kushindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Gari kushindwa kupanda milima

    Habari wana JF, nimekuwa nikitumia gari hili(Toyota vitz old model) kwa mda wa miaka4 sasa hata hivyo hivi karibuni limepatwa na tatizo ambalo kimsingi linanichanganya. >>KUSHINDWA KUPANDA MLIMA. Aidha tatizo hili lilianza gafla ambapo nililipeleka kwa fundi na kukuta valvi moja ya...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ijiuzulu kwa kushindwa kutumia rasilimali za nchi hii kwa maendeleo ya watu wote

    Habari! Huu uzi ninauandika nikiwa na jazba na ghazabu. Nimefanya kazi mgodi wa GGM(GEITA GOLD MINE), kisha nikafanya Mgodi wa Bulyanhulu uliokuwa ukimilikiwa na Barrick kisha Acacia. Ardhi yetu imemeza matrilioni ya fedha. Nimefanya kazi kwenye hifadhi ya Serengeti kwenye hoteli ya kitalii...
  3. JamiiForums Tanzania Hawa waandishi wetu wa habari, (wachambuzi) walikwama wapi kushindwa kupiga kura za ballon d orr tunazidiwa ata na burundi mwandishi wake kapiga kura

    Nimeshangazwa na Tanzania kutokupata mwanahabari wa kupiga kura za ballon dorr,wanahabari wa Tanzania (wachambuzi) wamekwama wapi kupiga kura za kumchagua mchezaji bora dunia tuzo za ballon d orr au wenyewe wanachokijua ni kutengeneza mijadala kupitia vipaza sauti vyao
  4. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu uume unaweza kunasa ukeni pindi unapojamiiana?

    Sio mara moja wala mara mbili kushuhudia picha mtandaoni zikienea mtu na mpenzi wake kuwa wamegandana mwanaume anajaribu kuchomoa dushelele na haitoki Watu wengi huhusianisha na uchawi na matego kuwa huenda mume wa Huyu jamaa amemtega mke wake anapochepuka tu aumbuke Yote yanawezekana ila...
  5. JamiiForums Tanzania Huu unyonge wa kushindwa kuongea mnapokereka wanaume unasababishwa na nini?

    Mwanaume mke wako amechelewa kurudi kazini unashindwa kuongea nae na kujua kilichotokea unanuna na kwenda kulala. Masikini binti wa watu hajui hata kama umekasirika. Huyu hapa pichani anakereka kumuona mke wake ana chart kwenye simu, anashindwa kumwambia hisia zake amebaki kujikunyata huku...
  6. JamiiForums Tanzania MWAKINYO: Kushindwa pambano sio kuwa bondia mbaya

    Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amewalaumu Watanzania kumkandia Bondia Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ kwa kupoteza pambano lake dhidi ya bondia wa DR-Kongo, Tshimanga Katompa. Amesema Dullah Mbabe aliwahi kushinda pambano nje ya nchi na hakuna aliyemposti ambapo kwa kupoteza pambano lake hivi...
  7. JamiiForums Tanzania Kushindwa kufanya supplementary UDSM

    Wadau habar za kazi..nilikuwa naomba kujua Ni utaratibu gani wa kufuata kwa mtu aliekosa mtihani wa supplementary chuo kikuu Cha UDSM kwa changamoto za kiafya. Nina ndugu yangu alitakiwa afanye mtihani leo asubuh..Sasa usiku alipata shida ya kiafya..huwa Ana matatizo flan ya kiafya akashindwa...
  8. JamiiForums Tanzania SoC01 Uvumilivu: Changamoto kubwa ya vijana kushindwa kujiajiri

    Uvumilivu ni ile hali ya kustahimili machungu.Mtu yoyote ni lazima ajenge tabia ya kustahimili machungu,kwenye kuvumilia ndipo uzoefu wa kufanya kazi kwa mafanikio unakopatikana.Uzoefu ni hali ya kukaa na jambo au kitu kwa muda mrefu. Kwenye ujasiriamali uzoefu ni jambo kubwa na la muhimu,ili...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Tunapoelekea tunazidi kupotea, baada ya kushindwa kazi yake anavamia ya mwenzake

    22 September 2021 Jenerali Ulimwengu: Tunapoelekea tunazidi kupotea, baada ya kushindwa kazi yake anavamia ya mwenzake
  10. JamiiForums Tanzania Namna ya kukabili tatizo la kuwahi kufika kileleni na kushindwa kuendelea

    1: Punguza wasiwasi: Hebu lifikirie tendo kama njia ya kujifurahisha sio njia pekee ya kutafuta kutoa mbegu, hii itakusaidia kuondoa mawazo ya kutafuta mbegu na kuchelewa kumaliza. 2: Fanya taratibu: Picha za ngono zinadanganya sana watu kwamba kulala na mwanamke lazima ufanye kwa haraka...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaenguliwa Mchezo wa Volleyball kwa kushindwa kutoa ada ya Dola 1,000

    10 September 2021 Kigali, Rwanda Tanzania imeshindwa kulipia ada ya dola za kimarekani US$ 1,000 zilizotakiwa kulipwa kabla ya kuruhusiwa kushiriki mashindano makubwa ya Afrika ya mchezo wa volleyball. Pia nchi ya Tanzania ilishindwa kulipia US$ 50 kwa kila mtu aliyetarajiwa kuwepo ktk msafara...
  12. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yamtafuta mtaalamu aliyefumua jeraha la mgonjwa baada ya kushindwa kulipa hela

    Wizara ya Afya imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa hii inayozunguka mitandaoni kuwa, mtaalamu wa Afya katika kituo ambacho bado hakijatambuliwa amemshona mgonjwa jeraha kisha akalifumua kwa madai kuwa mgonjwa huyo hakuweza kulipia gharama. Ikiwa hili limetokea nchini Tanzania, basi ni...
  13. JamiiForums Tanzania Wananchi kuweka Mageti ya ukaguzi mitaani ni ishara ya kushindwa kwa Jeshi la Polisi

    Sasa hivi maeneo mengi ya Mkoa wa DSM wananchi kwa umoja wao wameamua kuajiri walinzi binafsi na kuweka Vizuizi vya ukaguzi kwenye mitaa, ukifika kigamboni au Mbezi Beach ni lazima wenyeji wako wathibishe ujio wako mbele ya walinzi , vinginevyo utaishia njiani . Pamoja na pongezi hizi kwa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Spika atishia kuwaita IGP Siro, AG, na waziri M.Ndani kamati ya maadili kwa kushindwa kushughulika na Gwajima

    Nafurahi ninapoona mihimili inakinzana na hii inaonesha kweli Kuna separation of power. Nimeshangaa Leo Spika anamlaumu Siro kwa kutokumkamata Gwajima, na ametishia kuwaleta maadili Siro Waziri wa Mambo ya Ndani na Mwanasheria Mkuu, hii ni nzuri kwakuwa mihimili Sasa inanguvu sawa, ndo...
  15. JamiiForums Tanzania IGP wa Zambia ashindwa kumaliza kiapo kwa kutetemeka, nawaza angekuwa hayati Magufuli

    Nchi ya Zambia baada ya mabadiliko ya chama tawala na Rais, wameamua kulifumua Jeshi la Polisi ikiwa ni kutekeleza ahadi ya Rais wakati akiomba kura. Katika hali ya kustaajabisha, IGP Remmy Kajoba alishindwa kumaliza kiapo baada ya mtetemo kuzidi wakati akiapa. Rais Hakainde Hichilema alitoa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mbowe - Matokeo ya busara ya kawaida kushindwa kutamalaki

    Busara ni jambo la msingi sana katika maisha ya binadamu. Ni wazi kuwa ikikosekana haijalishi, hata kama ni mtu mzima basi hugeuka kituko. Hapa chini kuna mawazo ya mdau yenye kuangazia tumefeli wapi kama nchi. Inawezekana namna gani kuwa mtu yeyote hakuyaona haya? "Inawezekana namna gani...
  17. JamiiForums Tanzania Sababu Kubwa Inayopelekea Biashara Nyingi Mpya Kushindwa.

    Rafiki yangu mpendwa, Bill Gates ajaye hataanzisha Microsoft. Mark Zuckerberg ajaye hataanzisha Facebook. Elon Musk ajaye hataanzisha Tesla. Na Bakhresa ajaye hataanzisha Azam. Lakini ni vitu gani ambavyo watu wapo ‘bize’ kufanya? Kuiga wale waliofanikiwa, kufanya kama walivyofanya wao wakiona...
  18. JamiiForums Tanzania Wapinga chanjo waliwahi kwenda mahakamani na kushindwa na upande wa serikali na wapenda chanjo

    In the United States, the anti-vaccinationist movement, using pamphlets, court battles, and fights in state legislatures, succeeded in repealing compulsory vaccination laws in California, Illinois, Indiana, Minnesota, Utah, West Virginia, and Wisconsin. However, in the landmark Jacobson v...
  19. JamiiForums Tanzania Never give up, Haikainde Hichilema amegombea Urais mara 5 na kushindwa. Sasa ni mara ya 6

    Mgombea Urais anayeongoza nchini Zambia wa Chama cha UPNDP Hichilema, alishashindwa uchaguzi wa Urais mara 5 nchini humo lakini hakukata tamaa, hii anayoongoza sasa ni mara ya 6. Ni Mwanasiasa aliyeongoza kwa kunyanyaswa na Mamlaka wakisaidiwa na Polisi wa nchini Zambia, Taarifa zinaonyesha...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame amekerwa na Arsenal kushindwa

    Mzuka wanajamvi! Rais wa Rwanda Paul Kagame amekerwa na kuhuzunishwa kwa Arsenal kufungwa 2-0 na vibonde Brentford waliopanda daraja EPL. Kagame alisema kama mshabiki mkubwa wa Arsenal amehuzunishwa na kukerwa na matokeo hayo. Nakuomba mabadilikoyawepo haraka sana. Ikumbukwe Rwanda inailipa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…