bairam
Member
- Sep 1, 2025
- 45
- 99
Hellow wanandugu jamaa.
Nina changamoto kwenye suala la kufanya mapenzi, yani nikianza tu huwa nahitaji kuwahi kumaliza, la sivyo mambo yanakwenda haraka. Baada ya hapo huwa sirudii tena, hamu inakata. Mazoezi nafanya, yani sijui nini shida, stress au nini. Naombeni msaada wanaume wenzangu.