Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.
Nani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010?
Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema.
Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa.
Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga...
Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jumatano limepiga kura ya kumuondoa kwenye wadhifa wake waziri wa uchumi Jean Marie Kalumba, likimshtumu kwa mfumuko wa bei ya bidhaa muhimu na uratibu mbovu wa sekta ya uvuvi, kati ya masuala mengine.
Waziri huyo amepewa saa 48 ili awe amekwisha...
Palikuwa na mjadala sauti ya ujerumani jana. Mjadala huo utakuwa hewani tena leo.
Msingi wa mada vita vya Ukraine ambako machungu ya Afrika yalielekezwa zaidi kwenye kura ya Veto dhidi ya mabeberu.
Katika wachangiaji mmoja alikuwa balozi wa Tanzania. Mzalendo na mkali kweli kweli, anataka nchi...
Serikali ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sababu ya kupiga kura ya kutofungamana na upande wowote katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine
Imesisitiza pande zote mbili kutafuta suluhu katika meza ya mazungumzo hilo ndilo walilotaka...
Bunge la Pakistan linatarajiwa kukutana Ijumaa kwa lengo la kushiriki zoezi la kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Imran Khan, katika kile kinachotazamwa kuwa ni wakati mgumu kwake tangu aingie madarakani 2018.
Mapema mwezi huu muungano wa vyama vya upinzani nchini humo uliwasilisha...
MBOWE ANAZUNGUMZA MAAZIMIO YA CHADEMA, ASEMA ALICHOZUNGUMZA NA RAIS SAMIA
Sehemu ya nukuu za Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Machi 18, 2022:
"Leo nazungumza na vyombo vya habari kwa mara ya kwanza baada ya miezi saba na nusu ya kuwa...
Leo Jumatatu bunge la Ulaya litapiga kura kuhusu matumizi ya bitcoin na sarafu nyingine.
Matokeo ya kura hiyo yataamua kuhusu matokeo ya baadae ya bitcoin.
Wanatumia kigezo cha mazingira kwakuwa uchimbaji wa bitcoin unatumia nishati kubwa ambayo uzalishaji wake unachafua mazingira.
Hii kura...
Kweli nimeamini unaweza Kuchukiwa na Watu ( hasa Maadui zako ) kwa 75% ila ukaja kufanya Jambo moja na hao hao Maadui zako kwa 100% wakabadilika na kuanza Kukupenda.
Kwa Furaha kubwa niliyoiona kwa wana CHADEMA wengi baada ya 'Freeman' kuachiwa na kwa Upendo wa ghafla waliouonyesha kwa 'Mama'...
Kumepigwa kura UN kuhusiana na nani ni nani kwenye uvamizi wa Ukraine.
Upande wa Russia kuna North Korea, Syria, Belarus na Eritrea.
Kwa mujibu wa Tutu na bwana Martin Luther yumkini na sisi tumewakilisha:
Source: NPR Cookie Consent and Choices
===
Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa...
Swali langu ni dogo sana na halihitaji maelezo marefu mama samia ameonyesha uungwana na uvumilivu kwenye mambo mengi mfano kwa Tundulisu na kufungulia magazeti lakini je atashinda kizingiti cha chama chake na dola kutoiba kura kwenye uchaguzi?
Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto anaongoza katika kura za maoni Kenya dhidi ya mpinzani wake mkubwa Raila Odinga Katika kinyanganyiro cha kugombea nafasi ya urais utakaofanyika mwezi Agosti mwaka huu.
TANU TANGA WAKATI WA KUDAI UHURU WA TANGANYIKA: DUA YA USHINDI WA KURA TATU MNYANJANI 1958
Chanzo cha yote yanayokuja hapo chini ni marehemu Mama Ummy bint Anzwan moja ya nguzo za CUF siasa za ushindani zilipoanza mwaka wa 1992.
Nimepitia faharasha (index) ya kitabu cha Abdul Sykes na nimekuta...
Msiba wa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Shambe Sagafu aliyefariki mwanzoni mwa wiki ,uligeuka kuwa uwanja wa siasa baada ya mwenyekiti wa chama hicho Moshi Mjini, Alhaj Omar Amin Shamba kuwashambulia kwa maneno makali baadhi ya makada wa Chama hicho waliojitosa kuomba kuteuliwa na chama hicho...
Mgombea pekee wa nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu (Mbunge wa Ilala) amepata 98.33% ya Kura zilizopigwa
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kati ya Wabunge 301 waliopiga Kura, 296 wamepiga Kura za Ndiyo, 3 wamepiga Kura ya Hapana na Kura mbili zimeharibika...
Kwanini Watanzania wa leo tunaamini kwenye inflation? Kwanini tunaamini Sana kwenye ushindi wa asilimia 100%? Kwanini tumepumbazika na cooked data? Kwanini tunawaza sana kwamba tukishinda kwa kishindo tutaleta maendeleo kwa kishindo?
Nimepokea taarifa kwamba upon uwezekano mkubwa 100% isiwe...
Kama ilivyo ID yangu - yaani New Page. Baada ya JPM kuondoka niliamini tunaanza ukurasa mpya. Nilikuwa wa kwanza kwanza kuonesha kuwa hii ni Awamu ya Sita na si ya Tano, ingawa ilibishiwa sana. Nilianzisha ID hiyo kuonesha kuanza ukurasa mpya.
Hata hivyo kadri siku zinavyoenda ile appetite ya...
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameshinda uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 376 kati ya 376 zilizopigwa sawa na asilimia 100.
Hii inamaanisha na wabunge 19 wa chama cha CHADEMA waliohudhuria leo kura zao zimo kwenye...
Wafanyabiashara Soko la Karume wamekosa mtetezi, hakuna Diwani, Mbunge Wala kiaongozi wa kisiasa aliyefika kuzungumza nao kutokana na janga la moto.
Kibaya Soko lipo opposite na ofisi ya Mkuu wa Mkoa mdogo wangu Amos Makala, watu wamepoteza biashara zao Mkuu wa Mkoa hata kama jirani ajafika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.