kusafirisha

  1. ormystatus

    Koneksheni ya tenda ya kukusanya/ kununua/ kusafirisha mifugo ya kuchinja Eid (ng’ombe/ mbuzi/ kondoo)

    Habari zenu, Assalam alaykum, Shalom. Baada ya kumshuru Mwenyezimungu, shukrani zangu za dhati ziende kwa admini wa group kisha kwa wanakundi kwa support muliyonipatia kijana mimi wa miaka 25 nilipoandika andiko langu la kwanza la Kutafuta muwekezaji. Nashukuru nilifanikisha kupata na biashara...
  2. JanguKamaJangu

    Halmashauri ya Chato yatoa mitumbwi miwili ili kusafirisha Wanafunzi bure katika Kisiwa cha Iyozu

    Halmashauri ya Wilaya ya Chato imetoa mitumbwi miwili kwa ajili ya Kisiwa cha Iyozu ambayo itatumika zaidi katika kuwasafirisha Wanafunzi bure wakati wa kwenda Shule na kurejea nyumbani. Diwani wa Kata ya Muungano, Charles Kapembe amesema mbali na kupelekwa mitumbwi hiyo, suluhisho la kudumu ni...
  3. R

    Madereva watano wa Ambulance wakamatwa kwa kusafirisha abiria

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata madereva watano wa magari ya kubebea wagonjwa kwa tuhuma za kubeba abiria kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Alex Mkama, amesema madereva hao waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Kagera wamekamatwa kufuatia...
  4. C

    Kusafirisha vijiti vya mihogo

    Habari wakuu, Naomba muongozo kwa wenye uzoefu, Je,inaruhusiwa kusafirisha vijiti vya mihogo kiasi, Kutoka Tanzania kupeleka Zambia ,kama mbegu Asanteni.
  5. Keynez

    Kwanini mabasi ya private hayaoni fursa ya kusafirisha abiria wanaosumbuka na mwendokasi?

    Kutokana na hizi changamoto ambazo zinazidi kuwa kubwa za usafirishaji wa abiria kwa njia ya mwendokasi, nimewaza ni kwa nini wenye mabasi ya coaster ya private (yale yasiyo na rangi maalumu za ruti), yasichukue hizi fursa za kusafirisha abiria hawa? Maana yangu ni kwamba, chukulia wewe una...
  6. A

    Mabasi ya shabiby yapata tenda kusafirisha staff, wachezaji mashindano ya CHAN, yabandikwa logo ya chan

    Kinachotrendi mitandaoni kwa sasa ni Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line kupewa tenda ya kusafirisha staff wakiwemo wanasoka kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024 ambayo yanafanyika mwaka huu 2025. Kwa mujibu wa taarifa, tenda hiyo amepata Mkenya ambaye alipewa...
  7. C

    Agent wa kusafirisha mzigo toka UK mpaka TZ.

    Naweza kupata contacts za agent anbaye anasafirisha mizigo, pamoja na parcels toka UK kuja Dar. Awe na ofisi UK na Dar.
  8. T

    Wakamatwa wakijaribu kusafirisha madawa ya kulevya kama wanawake wa kiarabu

    Wanaigeria watatu wakamatwa nchini Algeria wakijaribu kupanda ndege kuelekea Dubai kusafirisha madawa ya kulevya waliomeza tumboni mwao huku wamevalia kama na kupakwa rangi ya muonekano wa wanawake wa kiarabu.
  9. Shark

    KERO Daladala za Kigamboni zagoma kusafirisha abiria kutokana na ubovu wa barabara eneo la kwa Mchina

    Daladala zinazofanya biashara ya kusafirisha abiria kati ya Kigamboni kwenda Kongowe -> Mkuranga -> Toangoma kupitia Mjimwema zimegoma kufanya kazi baada ya kuwa na kipande kibovu hivyo kulazimika kupitia uchochoroni ambapo napo pameharibika. Kipande huko kibovu ni pale kwa Mchina kilianza...
  10. suzie _barbie

    Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani (1000kgs)ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala(Uganda)

    Habari wadau, Wakubwa shikamoni, wengine habari zenu! Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani( 1000kgs) ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala. Na pia kama kuna mtu anafanya hii biashara genuinely na anatafuta soko nchini Uganda, tunaweza kuzungumza na kushauriana. Asanteni.
  11. KABAKA28

    Kampuni ya kusafirisha mizigo toka Japani kwenda Tanzania (Dsm).

    Nina ishi Japani Nataka kuleta baadhi ya mizigo Tanzania (haifiki kontena). Nahitaji kampuni itakayo nisafirishia na ku clear mizigo yangu bandarini. Kama kuna mtu mwenye kampuni yupo humu Au unaijua kampuni Naomba tuwasiliane. Kama kuna mwenye uzoefu pia naomba share nami. NB: Nahitaji...
  12. musicarlito

    Kwanini Congo isitumie bahari ya Atlantic kusafirisha bidhaa?

    Wasalaam Wakuu nimeangalia ramani ya Congo kwa namna fulani inapakana na bahari ya Atlantic. Kwanini wasitumie hiyo badala ya Dar es Salaam Tanzania Bahari ya Hindi
  13. SankaraBoukaka

    Naona nimepigwa na Seller wa AliExpress

    Kwa mara ya kwanza niliamua na mimi niagize kupitia AliExpress, juzi tarehe 2 nililipia kiatu cha mtoto cha elf 40 na ni free shipping, nikawa nafuatilia process mpaka ikaishia kuwa iko Airport. Leo asubuhi nacheki ile Order yenyewe haipo na ile Tracking Number haifanyi kazi huku AliExpress ila...
  14. Mr Beach Boy

    Mawakala wa kusafirisha watu nje ya nchi.

    Habari wakuu...! Ndoto zangu ni kwenda duniani kutafuta maisha Bora nikawe muokota taka sweezeland au Norway kuliko kufanya KAZI za kizembe hapa bongo. Je Kuna mtu anajua mawakala wa kusafirisha watu nje ya nchi Nataka kuanza na Dubai commoro, Qatar Saudi Arabia etc
  15. Ojuolegbha

    Mafanikio usafirishaji umeme; Ongezeko la urefu wa njia kuu za kusafirisha umeme

    Mafanikio usafirishaji umeme; Ongezeko la urefu wa njia kuu za kusafirisha umeme Mwaka 2021 (Machi) Kilomita 6423.53 Mwaka 2025 (Februari) Kilomita 8141.38 Ongezeko la Kilomita 1717.85. Sawa na ongezeko la asilimia 27
  16. SSH2025_2030

    Kusafirisha Nyama ya Nguruwe kwenda Dubai

    Nimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe (Halal meat) kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila baada ya wiki mbili, awe na passport na umri usizidi Miaka 45. **Pia, awe na sifa za ziada zifuatazo, 1. AFYA: Awe tayari kupima...
  17. britanicca

    Kupitia video hii ni kweli viongozi wanahusika kwenye kusafirisha madawa ya kulevya alafu wanouwawa ni vijana

    Binti anayeenda kunyongwa Vietnam inaelezwa kwenye video hii na inaonekana Njoroge ambaye ni miongoni mwa watu wa Serikali waliofuma mbinu kwa Nduta kusafirisha madawa ya kulevya huko Vietnam, Baada ya kukamatwa wao wakazima simu , https://youtu.be/VK_s6RGOlps?si=EZe_9fBY4mHLeXyH
  18. Sir Kisesa

    Tararibu zipi za kufuata ili kuweza kusafirisha nyama nje ya nchi

    Habari, Kwa wazoefu wa Wanao safirisha Nyama Nje ya Nchi, Nimepata soko tayari na nataka kusafirisha Nyama ya mbuzi nje, Kuna mifuko ya package, nime attached ktk post naomba kujua naipata wapi, na kwa wazoefu zaidi wanipe utaratibu wote Nishafatilia kibali board ya nyama, slaughter house...
  19. Empty container for sale

    Jipatie container za ft20 na ft 40 pamoja na usafiri wa kusafirisha container , tupo kurasini ( DSM).

    Habari . Tunauza Container za ft20 na ft40 ambazo zote zipo katika hali nzuri.. Tuna container za ft20 na ft40 Zipo Kwa Grade kuna Grade A Grade B Grade C Karibu Sana bei zetu ni rafiki Sana tupo...
  20. Wauzaji wa Aluminium

    Kwa wale ambao mnahitaji kusafirisha containers, lose cargo n.k naomba tuwasiliane ili muweze kupata huduma bora za usafirishaji

    This service for now is unavailable , we Appreciate your endeavors in making us great Thank you 🙏🏽
Back
Top Bottom