Kushindwa kula vyakula vya kigeni nje ya nchi

Joined
Sep 3, 2026
Posts
11
Reaction score
5
Habari za jioni wakuu?

Mimi nina changamoto moja, nilikwenda Uganda lakini nikakutana na changamoto ya misosi migeni kwangu ambayo sijawahi kula hata kwenye kinywa ilikuwa haipiti kabisa, nikaishia vinywaji, matunda na biskuti tu!

Point yangu ni hii naombeni ushauri kwamba nikifika nje ya nchi mfano Ulaya na Amerika na vyakula vya huko nifanyeje? Kuuliza si ujinga viongozi...
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Chakula gani cha kigeni kipo Uganda?
 
MKUU kwa hukuonako wali huko?
 
Uganda ulikosa supu n ndizi? Au ulienda ugnda ipi? Hakuna hata nyamachoma?
 
Habari za jioni wakuu?

Mimi nina changamoto moja, nilikwenda Uganda lakini nikakutana na changamoto ya misosi migeni kwangu ambayo sijawahi kula hata kwenye kinywa ilikuwa haipiti kabisa, nikaishia vinywaji, matunda na biskuti tu!

Point yangu ni hii naombeni ushauri kwamba nikifika nje ya nchi mfano Ulaya na Amerika na vyakula vya huko nifanyeje? Kuuliza si ujinga viongozi...
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mbona vyakula vya uganda 85% ni kama sisi?
labda kama umezaliwa mjini hivyo unajua chakula ni wali & ugali
 
Back
Top Bottom