kutafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DungaMawe

    JamiiForums Tanzania Story: Safari yangu ya kutafuta maisha mpaka kujiunga Al-shabaab

    001: umasikini ni jamb baya sana. Katika maisha yangu niliapa nitakuja pambana na umasikini kwa namna yoyote ile mradi na mimi niwe mtu miongoni mwa watu. Kwa majina naitwa Nelson ama wengi wamezoea kuniita bob nelly.mwaka 2013 nikiwa na miaka ishirini na nne nilitoroka nyumbani na kuja Dar es...
  2. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Wanapiga tena hela ya umma eti kutafuta vazi la Taifa

    Hivi jamani vazi la taifa hua linatafutwa au linakuepo tu? Mimi naamini watanzania kama taifa hatuna vazi ila tuna mavazi ya jadi kwa makabila mbalimbali ya nchi yetu. Mavazi ambayo wala hatuyavai tena isipokua kwa makabila machache kama wamasai. Wao hadi leo wameweza kudumisha uvaaji wa vazi...
  3. N

    JamiiForums Tanzania KIBUYU KIMELIA TFF ANAHAHA KUTAFUTA HURUMA(nitatengenezea graphics)

    Lile jamaa libabe la mdomo na kutukana watu hovyohovyo limekula nyundo huko kinachosubiriwa ni kutangazwa rasmi licha ya njemba hilo kulialia kupitia kwa wanasiasa waliombee msamaha.... nitalipia graphics za hali ya juu kutambulisha habari hiyo ambapo nishaaongea na wataalamu kadhaa wa kazi...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kumruhusu binti akajitafutie maisha ni kumfanya awe Malaya

    KUMRUHUSU BINTI AONDEKE NYUMBANI AKAJITAFUTIE MAISHA NI KUMFANYA AWE MALAYA! Anaandika, Robert Heriel. Mwanamke hatafuti maisha Ila anatafutiwa, maisha ya mwanamke yapo Kwa mume wake au Mzazi wake. Ni hatari na kosa kubwa kumruhusu binti yako akatafute maisha. Mwanaume ndiye anayekula Kwa...
  5. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa wanawake wanaingia katika mahusiano na ndoa kutafuta unafuu wa maisha

    Huu ndo ukweli wanawake walio wengi wanaingia katika mahusiano au ndoa kutafuta angalau unafuu wa maisha. Katika mahusiano na ndoa wanawake wengi hutumia kama opportunity chance ya kupunguza shida zao ndogo ndogo kupitia mwanaume kwa sababu wanachoamini mwanaume kazi yake ni kumuhudumia...
  6. La Quica

    JamiiForums Tanzania Uzi wa Kutafuta Hela

    Kumekuwa na utani mwingi juu ya walio na hela na wasiokuwa nazo. Sasa hapa huu uzi utakuwa maalumu kwa wenye hela kuwa motivate wasiokuwa nazo wazitafute kupitia quotes (nadhani ni misemo kwa kiswahili). Mfano. 1. Tafuta hela gas inaivisha maharage 2. Tafuta hela pisi kali zinalika na kila...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kila ufanyalo kutafuta riziki lazima akili yako itambue kuwa dunia imebadilika na wewe lazima ubadilike. Usipozingatia hufanikiwi

    Habari ndugu zangu! Kila mtu mwenye utimamu wa akili na viungo ni sharti ajitafutie ridhiki. Wengi bado hawataki kubadilika hivyo hujikuta wanashindwa kusogea mbele kwa kasi. Lazima ubadilike, Zama hizi bado kuna mafundi simu wanaofosi kutengeneza simu kizamani, yaani hana computer, yeye...
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni siasa za kiswahili na kutafuta public sympathy. Mlitaka spika Tulia aongelee nini? Kila kitu kipo wazi Halima na wanzake ni wabunge

    Acheni kuwa mnaongea pumba bana 👇
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RPC wa Arusha hii nguvu unayoitumia kutafuta waliomuua Askari Ngorongoro kwanini hukuitumia mwanzoni kuzuia kuibuka kwa huo mzozo?

    Kwahiyo ukishawapata ndiyo wataenda kuirudisha pumzi na uhai wa huyo Askari Polisi wenu aliyeuwawa? Na wala GENTAMYCINE hapa sitetei au sifurahii huko kuuawa kwake na nimesikitika kuuliwa ila nimesikitika zaidi kuona leo hii Jeshi la Polisi Arusha linatumia nguvu kubwa ya Kijeshi katika...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naungana na watanzania wengi wanaomlaani Dk. Kigwangalla kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa kumchafua Mo Dewji

  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Aina hii ya Wanawake ni kama Kutafuta Nyoka mwenye Miguu

    Mwanamke 1. Mzuri wa Sura 2. Mzuri wa Umbo 3. MWENYE AKILI? Ni nadra sana hasa miaka yetu hii. Nahangaika sana nipate mwanamke wa namna hiyo. Inakuwa changamoto. Unakuta dada mzuri wa umbo na sura lakini kichwani.... Empty. Unaumia sana kuwa huyu si anaweza hata kukuambukiza upumbavu? Miaka...
  12. Mdudu Mende

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabongo wanadhani kutafuta mpenzi mtandaoni ni umalaya?

    Mpenzi huweza kupatikana mahali popote iwe klabu, kwenye ngoma, shule, kanisani nk. Ni suala la kupatana tu. Kuna watu wanakesha makanisani na hawapati watu wa kuwa nao na kuna watu wamepatana barabarani na wamedumu. Ukuaji wa teknolojia umefanya zoezi la kutafuta wapenzi kuwa rahisi kwa kuwa...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kazi inaendelea: Samia analiunga daraja la WAMI bila kelele, kutukanana na watu au kutafuta kiki. Kuongoza nchi ni sayansi

    Daraja hili linakwenda kukamilika mwaka huu na kufanya usafiri katika ukanda huo kuwa Bora kabisa. Hakuna mradi utaachwa, na miradi mipya itazidi kujengwa. #SHH2025/30 #MamaMaendeleo.
  14. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Jitihada zetu za kutafuta maisha Zinatuangamiza

    Wanaume Tubadilike Tunatafuta maisha kwa nguvu zote kwa Ajili ya familia zetu na inapotokea tumefanikiwa tunafeli sehemu ndogo sana: .Adui huwa hatoki mbali na wewe hata siku moja. .Kwa nn watu waanze kukutafuta baada ya mafanikio. .Kuna watu walikuwa hawana Time kabisa na wewe Utashangaa hata...
  15. Edsger wybe Dijkstra

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Mauritius kutafuta maisha

    Habari zenu wanajukwaa,nna mpango wa kwenda Mauritius kusaka life, naomba wenyeji wa huko mnipe habari mbali mbali zinazohusiana na nchi hiyo hasa katika masuala ya uchumi- ajira na biashara na mambo mengineyo. hii bongo ni ngum sana ata uwe na elimu gan bdo shida tu. karibuni wenyeji
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanawake washaurini(kuwasaidia) binti zenu kutafuta mume kuanzia wakiwa miaka 17-25

    Ramadhan Kareem! Dada zangu, wadogo zangu wakike, pamoja na kina Mama, elimu hii ni muhimu Sana. Dunia ya sasa imefikia pagumu Sana, hasa kwenye kipengele cha ndoa. Kuweni karibu na binti zenu, wafanyeni marafiki, wafanyeni wawaamini, hakikisha Kama mzazi unamaarifa ya kutosha kumshauri binti...
  17. Dola Iddy Wa Chelsea

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani ambayo hupaswi kutafuta mke?

    Habari wana MMU, Leo naomba kila mtu ataje sehemu ambazo kwa mtazamo wake anaona haipaswi au haitakiwi kumsaka binti wa kumuoa na kuishi naye. Naanza mimi: => Kwenye maguest house => Kwenye migahawa ya chakula => Kwenye ma bar na kumbi za muziki => Sokoni au maeneo ya gulioni => Kwenye...
  18. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kubwa kati ya kutafuta mke/mume na kutafuta mpenzi

    Kuna njia au namna za kutafuta mke/mume na kutafuta mpenzi. Ni vizuri ukajua kuzitofautisha. Njia utakazotumia kutafuta mke/mume ni tofauti na njia utakazotumia kutafuta mpenzi. Ukijichanganya kwenye hizo njia, mwisho wake huwa ni kilio; mfano ulitumia njia za kutafuta mpenzi ili upate...
  19. NITAKUKAMATA TU

    JamiiForums Tanzania Mayele anatafuta mboga, viongozi Yanga jitahidini kutafuta mchele

    Baada ya hapo jana mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga kutoka DRC, Fiston Kalala Mayele kuzawadiwa ng'ombe mwingine na mashabiki huko Mwanza, ni wazi sasa viongozi waanze kutafuta mchele, kwani Mayele anaendelea kutafuta mboga hili siku ya mwananchi day mashabiki wakale uwanjani, mpaka ligi...
  20. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujiulize: Ikiwa sisi ndiyo wenye mali, nini kinatukimbiza nje kutafuta wa kuja kuzila (eti kuwekeza)?

    Watanzania wenzangu, kuna kitu hakiko sawa! Tutachanganyiwa lugha zote kuwa tunafungua nchi kumbe kuna hila ndani yake. Sikubaliani kabisa viongozi kuzunguka dunia nzima kuomba pesa na uwekezaji. Tunajidhalilisha! Tuna bunge, Mawaziri, Wasomi, Wanasiasa, Wafanyabiashara maarufu nk...
Back
Top Bottom