Atukuzwe Mungu
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 209
- 280
Salam ndugu zangu wanaJF,
JF imekuwa na msaada mkubwa sana kwangu. Leo nimekuja na kuomba msaada, je mwanamme kushindwa kutungisha mimba tiba yake ni Nini?
Vipimo vya hospital vinaonesha sperm hazina speed na sio matured. Naomba msaada kwa mtu ambaye anajua matibabu ata ya kienyeji. Nimetumia za hospital bila kupona.