Wanajeshi wa Korea Kusini wapata maambukizi ya #COVID19 wakiwa Pwani ya Afrika Mashariki

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
533
1,000
Waziri Mkuu, Kim Boo-kyum ameomba radhi mbele ya Umma kwa Serikali ya Korea Kusini kushindwa kuzingatia #Afya za Askari wake wa Kikosi cha Maji

Wanajeshi hao wa Korea Kusini wako kwenye doria maalum ya kukabiliana na Uharamia katika Pwani ya Afrika Mashariki

Wizara ya Ulinzi imethibisha kuwa Wanajeshi 247 kati ya 301 wamepata maambukizi

======

South Korea's prime minister on Tuesday apologized for "failing to carefully take care of the health" of hundreds of sailors who contracted the coronavirus on a navy ship taking part in an anti-piracy mission off East Africa. (AP Photo)

South Korea's prime minister has offered a public apology over a large-scale coronavirus outbreak on a destroyer on an anti-piracy mission off East Africa.

Prime Minister Kim Boo-kyum said Tuesday the government is very sorry for failing to carefully take care of the health of our soldiers who are devoting themselves to the country.

The Defense Ministry says 247 of the destroyer's 301 crew members have been infected. It's the largest cluster for South Korea's military since the pandemic began.

South Korea sent two military planes to bring back all 301 sailors.

On Tuesday, South Korea reported 1,278 new virus cases, taking the total caseload to 180,481, with 2,059 deaths from COVID-19. It was the 14th day in a row that South Korea has confirmed more than 1,000 new cases.
 

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
9,160
2,000
Kwani Indian Ocean ina maambukizi ya covid-19?

Ukweli ni kwamba wanajeshi walitembelea miji ya pwani pwani ya Africa Mashariki, wakaranda randa bila ya kuchukuwa tahadhili yoyote ya kujikinga.
 

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
14,755
2,000
Wafe kabisa. Yaani wametoka Korea na kuja Afrika mashariki!? Bila shaka kuna kitu wanataka kutuibia!
Nalog off
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom