kupunguza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Wazo: Gari zote Automatic chini ya tani mbili zibadilishwe kuwa manual kupunguza msongamano!

    Mnaonaje Wadau, Serikali ikitunga sheria kuhusiana na wazo. Miaka ya 90 iliwezekana kwa zile chai/maharage, kutoka left hand drive to right hand drive
  2. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali kufunga kamera za usalama maeneo mbalimbali ili kupunguza uhalifu

    Serikali imedhamiria kufunga kamera za usalama katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma kwa lengo la kupunguza uhalifu ambao umeanza kushamiri katika maeneo ya jiji hilo baada ya Serikali kuhamia Dodoma huku wimbi la watu likichagiza hali hiyo ya uhalifu. Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Mkoa wa...
  3. mama D

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli uke wenza unaweza kusaidia kupunguza zinaa duniani?

    Wanaume nyie ndio wa kutoa huduma zote kwetu na familia na mnaujua uzito wa mzigo mnaoubeba sawasawa. Hebu tusaidieni uzoefu na mawazo tusijeyaharibu mambo huku Wanawake kupendana buana
  4. C

    JamiiForums Tanzania Dawa za Meno zinadaiwa kuwa na viini vya kupunguza IQ

    Serikali za Africa kwa dhamina na uelewa, kwa nguvu zote wekezeni katika matumizi ya maliasili zetu. Vinginevyo kutegemea chanjo, dawa, nk kutoka kwa wajanja vitaendelea kutufanya watumwa kwa wageni na vizazi vyetu vyote kama vitakuwepo. ======= https://www.huffpost.com/entry/fluoride_b_2479833
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: "Napendekeza kupunguza adhabu kwa makosa ya pikipiki na bajaji lengo ni kuweka adhabu kwa kuzingatia uwezo wa kulipa"

    Good evening jamiiforums Soma hapa>>> Kwanini tozo kwa makosa ya usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika? WAZIRI MWIGULU NCHEMBA LEO BUNGENI ===== "Mh. Spika napendekeza kupunguza adhabu kwa makosa ya pikipiki na Bajaji kutoka elfu thelathini za sasa hadi elfu kumi kwa kosa...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Baada ya serikali kupunguza bei ya kuunganishiwa umeme kuwa Tsh 27,000 Mkoa wa Kilimanjaro ofisi ya Tanesco mkoa yakabiliwa na upungufu " Surveyor"

    Baada ya Serikali kupunguza kulipia umeme Hadi 27,000 tanesco kwenye baadhi ya mikoa ,limeibuka tatizo la kukoseka kwa watumishi wanaojulikana kama ' surveyor, mfano kule Kilimanjaro ofisi ya tanesco mkoa ,kuna surveyor wawili, anaohudumia ofisi ya mkoa . Hii imechangia kuongezeka kwa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ninaomba msaada wa kimawazo au ushauri wa kutatua changamoto ya usikivu mdogo (Hearing loss) au kupunguza adha zake

    Habari za humu ndugu zangu. Poleni kwa majukumu. Changamoto inayonirudisha nyuma sana: Ninachangamoto ya usikivu mdogo(Hard hearing, Hearing loss), kushindwa kuelewa kinachozungumzwa kwa kiasi fulani (Word deafness) hasa kwa sauti za besi sana sometime ninaweza nisikuelewe maneno utamkayo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Inawezekana hofu ya Serikali kupunguza kodi ya uingizaji wa magari inatokana na hofu ya ukosefu barabara za kutosha kwa jiji la Dar-es-Salaam

    Binafsi siamini kuwa serikali hii ya sasa, kama ilivyokuwa kwa serikali zilizopita, hawaelewi kuwa ukipinguza kodi ya kuingiza magari nchini, watu wengi zaidi wataagiza magari na hivyo kuiongezea zaidi serikali mapato, bali naamini wanahofia miundombinu ya jjji kuzidiwa na wingi wa magari ila...
  9. To yeye

    JamiiForums Tanzania Ukighadhibishwa unafanyaje kupunguza hasira yako?

    Kwa mfano nikikerwa suluhu yangu ni kujifungia ndani na kujumlisha changamoto na magumu yote niliyopitia katika maisha yangu niliee weee mpaka moyo usuzike baada ya hapo nitakavyoanza kucheka na kufurahi na mwenzangu ni kama si yeye aliyenikwaza,ila kama sijafanya ivo ujue siku hiyo nimeamua...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kupunguza gharama za mwenge

    Na Thadei Ole Mushi. Tukiweza tuangalie upya utaratibu wa Mbio za Mwenge. Sio kila kitu kilichoanzishwa na wazee wetu kinakuwa na tija wakati wote. Katika kipindi hiki Corona ikiwa inatikisa Dunia ni vyema tukapunguza Mikusanyiko. Fikiria Mwenge huu utapita kila Mkoa na kila Wilaya na kutakuwa...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kama uchumi umeyumba tangaza kupunguza mshahara wako pamoja na viongozi wako waandamizi na wabunge

    Habari! Kwakweli kama mtumishi ambaye sijapanda daraja tangu niajiriwe, siujui mshahara mpya nakaribia mwaka wa sita sasa hapa matumaini yanayeyuka. Naanza kufikiri nje ya duara. Hata hayo madaraja mapya sijui kama nami nitakuwa mmoja wapo. Maana idadi ya wanaostahili kupanda madaraja ni wengi...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atangaza kupunguza kodi 1% ya makato ya Mishahara ya wafanyakazi kutoka 9% mpaka 8%..

    Asante mama
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Chande: Kipande cha Jangwani kinafanyiwa usafi mara kwa mara kupunguza athari za mafuriko

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Hamad Chande amesema ili kupunguza athari za mafuriko kwa sasa, kipande cha Mto Msimbazi cha Jangwani kinafanyiwa usafi wa mara kwa mara na Wakala wa Barabara TANROADS Amesema Serikali imepanga kubadili eneo la Bonde la Mto...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu za kupunguza uzito kwa haraka

    Habari zenu, mimi ni mrefu wa sentimeta 183, awali nilipima nikawa na kg 104. Uzito huo ulinitisha nikaamua kuanza mazoezi na kubadili life style. Nimeacha kutumia soda, maana hapo kabla kila siku nilikuwa Lazima ninywe soda/grandmalta, pia nimepunguza kiasi cha ulaji. Jioni huwa nakula matunda...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhaba wa dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi Kenya wahatarisha maisha

    Wakenya wanaoishi na VVU wanasema maisha yao yapo hatarini juu ya uhaba wa dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi kutokana na mzozo unaotokota kati ya serikali ya Kenya na Shirika la msaada la Marekani USAID. Kulinga na wanaharakati kucheleweshwa kwa dawa hiyo ni baada ya serikali ya...
  16. L

    JamiiForums Tanzania China kupunguza mkopo kwa Afrika si picha kamili ya ushirikiano kati ya pande mbili

    Utafiti mpya uliofanywa na “Pendekezo la Utafiti kati ya China na Afrika” CARI la Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani umeonesha kuwa mwaka 2019, mikopo iliyotolewa na China kwa Afrika ilipungua kwa theluthi moja, kitu ambacho kinaashiria kuwa China imepunguza kwa kiasi kikubwa mikopo yake...
  17. Mbobo

    JamiiForums Tanzania Unafanyaga nini kupunguza hasira zako?

    Binafsi Kama sina hela nasubirigi tu ziishe ila nikiwa na hela nanunua msosi mzuri nakula nashiba( ile shibe hadi ya kulala).
Back
Top Bottom