaweza kucontrol matumizi vizuri Basi Mwenyezimungu anaweza kukunyooshea...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waache waende kutafuta wa zaidi yako ila usikubali warudi tena kwako endapo watamkosa

    WAKIKUKOSA WALIPOENDA KUKULINGANISHA USIKUBALI WARUDI TENA KWAKO. Ukiona mtu karudi kwako tena usishangalie bali jiulize haya: #Kwanini aliondoka? #Kwanini karudi tena? #Wewe si yule yule? KWANINI ALIONDOKA? Ukweli mchungu huwa : #Alikuona sio hadhi yake. #Alijua wapo wa zaidi yako #Hali...
  10. haszu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona kwenye hii lounge, naacha starehe na mademu, najikita kutafuta hela

    Eeh watu wanahela hapa mjini, Mabinti wazuri ni wengi hapa mjini. Majivuno yangu yote yaliishia kwenye parking. Sema wenye hela wengi ni sura ngumu, sasa nataka nipambane af niwe kijana handsome, wenye hela halafu physically fits. Hii bar nitarudi tena kivingine.
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mariam Sagini: Wababa wamekuwa wavivu wanaenda kwa Waganga kutafuta utajiri, Watoto wanaharibika

    Mjumbe wa Baraza Kuu UWT Taifa, Mariam Sagini amesema kina baba wamekuwa wavivu wa kufanya kazi inafikia mawazo yanawapeleka kwa waganga kutafuta utajiri na huko wanapewa masharti ya kubaka mtoto wake wa kumzaa. Akizungumza na Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi katika Kata ya Nsemulwa Wilaya ya...
  12. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaopenda kwenda ughaibuni kutafuta Maisha

    Ndugu zangu kama kawaida yangu Huwa nikipata wasaha wa kuwaasa vijana wenzangu , Huwa sipendi kuwa mchoyo wa taarifa hivyo Leo nimeona niwafunue ubongo maana kupitia bandiko langu nililoweka la fursa za ajira Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu Watu wengi wamekuwa wakinitafuta kwaajili ya...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kula kwa jasho ni kuhangaika kutafuta riziki sio lazima utoe jasho la mwili au ufanye kazi za nguvu ya mwili

    KULA KWA JASHO NI KUHANGAIKA KUTAFUTA RIZIKI SIO LAZIMA UTOE JASHO LA MWILI AU UFANYE KAZI ZA NGUVU YA MWILI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna kasumba ambayo inatesa baadhi ya vijana wa kiume ndani ya jamii huku wakinukuu maandiko ya kwenye Biblia Kuwa "Mwanaume atakula kwa jasho"...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Luaga Mpina, mbunge wa Kisesa sifa za kijinga na kutafuta cheap popularity zimekuponza

    Wewe ni mbunge mzoefu sana bungeni, unajua utaratibu wa bunge wala sihitaji kuiufundisha, umekuwa Waziri kwa vipindi tofauti, watu wa Kilwa Kivinje wana hasira sana na ww ulipoenda kukamata nyavu zao na kuzichoma, enzi hizo ukiwa Waziri wa Uvuvi na Mifugo. Umepewa nondo feki na wafanyabiashara...
  15. Mla Bata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hodi hodii Eritrea, nakuja kutafuta jiko.

    Wasalam, Mla Bata nimeukataa ukware, madunga embe sasa mimi basi, mwajuma, sikujua, waseme, zubeda, tumaini, Mimi na nyie baaaasi, natafuta jiko NIOE wakuu na jiwe langu nataka kulirusha nchini Eritrea, moyo wangu umekufa kwa watoto wa "kunama" na "saho" Wandugu, kama kuna mtu ana uzoefu na...
  16. zink

    JamiiForums Tanzania Nina mpango kwenda kutafuta maisha Marekani ila sijui naanzia wapi

    Kwema wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimekuwa nikitafakari sana juu ya hatima ya maisha yangu na hasa ukizingatia hali ya sasa kwa hapa Tanzania ni mbaya, kwani watu wanaishi maisha magumu sana, can u imagine mtu ameajiriwa lakini bado analalamika maisha magumu. Hii inaonesha kwa...
  17. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kutafuta pesa wakuu

    Jana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku. Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii. Anyway tutafute pesa kwa kasi sana
  18. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan anatazamia kutafuta mikopo zaidi toka China wakati wa Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika mwezi wa 9

    Rais Samia Suluhu Hassan atatembelea China mwezi Septemba kwa ajili ya Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika (Focac) ambapo anatarajiwa kusaini mikataba mipya ya mkopo huku Tanzania ikianza kutekeleza sera mpya ya mambo ya nje iliyofanyiwa marekebisho. Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ewe Kijana Mchakalikaji, katika Kutafuta, usifanye kosa la kujiwekea Deadline!

    Et nikifikisha miaka 30 nitakua tayari na nyumba, Gari, Mke, Biashara kadhaa ,kazi nzuri n.k ?.... Hivi Kijana kama wewe uwazaye haya wee ni Mungu. Toka juzi Kuna nyuzi naziona ona humu.. Mara... Ulijisikiaje ulipokutana na jama mlosoma ,yeye kafanikiwa. Mara... unajisikiaje kufika miaka 30...
  20. sangaone98

    JamiiForums Tanzania Wakati vijana wanapambana na swala la kutafuta ajira au kujiajiri

    Hiki ni kipindi kigumu sana kwa upande wa vijana hasa kwa watoto wa kiume. Mambo yamegeuka kabisa. Zamani jamii ilikuwa inaamini mtu alie soma ndie mkombozi wa jamii hasa kwenye swala la uchumi lakini mambo yamekuwa sio kwa miaka ya 2000 to date. Kila mmoja anashuudia maajabu yanayo fanywa na...
Back
Top Bottom