Agent wa kusafirisha mzigo toka UK mpaka TZ.

Agent wa kusafirisha mzigo toka UK mpaka TZ.

Chief

Platinum Member
Joined
Jun 5, 2006
Posts
4,062
Reaction score
3,873
Naweza kupata contacts za agent anbaye anasafirisha mizigo, pamoja na parcels toka UK kuja Dar. Awe na ofisi UK na Dar.
 
Mcheki Chriss Lukosi anasafirisha mizigo ila sijajua gharama zake kama zipo sawa na wengine au laa ana ofisi UK na Salasala Daslm.
 
Naweza kupata contacts za agent anbaye anasafirisha mizigo, pamoja na parcels toka UK kuja Dar. Awe na ofisi UK na Dar.
+44 7400 951505
Mcheki huyo namtumiaga sana anaitwa Rachel


+44 7876 126862

Na huyo wanasafirisha kwa uhakika

Pia Waweza Mchek Lucosi

Britanicca
 
Back
Top Bottom