Habari za muda wadau,
Mimi shughuli zangu ni za kusafirisha mizigo China, India na Dubai. Nimefanya kazi na kampuni nyingi za usafirishaji, lakini nikiri wazi kuwa Kampuni ya Mo cargo wana huduma nzuri sana na consolidation yao ipo kwa kiwango kikubwa mno, hawadanganyi wateja wala hawaongezi...