kushindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania India: Kijana ajitupa ghorofa refu kwa stress za kushindwa kumudu malipo makubwa ya talaka huku akiwa na madeni ya matibabu ya mtoto.

    Sambhav Jain alikuwa na miaka 28 tu. Aliwahi kuwa mume, baba, na mwana ambaye alijaribu kubeba majukumu yake yote kwa nguvu zake zote.. Alisoma kwa bidi, Alijituma, Alijenga ujuzi wake hadi akawa Software Engineer, Kazi kama hiyo haiji tu na kukaa ukisubiri. Alioa mwaka 2023, na baadaye...
  2. JamiiForums Tanzania Kituko kesi ya uhaini wa Tundu Lissu: Nassoro Katuga asema, kama TAL hana hatia ya uhaini wa hukumu ya kifo, basi mahakama imfunge jela miaka kadhaa!

    Hii ndiyo nia ya hawa hayawani. Hawataki kabisa mtu huyu awe huru iwe mvua au jua. Lakini mimi nasema, Tundu Lissu si mhaini, fullstop!! ================ Kinachoendelea leo Mahakama Kuu ya Tanzania, obvious mambo si mambo kwa Jamhuri wakiongozwa na Wakili wao mkuu, Nassoro Katuga. DPP na...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusheni Ya Kuwa Field Marshall Paul Makonda Hajawahi kushindwa vita yoyote ile. Huyu ni Zaidi ya Alexander The Great. Msimjaribu Mtaumia Vibaya

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwaambieni na Kuwakumbusheni Ya Kuwa Mwamba Mwenyewe Field Marshall Paul Makonda Hajawahi kushindwa vita yoyote ile katika vita zote alizowahi kupigana . Mwamba hajawahi kupoteza wala kuweka silaha chini katika Uwanja wa Vita . Mwamba hajawahi kurudi nyuma ...
  4. JamiiForums Tanzania Kushindwa kufanya tendo. Naombeni msaada wanaume wenzangu

    Hellow wanandugu jamaa. Nina changamoto kwenye suala la kufanya mapenzi, yani nikianza tu huwa nahitaji kuwahi kumaliza, la sivyo mambo yanakwenda haraka. Baada ya hapo huwa sirudii tena, hamu inakata. Mazoezi nafanya, yani sijui nini shida, stress au nini. Naombeni msaada wanaume wenzangu.
  5. JamiiForums Tanzania Hauwezi kushindwa lolote unapokuwa peke yako: Jizoeshe kuingia ndani yako hauna mshindani wala cha kupoteza

    Maisha ya kuangalia Jamii inasema nini?, Dini inasema nini? Elimu inasema nini ni maisha ya kitumwa na yaliyojaa ushindani, hofu na mashaka. Ni maisha yanayolipa suala la kushindwa kipaumbele kuliko kushinda. Ni utumwa na gereza kuu dhidi ya uhuru wa mtu halisi. Mtu anapojirejelea yeye ndiyo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kula vyakula vya kigeni nje ya nchi

    Habari za jioni wakuu? Mimi nina changamoto moja, nilikwenda Uganda lakini nikakutana na changamoto ya misosi migeni kwangu ambayo sijawahi kula hata kwenye kinywa ilikuwa haipiti kabisa, nikaishia vinywaji, matunda na biskuti tu! Point yangu ni hii naombeni ushauri kwamba nikifika nje ya nchi...
  7. JamiiForums Tanzania Dalili kubwa za umaskini ni kushindwa kukopesheka

    Unatamba wewe ni tajiri na huna mtu au kampuni , au hata Bank hauna uwezo wa kukopa milioni 100 tu , ebu acha kuvimba jitafakari sana nyumbu wewe.
  8. JamiiForums Tanzania Mh Dc Magoti sisi watu wa Makurunge tunateseka na usafiri hujawahi kushindwa ,tenda kama tunavyokuamini mzee wa showshow !

    Tunatumia zaidi ya elf 10 kufika na kurudi kutoka mbezi mwisho tunapopandia daldala kwenda makazini kwa siku moja tu . Bajaji na bodaboda wanaamua tu waseme bei gani hakuna wa kuwagusa zaidia yako mzee wa show show maana uligusa vibaka wakatii ,ukatamka maji tukaungiwa sasa tamko lako la kupata...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Serikali na Samia sio Wajinga kukubali kushindwa kwa "NO CASE TO ANSWER" kwa sababu zifuatazo

    Kimsingi kesi ya Tundu Lissu imeshaisha. Lakini CCM, Samia na serikali yake kupitia DPP sio wajinga kuruhusu aachiwe tu kwa "NO CASE TO ANSWER" kwa sababu; 1. NO CASE TO ANSWER ingemaanisha au kuthibitisha madai ya kuwa kumbe ni kweli kesi hii ilikuwa ni ya kutunga. #Mahakama za bongo hazina...
  10. JamiiForums Tanzania Hakuna mteja msumbufu: tatizo ni kushindwa kumtimizia mahitaji yake

    Kuna baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wakisema kuna wateja ni wasumbufu sana, mpaka wengine wanafikia hatua ya kutotaka kuwahudumia. Kwa mtazamo wangu, hakuna mteja msumbufu; mara nyingi ukiona mteja analalamika, ujue kuna sehemu hajapata huduma aliyotarajia. Customer care ina uwanja mpana...
  11. JamiiForums Tanzania Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

  12. JamiiForums Tanzania TID akanusha kushindwa kulipa bili Kitambaa Cheupe

    Mwanamuziki TID amekanusha vikali madai ya kushindwa kulipa bili ya takribani Sh500,000 katika bar ya Kitambaa Cheupe, Tabata. Amedai sakata hilo lilopelekea kukamatwa na Polisi, ulikuwa mpango wa kumchafua. TID ameeleza kama kweli alikuwa anadaiwa, basi wangekata deni lao katika fedha...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamuziki TID akamatwa kwa kushindwa kulipa bili Bar

    Mwanamuziki mkongwe wa Bongofleva, TID amekamatwa na kuwekwa ndani baada ya kushindwa kulipa bili ya vinywaji alivyokunywa na marafiki zake. Inaelezwa TID alitumia vinywaji vya takribani Sh500,000 katika bar ya Kitambaa Cheupe Tabata lakini ilipofikaa saa ya kulipa ikawa ugomvi.
  14. JamiiForums Tanzania Mwanamme kushindwa kutungisha mimba

    Salam ndugu zangu wanaJF, JF imekuwa na msaada mkubwa sana kwangu. Leo nimekuja na kuomba msaada, je mwanamme kushindwa kutungisha mimba tiba yake ni Nini? Vipimo vya hospital vinaonesha sperm hazina speed na sio matured. Naomba msaada kwa mtu ambaye anajua matibabu ata ya kienyeji...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tanroads na Mkandarasi wa Barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji Kushindwa Kutekeleza CSR badala yake kusababisha Kero kwa Wakazi wa Mtaa wa Tumaini

    April 24, 2025 Liliwekwa jiwe la Msingi wa Ujenzi wa Barabara ya kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa Kilomita 41, ambapo jiwe hili liliwekwa na Raisi wa Zanzibar Mh. Hussein Ali Mwinyi. Kazi imefanyika vizuri sana ila Changamoto Kubwa Mtaa Wetu wa Tumaini umeelekezewa Maji kiasi kikubwa...
  16. JamiiForums Tanzania Tabia Zako: Ufunguo wa Mafanikio au Kushindwa

    Kitu kinachokufelisha wewe kuyafikia malengo yako na mafanikio yako ni TABIA ZAKO! The Mind Game Control Wengi wetu tunapenda kulaumu uchumi, serikali, ndugu zetu, au hata bahati mbaya pale mambo yanapoenda kombo. Lakini ukweli mchungu ambao huenda hutaki kuusikia ni huu: Wewe ni matokeo ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Arudi kwa mzazi mwenzie baada ya miaka 15 ya ndoa

    Miaka kadhaa nyuma nilikuwa mwenyekiti wa kamati ya harusi ya kijana mmoja kwenye kanisa nililokuwa ninasali hapa Dar. Upekee wa hii ndoa ni misuguano na mabishano yaliyokuwepo kati ya kijana na familia yake hasa mama yake na dada zake. Sababu ya mabishano ni dada anayetaka kuolewa na kijana...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi: Si kweli Vurugu za Oktoba 29 zilisababishwa na 'Gen Z' ni sababu za Wazee kushindwa kuwajibika

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema hayo Mei 11, 2026, wakati akiwasilisha uchambuzi wa chama hicho kufuatia ripoti ya Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu 2025. "Vilevile swala la ukiukwaji wa haki za binadamu, Tume...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa CHADEMA Kushindwa Kuwa Na Vitega Uchumi Kwa Miaka 34 Na Kuishia Kuombaomba Tu Michango Inayoishia Kutafunwa hovyo

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ni Lichama La Hovyo sana kuwahi kutokea katika Taifa letu. Ni lichama lisilo na mbele wala nyuma. Ni lichama ambalo halinaga Dira wala Muelekeo. Limejaa na kusheheni Viongozi wasio na Maono wala Dira wala Muelekeo wala mipango wala mikakati ya mbele. Ni Lichama...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano yazuka Peru Wananchi kutoamini mchakato wa uchaguzi unaoendelea

    Uchaguzi wa urais nchini Peru uliofanyika Jumapili, 12 Aprili 2026, umechochea maandamano baada ya changamoto kubwa za kiutendaji kusababisha maafisa wa uchaguzi kuchelewesha kuhesabu kura na kuongeza muda wa upigaji kura hadi leo Aprili 13, 2026, hali iliyochochea mashaka makubwa kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…