kusema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Sera ya CCM ya kula na kila anayebwatuka na kusema udhaifu na ubadhirifu wake, umeonesha jinsi gani viongozi wetu wanavyopenda pesa na si kutetea

    Hii ni dhahiri kuwa, Kwa Africa na Tanzania, kuwapata viongozi wenye focus na maisha ya watu wao ilivvyo ngumu kupatikana. Sera ya CCM ya kuwalambisha Asali wote wenye vidomodomo na kiherehere, imetuomyesha jinsi watu hao malengo yao si kuwatetea wananchi, Bali kutafuta furusa za kwao na...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hayati Baba Wa Taifa amewahi kusema kuwa Hatuna mjomba wa kuja kutujengea nchi yetu

    Ndugu zangu napenda niwaambie kuwa Tanzania itajengwa na sisi wenyewe watanzania, Hatuna mtu atakuja kutujengea nchi yetu, Katika kufikia ndoto ya Tanzania tuitakayo na kuwa Kama ulaya Ni lazima tufahamu kuwa Kuna kipindi Cha mpito. Lazima tupitie maumivu Kama walivyo pitia mataifa ya ulaya...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulaya wasifia uchaguzi wa Kenya na kusema umeweka kiwango kipya Afrika

    Vyombo vyote vya habari vina takwimu za matokeo kituo kwa kituo, data zipo kote, kila mmoja yupo huru kukotoa na kuibua popote penye tashwishi au kasoro, binafsi sikumchagua Ruto, sikumpa kura yangu ila nimependa namna uchaguzi uliendeshwa kwa njia za wazi kabisa, Afrika haijatokea uchaguzi...
  4. JamiiForums Tanzania Manara: hili la kusema wenye akili Yanga ni wawili tu halikubaliki

    Wanayanga wenzangu hivi kweli kwa ukubwa wetu hapa nchini ndugu haji manara anatudhalilishaje kuwa wenye akili ni wawili tu tena mpaka na majina amewataja. Hii haikubaliki
  5. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Ningeweza kusema ninawaongeza mshahara halafu nikaongeza elfu tano tano

    Shujaa wa Afrika hakutaka kabisa kuigiza kwenye masuala yawahusuyo Watanzania. Nimekuwekea clip hapa chini.
  6. JamiiForums Tanzania Zipo sababu nyingi sana za kusema hili taifa ni la ovyo, moja wapo ni michakato ya ajira kupitia Sekretarieti ya Ajira

    Taifa la hovyo na mambo yake ni ya hovyo hovyo tu tena yanafanywa na wanaojiita wasomi uchwara! Hivi mnatangaza ajira bila bajeti au shida nini? Sekretariet ya ajira kwanini watu wanaomba kazi inapota hadi miezi mitatu hawajaitwa hata kufanya usahili? nini maana yake sasa? Hili li taasisi...
  7. JamiiForums Tanzania Ninayo sababu ya kusema sensa ni kwa ajili ya data kwenye Wikipedia

    Watu bado wanakunywa maji machafu
  8. JamiiForums Tanzania Boris Johnson ajibu vijembe vya mtangazaji wa TV Russia kwa kusema "kama Putin angekuwa mwanamke vita isingetokea

    The war in Ukraine would never have happened if Vladimir Putin was a woman, Boris Johnson has claimed. The prime minister says the onslaught is a ‘perfect example of toxic masculinity’ and has called for more females to be given top roles. His remarks follow one of the Kremlin’s top...
  9. JamiiForums Tanzania Wewe endelea hivyo hivyo kusema " Mimi situmi nauli"

    Kila uamuzi una gharama zake. Gharama za kutotuma nauli ni kubwa maradufu ya gharama za kutuma nauli Wakati wewe ukisema hutumi nauli, akina DeepPond wanatuma nauli ya laki umbali wa nauli ya buku tena na ya kutolea juu. # Ukiona jamaa anaenjoy na demu mkali, jua katuma nauli na ya kutolea..
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya Mwandishi Manyerere Jacton kueleza kinachoendelea Ngorongoro, sasa ndio naiamini Serikali, Wanahama kwa Hiyari

    Wanabodi Kunapotokea mgogoro wowote na kutokea sintofahamu yoyote inayowaweka wananchi kwenye njia panda, waamini lipi, kama kinachoendelea Ngorongoro, independent media ikiripoti hali halisi ya kinachoendelea, kitu hicho kinachoripotiwa huwa ndio ukweli halisi. Asubuhi hii nilikuwa naangalia...
  11. JamiiForums Tanzania Sakata la Baraka Shamte: Hatari ya kusema yasiyotakiwa kusemwa

    SAKATA LA BARAKA SHAMTE: HATARI YA KUSEMA YASIYOTAKIWA KUSEMWA Katika kila jamii kunakuwa na ''mwiko,'' yaani kitu kisichotakiwa kufanywa na kwa kawaida huwa watoto wanafunzwa toka udogoni. Katika jamii nyingi watoto wa kiume hufunzwa kutofungua mifuko ya wanawake uwe mama au dada zao...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanza tuache kusema "Wamasai wa Ngorongoro"

    Nimekuwa napata ukakasi sana kuhusu matumizi ya haya maneno kwani ni dhahiri kuwa Matatizo pia yaweza kuwa yanaanzia hapa. Kwanza sitaki kuamini ya kwamba hilo eneo ni la/au ni kwa ajili ya Jamii ya Kimasai pekee, na pia siamini kama waishio huko ni hao Wamasai pekee. Pia kwa kutumia na...
  13. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally ungerahisisha tu kwa kusema ukweli kuwa sasa Mo Dewji ameishiwa Pesa na Klabu inaweweseka kimapato sasa

    “Klabu yetu ya Simba SC imeachana rasmi na dili la kumpata mshambuliaji wa kimataifa wa Niger Victorien Adebayor, na hii ni baada ya kushindwana kwenye upande wa dau analotaka yeye," Ahmed Ally, Afisa habari na mawasiliano wa Simba Sc. Chanzo: Dar Mpya Blog Mapema sana tu hapa hapa JamiiForums...
  14. JamiiForums Tanzania "Mungu ameumaliza ugomvi" Je, hii ni kauli ya Nape kufurahia kifo cha hayati Magufuli? Ndio kusema Mungu alifurahi Membe kurudi CCM?

    Hii kauli inachanganya sana. Maana ni wazi kuwa Nape na kundi lake walifurahi sana ? March 21 202. Hii kauli inachanganya sana👇
  15. JamiiForums Tanzania Mimi nachoweza kusema aliyeruhusu wanyamapori kuuzwa atenguliwe na afunguliwe mashitaka

    Hawa wanyamapori ni urithi wa Taifa letu. Hivyo ingekua vizuri walioruhusu kuwauza wanyamapori wachukuliwe hatua, watolewe kwenye hizo nafasi wawekwe watu wenye weledi na wanaotambua umuhimu wa wanyapori katika uchumi endelevu kwa taifa. Sii hivyo tu wafunguliwe kesi za uhujumu uchumi endelevu...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri: Tuache kukosoa stori kwa kusema "chai"

    Kama unaona stori ni ya uongo na hujatozwa hela kwanini umkatishe msimuliaji tamaa?! Sisi wengine tunanufaika na simulizi za humu kwani zinatupunguzia stress. Sasa unakuta stori ni nzuri sana na ungependa kusoma muendelezo wake, wanaibuka watu wa kumkatisha tamaa msimuliaji kwa kumuambia...
  17. JamiiForums Tanzania Wito Jeshi Letu la Polisi, Stop This Sensesionalism!. Udhalilishaji, na Kuingilia The Right to Privacy!. Kumbe PT Inafanyia Kazi Taarifa za Mitandao!

    Wanabodi, Kati ya Taasisi zinazopaswa kufanya kazi kwa weledi mkubwa bila mihemuko ni Jeshi Letu la Polisi. Kuna baadhi ya issues ambazo jeshi letu la polisi, zinazishughulikia sio issues za kipolisi, ni issues za kijamii na kifamilia. Kwanza msikilize Kamanda Polisi Huyu Kisha isome taarifa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu baadhi ya walioitwa Wabunge wa CHADEMA Kuanza kugeukana na kusema ukweli baada ya kufukuzwa

    Watu kumi na tisa ni wengi mno kwa wote kushikamana na kuwa wamoja baada ya mambo kuharibika, hivyo wako baadhi yao wataonza kutoa siri na hata wengine kuomba radhi unless wataenda mahakamani. Sakata hili ndio kwanza linaanza na tujiandae kusikia mengi yakiwemo ya kushangaza. Tusubiri.
  19. JamiiForums Tanzania Je, ipo siku yatajirudia ya Magufuli kwamba Ndege zimeleta faida! Rais Samia atatulazimisha kusema Royal tour imeingiza mabilion? Swali tu

    Niliuliza kwamba je mwaka 2025 tutalazimishwa kusema TANZANIA iko uchumi wa kati ? Wakati ni Data za kupika? Je ipo siku tutaambiwa kwamba Royal tour imezaa matunda wameongezeka watalii mamilion ? Na mapato ya Utalii yamefika mabilioni? Mama usiingie mtego huu hata kidogo Najua zitapikwa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mwijaku: Arusha ndio mji pekee Mlima Kilimanjaro unapatikana

    Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro. Mwijaku amekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…