kusini

Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Marekani na Korea kusini wamepagawa baada ya kuona Submarine Nuclear ya Korea Kaskazini

    Dunia ina double standard sana. Hivi karibuni USA ilitoa tenda Kwa nchi ya Australia kuunda Submarine Nuclear na Korea Kusini wanafanya jaribio la kombola kutoka kwenye nyambizi. Mpaka sasa ni nchi kama Saba zinazoweza kuunda Aina hii ya nyuklia. USA haikufahamu kuwa Korea Kaskazini ina uwezo...
  2. JamiiForums Tanzania Fedha za CWT zilitumika kuangalia mpira Cape Verde

    Mchunguzi Mkuu kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mercy Manyalika ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu alivyochunguza na kubaini fedha za Chama cha Walimu Tanzania,(CWT) zilivyotumika kwenda kuangalia mpira wa kombe la dunia mwaka 2018. Manyalika alieleza hayo...
  3. JamiiForums Tanzania Ni nchi gani Africa kusini mwa sahara inaonyesha matumaini ya kuondokana na ushithole?

  4. JamiiForums Tanzania Korea Kusini yapiga marufuku ulaji wa Mbwa

    Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in amesema kuwa muda sahihi umefika wa kupiga marufuku ulaji wa mbwa katika nchi hiyo. Rais Moon ambaye ni Moja ya watu wanaopenda ufugaji wa mbwa amesema upigaji marufuku wa ulaji wa mbwa ni njia mojawapo itakayosaidia kulinda wanyama hao wasiteketee zaidi...
  5. JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili na Utalii, Iko wapi nguvu yenu katika kanda za Kati, Nyanda za Juu kusini, Kusini na Mashariki?

    Leo napenda kuwauliza Wizara ya Maliasili ya Utalii; 1. Kumekuwa na kupungua Wanyama Mbuga za Mikumi na Saadani kwa kiwango cha kutisha! Leo hii ukienda Hifadhi ya Saadani unaweza tembea saa zima bila kuona mnyama yeyote, hali hii ipo Mikumi pia ambapo imekuwa na hali kwa kasi ya kutisha sasa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya mikoa ya Kusini kuwa salama sana kibinadamu?

    Nazungumzia Lindi na Mtwara haswa! 1. Kule husikii albino amechinjwa 2. Kule husikii wenye macho mekundu wameuawa kisa ni wachawi, 3. Kule husikii wenye upanja wamepigwa nondo ili zikatumike buchani 4. Kule husikii mtu amechunwa ngozi 5. Kule ni nadra kusikia wazazi, sijui mama, kutolewa...
  7. JamiiForums Tanzania COVID-19 Test - Mbuga za Kusini zimetelekezwa

    Hadi ninavyo andika hapa hakuna hata mbuga moja ya kusini Inayofanya Covid sample collection Halafu unasikia Mtu anasema eti tuna promote mbuga za kusini watalii waende huko Mbuga hizo ni; 1. RUAHA NATIONAL PARK (pamoja na kuwa na dispensary ndani ya Park wameshindwa kuiwezesha ichukue sample?)...
  8. JamiiForums Tanzania Kimaendeleo Awamu ya Tano iliinyanyapaa Nyanda za Juu Kusini. Mabalozi EU watembelea

    Nyanda za Juu Kusini, Mikoa ya Mbeya, Iringa, Ruvuma, Rukwa hata Katavi imenyanyapaliwa sana na Awamu ya Tano kimaendeleo. Mikoa hii ndiyo bread basket ya nchi-wazalishaji wakubwa wa chakula. Mwaka huu wamezalisha mahindi mengi kuliko uwezo wa Serikali. Pengine Magufuli alitembelea mikoa hiyo...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya, Uganda, Afrika Kusini, na Nigeria ndio mataifa yenye vyuo vilivyo kwenye kumi bora Afrika

    Japo Afrika Kusini balaa sana, wana vyuo sita kwa mkupuo, Nigeria viwili, Kenya na Uganda kimoja kila mmoja. Chuo cha Nairobi kimekua namba 563 duniani, Makerere ya Uganda ikaambulia kwenye kundi la 600-800 Baada ya hapo mataifa mengine yote choka mbaya, Afrika bado tuna safari, elimu...
  10. JamiiForums Tanzania Sad News: Watanzania Wanne Wauawa Afrika Kusini Katika Vurugu Zinazoendelea Nchini Humo

  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kusini Unguja "Mzee Kichupa" afariki Dunia

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko, majonzi na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Ali Abdallah Maarufu (Mzee Kichupa) kilichotokea Jumanne 27 Julai, 2021 katika Hospital Kuu ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
  12. JamiiForums Tanzania MTWARA: Ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini wafikia asilimia 98

    Hapa chini ni Muonekano wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini inayojengwa eneo la Mitengo, Mtwara ambayo ujenzi wake umefikia 98% kwa gharama ya TSH Bilioni 15.8 ambapo itawekwa jiwe la msingi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango Julai 26, 2021...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Korea Kusini wapata maambukizi ya #COVID19 wakiwa Pwani ya Afrika Mashariki

    Waziri Mkuu, Kim Boo-kyum ameomba radhi mbele ya Umma kwa Serikali ya Korea Kusini kushindwa kuzingatia #Afya za Askari wake wa Kikosi cha Maji Wanajeshi hao wa Korea Kusini wako kwenye doria maalum ya kukabiliana na Uharamia katika Pwani ya Afrika Mashariki Wizara ya Ulinzi imethibisha kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Japan: Wachezaji wawili wa Afrika Kusini wapatikana na maambukizi ndani ya Kijiji cha Olimpiki

    Wachezaji wawili wa Afrika Kusini ambao wapo nchini Japan kushiriki mashindano ya Olimpiki wamethibitishwa kuwa na maambukizi ya virusi vya corona siku ya Jumamosi, wakitajwa kuwa washiriki wa kwanza wa mashindano hayo kupata maambukizi ya virusi vya corona wakiwa ndani ya Kijiji cha Olimpiki...
  15. JamiiForums Tanzania Ghasia Afrika Kusini: Mtanzania apata hasara ya mil 300

    Vurugu zilizoibuka wiki iliyopita nchini Afrika Kusini zimemrudisha nyuma kimaisha Mtanzania Omari Juma, anayeishi na kufanya shughuli zake nchini humo. Juma, aliyekuwa akimiliki studio na kiwanda cha kuchakata chupa za plastiki kwa kushirikiana na raia wa Cameroon, Alino Alino, amejikuta...
  16. JamiiForums Tanzania Watu 72 wamepoteza maisha nchini Afrika Kusini kufuatia ghasia zinazoendelea

    Watu 72 wamepoteza maisha nchini Afrika Kusini kufuatia ghasia zinazoendelea kushuhudiwa kati ya wafuasi wa Rais wa zamani wa nchi hiyo Jacob Zuma na maafisa wa usalama. Kwa siku zipatazo tano, wafuasi wa Zuma ambaye anaendelea kutumikia kifungo chake cha miezi 15 jela, wamekuwa wakiandamana...
  17. JamiiForums Tanzania Uhuni unaoendelea nchini Afrika Kusini hauvumiliki

    Habari Wana JF natumaini mpo njema, Husika na kichwa hapo juu, Wote tunaona yanayoendelea Huko bondeni Kwa madiba, Hivi wale ndugu zetu kwa zile akili zao sijui hata nisemaje maana imekua too much aisee. Yaani katiba ya nchi inamuwajibisha Rais mstaafu Kwa Yale mambo aliyoyatenda akiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Kinachoendelea Afrika Kusini

    Kinachoendelea Afrika kusini ni baada ya kuwepo kwa: 1. Uongozi mbovu katika nchi,yaani kuwa na Taifa ambalo uongozi umefeli kudeliver leadership. 2. Tofauti ya kipato na maisha kati ya Tajiri na masikini kuwa kubwa sana. 3. Ukosefu wa ajiri uliopitiliza. 4. Watu kuwa na chuki pamoja na...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameongeza wiki mbili nyingine za “lockdown”

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameongeza wiki mbili nyingine za “lockdown” kama njia mojawapo ya kupunguza maambukizi ya Covid- 19 nchini humo. Hatua hiyo imekuja kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu waliopata maambukizi ya ugonjwa wa Corona nchini Afrika ya Kusini. Ramaphosa alisema...
  20. JamiiForums Tanzania Maandamano yaendelea kushika kazi Afrika Kusini kufuatia kukamatwa kwa Jacob Zuma

    Mamia ya watu wamekamatwa nchini Afrika Kusini huku ghasia zikienea kufuatia kufungwa jela kwa rais wa zamani Jacob Zuma. Waandamanaji wanaomuunga mkono Zuma kwanza waliingia mitaani baada ya kiongozi huyo wa zamani (79) kujisalimisha kwa mamlaka Jumatano ili kuanza kifungo cha miezi 15...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…