kusema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tafakari ya leo: Jomo Kenyatta alishawai kusema

    "Waganda ni Sawa na Wagonjwa wanaweza kupona muda wowote na wakadai vyao" "Wakenya ni sawa na walio lala usingizi muda wowote wanaweza kuamka na kudai chao" "ila Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao"
  2. U

    JamiiForums Tanzania Jamaa kaumbuka kijiweni na kingereza kibovu eti kasema I forgot my phone at home badala ya kusema I left my phone at home .

    UFAFANUZI: Forget vs. Leave I forgot my book at home. ❌ I left my book at home.✅ Many learners confuse “forget” and “leave,” but the two are not interchangeable. The phrase “I forgot my book at home” is incorrect because forget refers to failing to remember, not leaving...
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Alute Lissu (kaka yake Lissu) afafanua kwa urefu mashahidi watakaoitwa kuthibitisha uhaini wa mdogo wake

    https://youtu.be/YBiutTrtOI8?si=LgCCf10nAs7I_Yse Mashahidi hao watatu ni: =============================================== "DEATH ROW DIARIES” Ni title ya maelezo ya SC Tundu Antiphas Mughwai Lissu ambayo atayatoa katika committal proceedings Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam – Kisutu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naweza kusema wilaya ya Kigamboni ndio inaongoza kwa mgao wa umeme nchini Tanzania.

    Kwa sasa naweza kusema kuwa wilaya ya kigamboni ndio inaweza kuwa kinara wa kukata umeme nchini au mkoa wa DSM, Kwa wiki umeme kukatika si chini ya mara sita kila baada ya masaa sita kuna tangazo la kukatiwa umeme. Maeneo kama Kisarawe II, KIBADA,Mwasonga nk ni maeneo ambayo TANESCO Kigamboni...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Ushahidi huu hakika nakubaliana na Uongozi wa Yanga SC kusema kuwa Yanga SC haijachangia Hela yoyote ile katika Harambee ya CCM na Inasingiziwa tu

    Yanga SC kupitia Msemaji wao wamekanusha vikali kuwa hawajachangia Shilingi Milioni 100 kwa CCM na kusema kuwa aliyechangia ni GSM na wala siyo Yanga SC. Lala salama Ruge Mutahaba kwani ile Kauli yako uliyosema kuwa hapa duniani tuogope sana Vitu viwili Mungu na Teknolojia inaishi na itaishi...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Technically hadi muda huu Usajili wa Simba SC haujanishawishi kukiamini Kikosi changu na naomba niwe wa Kwanza kusema tutaendelea kuwa Wasindikizaji

    Naona ni kama vile tu Simba SC yangu imewekeza zaidi katika kufanya Propaganda na siyo kuwa serious kujenga Timu.
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mh Babu aliponusurika mwanao walikuwa wamekuda 10 siku hiyo kwa uzembe wao, kusema ukweli Dr Samia katurudisha enzi za jakaya

    Mh Babu, kama utanibishia tafadhali familia vifo vya siku hiyo vipo 10 watoto walikufa WA uzembe wa watumishi. Kama unabisha njoo mm Niko hapa uone ni aibu mawenzi watu wanakula mnoooó
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hata kama kwa 75% sikubaliani nae ila kusema kuwa kupambana na akina Mwalimu na Mpina ni Kujishosha Hadhi hapa nasi tumeteleza

    Hivi akina Mwalimu na Mpina wangekuwa ni Wagombea wa Vyama vyetu pendwa (siyo CCM) bado tungewadharau hivi? Tafadhali tumpinge Rais Samia kwa Hoja za maana na siyo za kutufanya Wote tuonekane ni Wapumbavu.
  9. fact only

    JamiiForums Tanzania Watanzania Kama KARNE hii tupo hivi nasadiki kusema Mwalimu Nyerere(Baba wa Taifa) alipambana Sana

    Ukitazama ujinga tulionao Watanzania wengi katika karne hii utagundua kuwa Mwalimu Nyerere alipambana sana. Hakika Baba wataifa alipata tabu sana kusugua kutu na Msasa kwenye vichwa vya Watanzania. Imagine ujinga wakipindi chake ulikuwaje kama hivi sasa ni 2025 Watanzania karibia wote...
  10. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kikwete aliwahi kusema kuwa wana Ccm hawaachiani maji ya kunywa, kwahiyo kama Kuna watu hamkuelewa mtaelewa kwa njia ngumu

    Wana Ccm hawaachiani maji , kauli hii aliitoa kikwete .
  11. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Martin M. Masese amkosoa Tulia Ackson baada ya kusema "I Hate Death"

    RANGO! You hate death wapi weweeee.. watu wengi wanatekwa na kupotezwa kila uchwao, huumizwi. Mzee Kibao alitekwa na kuuwawa, hukusikitika. Uliishia kukejeli. You hate death wakati ulizuia hoja ya utekaji kujadiliwa? Mdude ambaye alitekwa jimbo kwako, hujawahi hata kutoa pole. Unaumizwa na...
  12. Zero IQ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu amekuwa na tabia ya kusema tuachane kila tukigombana kidogo leo nimeamua tuachane kweli

    Ni miaka minne sasa tangu mimi Zero IQ niamue kuoa ili nitulie kuyajenga maisha, Miaka hii yote minne nimepitia mengi Of course naweza kusema kwamba nimejitahidi kulea Familia yangu , Kwa maana kwamba hakuna Chochote kile ambacho familia yangu imetaka nikashindwa kukileta, Tatizo kubwa lipo kwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania RC Tanga unahangaika na nini kusema na kuupamba uongo ? Yuko peke yake, hana mshindani ameshapita. kwanini utende dhambi ya kusema UONGO

    Arsenals zote ziko at her disposal, such as so-called tume "huru" ya uchaguzi, polisi, fedha zote za nchi and all oppressive machinery you can think of are at her disposal, sasa RC unahangaika nini na uongo wa data za social services mkoani Tanga? upuuzi kama huu.............Tanga...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna Watu wanamaslai yao, wamemzunguka Rais watatendelea kusema tena mpaka 2035

  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hawa watu hapa huwezi wakuta humu JF wakitukana na kusema anaupiga mwingi. Ila ndio wanazingatiwa kwenye vyeo

    Unakakuta ka Lucas mwashamba Lucas Mwashambwa , Tlaatlaah na ChoiceVariable vinatoa mapovu na mishipa kuvisimama vimekondeana humu kusifu na kuabudu. Ila vinaonekana havina uwezo wa kuongoza wanaoweza ni hawa. Ambao huwezi wakuta wakicheza ngoma na kukata viuno kama walalahoi. Familia ya Rais...
  16. M

    JamiiForums Tanzania CCM haina uwezo wa kusema ukweli hata kwa jambo dogo kama hili la kukutana na waandishi wa habari

    Huyu kichwa mviringo Makalla alisoma chuo gani time management? Kama kikao tu cha kuchuja majina kinakaa wiki nzima bila muafaka je vikao vya kujenga bwawa na umeme na Sgr vingechukua muda gani? Je madudu waliyokuwa wanayatetea kwenye mkataba wa Dp world vipi? Alafu wahuni kama hawa...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana rasmi na Yanga SC sasa Mchezaji Clatous Chota Chama huenda Akili zake nzuri zikawa zimemrejea kwa kusema huu Ukweli

    Kiungo nyota wa kimataifa kutoka Zambia, Clatous Chama, amesema kuwa klabu ya Simba SC inapendwa na kuheshimiwa zaidi nchini kwao Zambia ikilinganishwa na Yanga SC. : Chama ambaye ameachana na Yanga, amesema kuwa staili ya mpira ya klabu ya Simba, historia yake barani Afrika, pamoja na uwepo...
  18. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hatoki! Mtasema mtachoka lkn hatoki. Aliwahi kusema "hii siyo serikali ya samaki"

    Mimi nimeziba masikio na nimeamua kuwa chura kiziwi. Wapo wanaodhani watanisema mpk ninyooshe mikono juu niseme Sasa basi! "Hii itakuwa serikali ama serikali ya samaki"? Alimaliza kwa kuwashangaa. Ukizichsmbua kauli hizo utaona ya kwamba ana moyo wa chuma. Na hivyo tusitarajie atatishika kwa...
  19. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usipojua unachokitafuta utaendelea kusema siku yako bado kumbe ilikuja lakini hukuijua mkapishana

    Nguvu nyingi wekeza kwenye kujua unataka nini ili usiendelee kusumbuka na kila chaguo linalopita mbele yako kwa sababu unaweza kusema hujaona chaguo lako kumbe tayari lilikuja ukapishana nalo kwa kutolijua. Wengi tunawekeza nguvu nyingi kwenye kutafuta lakini hatujui tunachokitafuta kikoje ndio...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole kachemka, bora angemtafuta msemaji mwingine kusema maneno yale

    Inahitaji akili ya juu unapopanga jambo kama hilo. Kama Polepole angerudisha band nyuma kidogo (2020-Uchaguzi wa wabunge), na kumuona Polepole wa wakati ule akajilinganisha na Polepole wa 2025, kweli asingesema maneno hayo. Kitu sahihi cha kufanya katika hali hiyo ni kuingiza maneno hayo katika...
Back
Top Bottom