Chama kina vijana wengi tu ila hawajapata mtu wa kuwaona, kuanzia vijijini, mijini, vyuoni, Ofisi za umma.
Nashauri Chongolo awe na mkakati maalum wa kuwa na mijadala na vijana, yeye au maafisa wake, Kila Mkoa akienda atenge siku moja ya kuongea na vijana wa chama. Huko ndio ataibua vipaji...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amesema Rais Samia ameweka historia nyingine jimboni kwake kwa kufanikisha kutafuta fedha Bilioni 63 kuanza ujenzi wa barabara kubwa ya kiuchumi kutoka Kibondo- Mabamba inayokwenda kuunganisha mkoa wa Kigoma Kagera na...
Nyerere aliwahi kutamka wazi, Kwamba maadui watatu wa taifa letu ni maradhi,ujinga na umasikini.Hivi vinapaswa kuwa kipimo kwa kiongozi yeyote aliyepo madarakani.
Ni ukweli kwamba siasa zina umuhimu na nafasi ya kipekee katika kuwaletea wananchi maendeleo ya kweli, Lakini porojo zisizo na...
PM siyo chombo cha kiuchunguzi, hakupaswa kufanya aliyoyafanya kuikuza ishu yenyewe ndogo sana.
Ameongea asiyopaswa kuyaongea na kujifanya ana huruma sana na watanzania, akaenda mbali na kumuonea huruma Mama eti 'anahangaika kutafuta fedha kwa ajili yetu'.
Hii ni kutafuta umaarufu wa kisiasa...
Watu wako busy sana na kufuatilia maisha na taarifa za watu. Muda ni rasilimali adhimu tena adimu. Muda ukikuacha huwezi kuupata tena.
Kwanini unahangaika na maisha ya watu? Jali muda wako na uuheshimu. Muda unaourumia kwa umbea, majungu, na uzandiki , utumie kuzalisha mali na kuboresha maisha...
Moja kwa moja kwenye mada, Ni ndugu yangu mmoja ameshakamata 40 years mpaka Sasa Ana kazi Ni afisa kilimo na mifugo.
Jamaa Ni hataki kusikia habari ya kuoa, Ni baada ya kupigwa tukio na alokua manzi yake miaka mitano ilopita.
Alishangaa tu anaambiwa manzi yake kaolewa na yeye Hana taarifa...
Naibu waziri wa Nishati amewaomba watanzania kuwavumilia na kwasasa wanarekebisha mitambo ya gesi yenye matatizo na wanaamini kufikia Januari tatizo kama litakuwa halijapungua kabisa litakuwa limekwisha.
Naibu waziri amesema wamelazimia kuwapata wakandarasi wenye gharama kubwa kurekebisha...
Utafutaji wa fedha kwa ajili ya Taasisi yaani "Fundraising Process" ni jambo muhimu sana kwa ustawi wa Taasisi. Kupitia "fundraising process" Taasisi itaweza kupata fedha kwa ajili ya; kutekeleza miradi, kugharamia shughuli za uendeshaji n.k. Jukumu la utafutaji wa fedha kwa Taasisi nyingi za...
Jamani, jamani, ofisi zimetulia, majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia, na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini?! Lets go to the point,
Mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja hivi sehemu fulani, jamani nilikutana na kaka mmoja...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba tujadili hili.
Binafsi nimekulia kwenye mkoa wa kitalii ambapo nimeshuhudia vijana wengi wakienda ughaibuni kutafuta maisha.. Arusha na Ulaya zina uhusiano mzuri. Vijana kwenye utalii hupata fursa za kwenda huko. Pia wanamichezo kupitia riadha...
Ndugu zangu naweza nisieleweke haya maneno kwa Sasa kutokana na muda kuwa haujafika, nimeona niyaseme haya ili ibaki katika kumbukumbu, CHADEMA lazima wafahamu kuwa katika mazingira na siaza za kiafrika Ni ngumu Sana kumpata Rais aina ya Rais Samia, viongozi aina yake hupatikana katika nchi...
Baada ya kupigana vita vikali kwa zaidi ya miezi minane tofauti na walivyotegemea, inaonekana sasa Russia wanaweza kuwa tayari kutafuta muafaka wa namna ya kuweza kumaliza hivi vita.
Inaonekana vilevile kwamba Russia wanakiri kwamba hawataweza kufikia malengo yao waliojiwekea kufuatia matokeo...
Watu wengi tushawahi kuwauliza watu eneo kwaajili ya kufanyia biashara fulani, yaani baada ya kupata wazo unalitekelezea wapi...??
Njia rahisi ya kupata eneo sahihi kwaajili ya biashara yako ni WAZO. Ndiyo wazo lako linathamani gani..?? Ukishakuwa nawazo fikiria wazo hilo au biashara hiyo...
Kwa majina naitwa nassor maneno,naishi dar es salaam vile vile nina certificate ya clearing and forwarding , pamoja na hayo me nilkuw naomb kaz kwa mwenye connection ya clearing and forwarding au yoyote.
Ahsanteni
Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita uhusiano kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukitajwa kuwa ni uhusiano wa mfano wa kuigwa kati ya nchi na nchi, na pia ni mfano wa kuigwa wa uhusiano kati ya nchi za kusini. Sababu kubwa inayofanywa uhusiano huo upewe sifa hizo, ni kuwa umejengwa...
Watanzania ni washenzi, nianze kwa kusema hivyo. Tumekabidhi hii nchi mikononi mwa CCM na tumeacha itupeleke kama inavyotaka na hatutaki kuhoji.
Wakati wa uchafuzi mkuu wa 2020 mzee wangu alikuwa anashangilia kwamba wameshinda majimbo yote. Mimi nilimsikiliza tu nikaishia kumsikitikia. Mzee...
guest-1786390423
Thread
africa
kufa
kupoteza
kutafuta
mpinzani
muda
watanzania
Urusi ilialika watu au taasisi zinazohitaji kuwa waangalizi kwenye kura ya maoni iliyohusu majimbo manne ya ukraine kukubali kujiunga na Urusi au kubaki kwenye himaya ya Ukraine. Urusi ilikuwa na uhakika kabisa kuwa zoezi la kura litaendeshwa kwa uhuru na uwazi. Wapo watu wengi toka nchi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.